kuwajibika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dalton elijah

    Tovuti za baadhi ya Halimashauri Nchini zijitathimini na kuwajibika

    Ukienda kutazama tovuti za Baadhi ya wilaya nchini Tanzania utakuta taarifa za mwaka 2022, jambo ambalo linakatisha tamaa na kutoa taswira mbaya kwa halimashauru husika inawezekanaje mwaka 2025 unakutana na taarifa za mwaka 2022 hiyo inaonesha kuwa wasimamizi wa hizo tovuti hawatendi haki wala...
  2. Kibosho1

    Jini Mahaba ni dhana tu sio kweli, ni kushindwa kuwajibika kwenye ngono

    Kwa uchunguzi wangu mpaka nimefika hapa naamini hakuna kitu kinaitwa jini mahaba. Hii dhana imekuja baada ya mume au mke kushindwa kutimiza wajibu wake mchezoni na kusingizia mwenza wake ana jini mahaba. Ukweli ni kwamba kuna wanawake na wanaume ambao ngono kwao ni jambo kuu, kwa hiyo...
  3. ngara23

    Nasimama na Mkuu wa mkoa wa Dar, kutukumbusha kuwajibika

    Leo watu wanamshambulia Mkuu wa mkoa wa Dar Kwa kumjibu mama mjamzito aliyeambiwa na wauguzi kuhusu kuchangia pesa ya kumnunulia gloves 🧤 za kumsaidia kujifungua Mimba ni miezi 9 sio suala la ghafla kama ajali, Yaani mwanamke anavua chupi, mimba inaingia, unalea mimba miezi 9, Hadi siku ya...
  4. Kitimoto

    Rais wa Russia Vladimir Putin Aomba Msamaha kwa Ajali ‘Mbaya’ ya Shirika la Ndege la Azerbaijan bila Kukiri Kuwajibika

    Rais wa Russia Vladimir Putin ameomba msamaha kutokana na ndege ya Shirika la Ndege la Azerbaijan kuanguka baada ya kuingia anga ya Russia huko Grozny, Chechnya siku ya Jumatano, lakini hakusema kuwa Russia ilihusika. Putin alisema Jumamosi kwamba mifumo ya ulinzi wa anga ya Russia ilikuwa hai...
  5. Waufukweni

    Mwenyekiti wa UVCCM, Kigoma: Abuya awataka Vijana kuwajibika na kuonyesha Uadilifu katika Uongozi

    Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kigoma, Ndugu Emanuel Abuya, amekutana na wenyeviti na wajumbe wa serikali za mitaa vijana, akisisitiza umuhimu wa uwajibikaji katika nafasi zao za uongozi. Alisema kuwa chama kina imani kubwa na vijana, hivyo ni jukumu lao kuonyesha mfano bora kwa vitendo. "Twende...
  6. Damaso

    Maafa ya Kariakoo: Ni Wakati wa Wizara ya Ujenzi kuwajibika

    Leo, taifa letu limepigwa na pigo kubwa na tukio la kusikitisha la kuanguka kwa ghorofa katika eneo la Kariakoo, Dar es Salaam. Tukio hili baya limeacha alama ya majonzi na huzuni mioyoni mwetu sote, huku tukiombea kwa dhati afya njema na salama kwa wale waliojeruhiwa na pole za dhati kwa...
  7. Victor Mlaki

    Acha lawama, ni wewe ndiye unayepaswa kuwajibika juu ya maisha yako

    Leo tunakuzwa katika misingi ya kujitetea na kukwepa kuwajibika karibu katika kila eneo. Hatujifunzi na hatutaki kukubali kuwa tunapaswa kuwajibika asilimia mia moja juu ya maisha yetu na badala yake tunawatafuta wa kuwatupia lawama. Ni kweli yapo mambo mengi yanayoweza kutokea nje ya uwezo etu...
  8. Natafuta Ajira

    Jinsi wanaume tunavyotapeliwa katika neno "kuwajibika"

    Wanaume wengi wamepumbazwa katika ili neno "kuwajibika" kitu ambacho kinapelekea wanaenda extra miles kulazimisha wafanikishe mambo yasiyokuwa na ulazima hata kama wanajiumiza au kujirudisha nyuma kimaendeleo. Tutaangalia baadhi ya mifano. 1. Mahusiano ya kimapenzi. Ukisikia mwanamke anaongelea...
  9. M

    Lissu alipaswa kuwajibika, ajabu anachangisha anunuliwe gari

    Chadema imepitisha watuhumiwa wa Rushwa kuwa wagombea wa Uwenyekiti wa kanda kwa mujibu wa tuhuma za Makamu Mwenyekiti wao Tundu Lissu REACTION ANAYETUHUMU WENGINE KWA RUSHWA ni kuomba anunuliwe gari.? Kama Tundu Lissu ni msafi why he still associated with the worst criminals waliopokea...
  10. GoldDhahabu

    Tuacheni kujitetea kwa kutokujua Kiingereza. Tukubali kuwajibika

    Kwenye Biblia, Adam alipoulizwa kwa nini kala tunda alilokatazwa, alijitetea kuwa si kosa lake, bali kashawishiwa na mke wake. Ingelikuwaje kama angelikubali kosa na kuomba msamaha? Daudi alipofahamu kuwa kagundulika kuwa alimwua Huria baada ya kuzini na mke wake, hakujitetea kuwa ni mke wa...
  11. Victor Mlaki

