kuwania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Napendekeza mwaka 2025 Waziri Mkuu apeperusha bendera ya CCM kuwania kiti cha urais

    Nimekuwa nikifuatilia hotuba, maamuzi, ushauri, ufuatiliaji wa shughuli za Serikali na kufanya kazi kama timu moja napendekeza Mhe. Waziri Mkuu apeperushe bendera ya CCM mwaka 2025 kwa nafasi ya mgombea wa CCM kama Rais.
  2. BARD AI

    Watanzania Fadhili na Ibrahim kuwania Tsh. Bilioni 2.4 katika Fainali za America's Got Talent

    Ni baada ya kufanikiwa kuvuka hatua ya Nusu Fainali katika Mashindano hayo ya Kusaka Vipaji ya ambapo sasa watashindana na Washiriki wengine ambao ni The 82nd Airborn Division All American Chorus, Avantgardey, Chibi Unity, Anna DeGuzman, Putri Ariani, The Mzansi Youth Choir, Murmuration, Ahren...
  3. BARD AI

    Gabon: Rais Ali Bongo kuwania Muhula wa 3 licha ya Familia yake kutawala kwa miaka 55

    Kiongozi huyo aliyeingia Madarakani mwaka 2009 akichukua nafasi ya Baba yake, Omar Bongo aliyetawala kwa zaidi ya miaka 40, atawania nafasi hiyo tena katika Uchaguzi Mkuu wa Agosti 2023. Bongo alishutumiwa na Kiongozi wa Upinzani Nchini Gabon, Jean Ping akwa Wizi wa Kura katika Uchaguzi wa...
  4. BARD AI

    Mtanzania Gibson Kawago kuwania Tsh. Milioni 74.7 za Royal Academy of Engineering ya Uingereza

    Nyota ya Mtanzania, Gibson Kawago imeendelea kung’ara baada ya kutajwa katika kinyang’anyiro cha kuwania tuzo ya ubunifu katika uhandisi Afrika inayoratibiwa na Chuo cha Uhandisi cha Uingereza - Royal Academy of Engineering. Wabunifu watatu wengine wanatoka Nigeria, Afrika Kusini na Uganda...
  5. BARD AI

    Full List: Mastaa waliotajwa kuwania Tuzo za Muziki Tanzania (TMA)

  6. BARD AI

    Tems na Rihanna watajwa kwa mara kwanza kuwania Tuzo ya Oscar

    Mwimbaji Temilade Openiyi a.k.a #Tems kutoka Nigeria, ameweka historia ya kuwa msanii mwenye muda mfupi kwenye muziki na kufanikiwa kutajwa kuwania Tuzo maarufu ya #Oscar kupitia wimbo wa Lift Me Up alioshiriki kuuandika pamoja na #Rihanna. Licha ya Ukubwa wake kwenye tasnia ya Muziki, kwa...
  7. BARD AI

    Mike Pence akana kutaka kuwania Urais 2024

    Makamu wa Rais wa zamani wa Marekani, Mike Pence hajawasilisha ombi la kugombea urais mwaka 2024 kwa mujibu wa mshauri wake, Devin O’Malley alisema kupitia Twitter, baada ya taarifa inayodaiwa kuwa Pence alionekana kwenye tovuti ya Tume ya Uchaguzi akijaza fomu ya kuutaka urais. Vyombo vya...
  8. BARD AI

    Vikosi vya Morocco na Croatia vinavyoingia kuwania Mshindi wa 3 wa Kombe la Dunia 2022

    KIKOSI CHA MOROCCO Kikosi cha Kwanza Bounou; Hakimi, Dari, El Yamiq, Attiat-Allah; Amrabat, El Khannouss; Ziyech, Sabiri, Boufal; En-Nesyri. Benchi: Mohamedi, Tagnaouti, Aguerd, Saiss, Benoun, Ounahi, Chair, Amallah, Jabrane, Hamdallah, Zaroury, Aboukhlal, Ezzalzouli, Cheddira. KIKOSI CHA...
  9. BARD AI

