kuwa na familia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Think2

    JamiiForums Tanzania Uchumi hauniruhusu kuwa na familia

    kauli ya msanii ommy dimpoz yazua gumzo mtandaoni kwamba hayuko tayari kuwa na familia kwasababu za kiuchumi Kwa msanii mkubwa kama ommy dimpoz kutokuwa vizuri kiuchumi naona kama mwanetu anatupanga ivi maana safari za nje ni nyingi sana dubai, U.k , europa , france kote huko Nahisi ommy dimpoz...
  2. SweetyCandy

    JamiiForums Tanzania Nikija kuwa na familia kuna vitu sintoruhusu

    Moja ni kuwaalika ndugu zangu nyumbani kwangu ambapo watoto wangu wanaishi na sio ndugu zangu tu hata ndugu wa mume. Kingine marafiki , wachungaji ,mazoea sitaki. Majirani wote siwataki kabisaa . Na mawatu tu ambao hawajui kwanini wanakuja . Kwangu pawe kwangu tu hawa watu hawana wema ni...
  3. heartbeats

    JamiiForums Tanzania Sasa ni wakati wa kuwa na familia

    Mambo mengine kumbe huja automatic, nakuwa na msukumo mno wa kuwa na familia,watoto najihisi msukumo tokea ndani ya nafsi yangu Umri unakimbia age mate wote nafikiri now wanafamilia kama si kuzalisha au kuzalishwa 1yr left to reach 30floor Natamani sasa mtu wa kupigizana nae kelele nimechoka...
Back
Top Bottom