    Mzunguko wa lawama: Uwanda wa kujiliwaza na kuacha kuwajibika

    Mchezo wa lawama "blame game" ni kama mzunguko wa umasikini "vicious cycle of poverty" Mtoto anamlaumu Baba, Baba anamlaumu Babu, Babu anawalaumu Wahenga, Wahenga wanailaumu Mizimu n.k. Ukiuangalia mkururo wa lawama "blame chain" hakuna anayebaki salama ndiyo maana katika mzunguko wa umasikini...
  12. winky

    TBS na TFDA zimeshindwa kuwajibika ipasavyo na kuwaumiza Watanzania

    Wito wangu ni kwa Mh Rais.. tunaomba uziangalie hizi taasisi mbili kwa upya kwa sababu hawafanyi kazi zao zinavyopaswa na kuumiza watanzania kwa kiasi kikubwa sana. TBS IMESHINDWA KUWAJIBIKA VITU FAKE NI VINGI NA VIMETAPAKAA NA HAKUNA ANAYESHUGHULIKA Tukianza kuanzia mafuta,sabuni (vipodozi...
  13. GENTAMYCINE

    Tunakumbushana tu Sherehe ni tarehe 1 Januari, 2024 na tarehe 2 Januari, 2024 Mabosi wanatuhitaji tukaendelee Kuwajibika Maofisini sawa?

    Sasa Wewe Gambeka ( Lewa ) sana tarehe 1 Januari, 2024 ukidhani Sherehe ipo hadi tarehe 2 Januari, 2024 kisha tarehe 3 ukienda Kazini ukute tayari Nafasi yako imeshazibwa na Mfanyakazi mpya uanze Kulia na kuanza Kuhangaikia kutafuta Wahubiri mbalimbali Wakuombee ili urejee Kazini au uanze kukita...
  14. Msanii

    Polisi kuua mlinzi wa bar Dar: Je, Chalamila anakwepaje kuwajibika?

    Tumeshuhudia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akivalia njuga wanawake wanaojiuza almaarufu makahaba. Zoezi lilianzia kwenye kuvamia na kuvunja vibanda maarufu vijjlikanavyo kama Vibanda vya Wahaya na kuwatia mbaroni baadhi yao. RC Chalamila anayesifika kwa tabia za ufyatu ambapo aliwahi kusikika...
  15. Mwl.RCT

    Maisha Bora na Mbwa: Jinsi Wanavyotufundisha Kuwajibika, Kuwa na Uvumilivu, na Kuonyesha Huruma

    Utangulizi: Je, unajua kuwa mbwa ni marafiki wa binadamu tangu miaka 15,000 iliyopita? Je unajua kuwa mbwa wanaweza kusoma hisia zetu kutokana na sauti na uso wetu? Mbwa ni marafiki wa ajabu na wapenzi wa dhati wa binadamu. Wana uwezo wa kuleta furaha, faraja, na usalama katika maisha yetu...
  16. D

    SoC03 Kuwajibika kwa serikali katika kufanikisha malengo ya maendeleo endelevu

    KUWAJIBIKA KWA SERIKALI KATIKA KUFANIKISHA MALENGO YA MAENDELEO ENDELEVU Utangulizi Katika enzi hii ya maendeleo, dunia imekabiliwa na changamoto kubwa za kijamii, kiuchumi, na kimazingira. Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) yameanzisha dira mpya ya kufikia ustawi wa kijamii na maendeleo...
  17. P

    SoC03 Uwajibikaji katika kupanga Bei za Mazao

    Kupanga bei za mazao ni mchakato wa kuamua au kuweka thamani ya jumla ambayo wauzaji na wanunuzi wanakubaliana kwa ajili ya mauzo ya mazao fulani. Kupanga bei za mazao inaweza kufanywa na pande tofauti, kama vile serikali, vyama vya wakulima, vyama vya ushirika, au wafanyabiashara wengine...
  18. Mwl.RCT

    SoC03 Vijana: Kwanini kuna haja ya Kuwajibika Kijamii?

    Utangulizi: Vijana Kuwajibika kijamii ni muhimu kwa maendeleo ya jamii na ustawi wa kila mmoja wetu. Kila mmoja wetu anapaswa kuchukua jukumu katika kusaidia na kuchangia katika maendeleo ya jamii yake. Hata hivyo, vijana wengi wa Kitanzania wanapoteza fursa ya kujitolea kwa ajili ya jamii zao...
  19. M

    SoC03 Kuwajibika kwa kiongozi siyo dhambi

    Uwajibikaji ni dhana inayochukuliwa kwa pande mbili katika viongozi mbalimbali wa umma na wale wa siyo wa umma kutokana na mazingira yanayoweza kusababisha viongozi kuingia kwenye hofu ya kuonekana kuwa ni dhambi na ni aibu kufanya hivo. Mosi,wanaona aibu baada ya kufanya makosa katika utendaji...
  20. Victor Mlaki

    Ili kuinua ubora wa elimu kila mmoja anapaswa kuwajibika na kucha mchezo wa lawama

    ILI KUINUA ELIMU NCHINI TUNAHITAJI KUWAJIBIKA Ili kuweza kuinua ubora wa elimu tunapaswa kutambua kinaganaga maeneo yote ya uwajibikaji, kutambua wakati maeneo hayo yanapokuwa na tatizo, mahali panapokuwa na tatizo na hatua zinazopaswa kuchukuliwa. Hii ndiyo maana ya uwajibikaji. Kukosekana...
Back
Top Bottom