Mambo mengine kumbe huja automatic, nakuwa na msukumo mno wa kuwa na familia,watoto najihisi msukumo tokea ndani ya nafsi yangu
Umri unakimbia age mate wote nafikiri now wanafamilia kama si kuzalisha au kuzalishwa 1yr left to reach 30floor
Natamani sasa mtu wa kupigizana nae kelele nimechoka...