KASHFA kubwa iliyotokea ya Vifaranga zaidi ya 60,000 kufia Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam vikitokea Ubelgiji hivi ni kweli hadi sasa hakuna wa kuwajibika kutokana na kashfa hii.
Au ndio ule usemi na hili nalo litapita?
Anaandika Tito Magoti.
Mheshimiwa Waziri Mkuu,
Nakuandikia barua ya wazi kwa heshima kubwa sana!
Ni mwaka wa saba tangu uwe Mtendaji Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (CEO JTM hapa chini). Kuna mambo mengi unayojivunia. Pengine ndio maana umedumu katika nafasi yako hadi sasa...
Tatizo la maji hakuna hata Kiongozi mmoja aliyewajibika.
Yuri Vitrenko ameripotiwa kujiuzulu kama Mkurugenzi Mtendaji wa Naftogaz wakati Ukraine ikikabiliwa na shida kubwa ya nishati.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya mafuta na gesi ya Ukraine ya Naftogaz, Yuri Vitrenko, amejiuzulu, vyombo...
HAKI NA WAJIBU
Kuwajibika ni haki
Haki na wajibu ni maneno ambayo huenda tumeyasikia mara kwa mara katika harakati za kutafuta maslahi katika sehemu za kazi na vibarua au jina lolote linalomaanisha sehemu ambayo watu hufanya kazi ili kujipatia chochote kitu cha kujimimu na maisha haya ya kila...
Matukio ya ajali za barabarani yanaonekana kushamiri maeneo mbalimbali nchini huku watanzania wenzetu wasio na hatia wakipoteza maisha na wengine kubaki na ulemavu wa kudumu.
Hivi ni kweli amekosekana mtu wa kuwajibika kwenye hili la ajali za barabarani?
MTWARA watoto wa shule wameoteza...
Kuwajibika ni wajibu wa kila mtu na siyo watu fulani tu kama wengi tunavyodhani. Hakuna anayepaswa kuacha kuwajibika kwa sababu kila mmoja wetu anao wajibu huo.
Suala la kuwajibika si la viongozi tu ila baki na wanaoongozwa pia. Jamii au mtu mmojammoja anaweza kufikia malengo yake ikiwa...
Na je, wananchi wanafahamu kwamba wabunge wao wako bungeni kwa niaba yao na kwamba wakifanya kinyume wawawajibishe?
Katiba ya Tanzania, ibara 63 (2) iko wazi kwa jambo hili: “Sehemu ya pili ya Bunge (baada ya Rais) itakuwa ndicho chombo kikuu cha Jamhuri ya Muungano ambacho kitakuwa na...
Wanabodi,
Karibu, Nipashe ya leo
Kufuatia Watanzania wengi kuwa ni waumini wa dini kuu mbili, Ukristo na Uislamu, hivyo sii wengi wanaijua "karma" ni nini, kwasababu "karma" ni neno la lugha ya ki Hindi "Hindu" na linafundishwa kwenye dini ya Hinduism na Buddhism, mimi nilijifunza kuhusu...
Wanabodi,
Kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambazo huwa na swali, kisha hoja, halafu jibu utajibu wewe msomaji.
Naomba kuanza kwa Declaration of Interest.
Kwa vile mimi ni mmoja wa waandishi wa habari, tuliwahi kuitwa mbele ya Kamati ya Bunge na kusulubiwa...
Baada ya rambo kuondoka mjini, sasa uchafu uliotamalaki ni chupa za plastiki. Za maji, soda, juisi nk. Nilisikia serikali ina mpango wa kuwawajibisha wenye viwanda lakini sijajua ikoje. Uchafu huu umesambaa sana hasa kwa miji midogo ambako hakuna waokota makopo.
Itafutwe namna Wazalishaji wa...
Bunge limefanya mabadiliko madogo ya sheria ya idara ya Uhamiaji ambapo sasa litakuwa ni jeshi kamili litakalowajibika moja kwa moja kwa Amiri Jeshi Mkuu
Waziri wa Mambo ya Ndani mh Simbachawene amesema mabadiliko hayo yanalenga kuongeza nidhamu kwa Idara ya Uhamiaji ambapo sasa litajiendesha...
Ni ukweli usiopingika kuwa huku mtaani tunao Hamza wengi sana ambao wengi wao ni matokeo ya utendaji kazi wenu unaobeba maslahi ya wachache na kuacha kundi kubwa likisononeka na Dunia ya sasa taarifa zinasafiri kwa haraka sana hivyo mengi tunayaona na inasikitisha zaidi pale viongozi mnakuja na...
Huu utaratibu wa Kuombana misamaha kwa mapungufu yenu huku upande wa kunufaika ukiwa kwenu si sahihi:
"Tunaomba radhi kwa tatizo la mtandao lililojitokeza asubuhi ya leo. Sasa huduma zetu ZOTE zimerejea. Asante kwa kuendela kutumia Vodacom. Pamoja tunaweza!"
Mmekuwa chini kwa muda mrefu pia...
Kwani hi Chanjo ni jambo kubwa sana kama nchi iko vitani vile?
Kwanini wanakomalia sana as if hakuna shughuli nyingine za kufanya? Wananuka shombo na kama vile wananchi wamewachoka.
Hawa viongozi wana utoto mwingi na wanasababisha ukakasi kwenye hili suala la chanjo. Kuna wakati wangekaa kimya...
Kamati ya corona pamoja na majukumu mengine ilipewa kazi ya kuzifanyia utafiti chanjo za corona ili kujiridhisha kwa ubora na usalama wake kabla ya kuziruhusu kutumika kwa watanzania.
Kamati hiyo ilijitokeza mbele ya watanzania wakiwa wameficha nyuso zao kwa kisingizio cha kuvaa barakoa, na...
Nimemsikiliza kwa makini sana Waziri Ummy Mwalimu akipigia chapuo makato ya miamala na kusema tutaenda kujenga shule, mara barabara za vijijini mara sijui hospitali.
Ummy ameyazungumza haya saa chache tu kabla ya Raisi Mama Samia kuingilia Kati.
Hivyo sasa hivi Waziri Ummy atabadili tena gia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.