Kiongozi huyo aliyetawala tangu mwaka 2000 akichukua madaraka kutoka kwa Boris Yeltsin ametangaza nia yake leo Desemba 8, 2023 huku akidai ana uhakika wa kushinda Urais kwa zaidi ya 80% ya Kura.
Mwaka 2020, Serikali ya Putin mwenye umri wa miaka 71 ilifanya mabadiliko ya kuondoa ukomo wa mihula...