    Trump kuwania tena Urais 2024, atamba kumuondoa Ikulu Joe Biden

    Rais huyo aliyeshindwa Uchaguzi Mkuu wa 2020 ametangaza kuutaka tena Urais licha ya uchunguzi mwingi unaoendelea dhidi yake kuhusu Matumizi Mabaya ya Madaraka na Ukwepaji Kodi "Ili kuifanya Marekani iwe Kuu na Utukufu tena, leo ninatangaza kugombea Urais. Kuanzia sasa hadi siku ya uchaguzi...
  10. BARD AI

    Boris Johnson arejea London, atajwa kuwania tena Uwaziri Mkuu

    Boris aliyekuwa mapumzikoni Visiwa vya Caribbean ameungwa mkono wa Wabunge wa Conservative, atahitaji kupata kura 100 za Wabunge hao ili aweze kuchuana na Rishi Sunak na Penny Mordaunt. Mchakato wa kumpata Waziri Mkuu mpya utachukua Wiki 1 huku Wagombea 3 wakitakiwa kupitia mchujo Oktoba 24...
  11. BARD AI

    Filamu ya Kitanzania yatajwa kuwania Tuzo ya Oscar, ni ya pili tangu mwaka 2002

    Filamu ya Kitanzania imeorodheshwa kuwania Tuzo hiyo, na hivyo kuhitimisha subra ya takriban miongo miwili kwa nchi hiyo kushiriki katika tuzo hiyo. Filamu ya Vuta N'kuvute - inayomaanisha "Mapambano Makali" kwa Kiswahili - imeorodheshwa katika kitengo cha "Filamu Bora ya Kimataifa" katika Tuzo...
  12. kyagata

    Orodha ya Majina ya CCM walioteuliwa kugombea Ubunge wa Afrika Mashariki

    Orodha ya Majina ya CCM walioteuliwa kugombea Ubunge wa Afrika Mashariki
  13. BigTall

    Emmanuel Macron, Marine Le Pen kushindana raundi ya pili kuwania Urais wa Ufaransa

    Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron ameongoza kwenye duru ya kwanza ya uchaguzi, akimshinda kwa tofauti kubwa kuliko ilivyotarajiwa mpinzani wake, Marine Le Pen na hivyo watakutana katika duru ya pili kati ya wawili hao baadaye mwezi huu. Matarajio yalionyesha Macron atashinda kwa kati ya...
  14. Analogia Malenga

    Vijana wamshinikiza bilionea Aliko Dangote kuwania urais Nigeria

    Kundi la vijana nchini Nigeria, chini ya mwamvuli wa Bunge la Vijana wa Kaskazini, limetoa wito kwa mfanyabishara tajiri zaidi Afrika Aliko Dangote, viongozi wengine wa wafanyabiashara na wataalamu kuingilia kati uchaguzi wa rais wa 2023. Vijana hao wanasema kuwa uzoefu wao itasaidia kuleta...
  15. The Khoisan

    CCM wakimpitisha Chenge kuwania Uspika, nitaamini kuwa Watanzania hatuko serious

    Kuna minong'ono kwenye jukwaa letu kuwa jina Mtemi Chenge ndilo liko likely kupendekezwa na chama. Kama hii itatokea kwa kweli nitaamini kuwa kama Taifa hatuko serious. Change ana tuhuma kadhaa huko nyuma za ubadhirifu na ufisadi. Ilifikia mpaka kwa kiburi najeuri kudai wazi wazi kuwa zile pesa...
  16. ESCORT 1

    Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

    Kufuatia kujiuzulu kwa Spika wa Bunge, Job Ndugai leo hii, kiti cha Spika kipo wazi. Je nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge letu?
  17. Ileje

    Kitendo cha makumi ya watu kujitokeza kuwania nafasi moja tu uspika kimedhihirisha kuwa Taifa hili halina dira wala halijitambui

    Hatuwezi kujisifu kuwa hii ni demokrasia bali ni fujo na ukosefu wa mwelekeo na sera za Taifa. Hadi sasa kama Taifa hatujui kama tunafuata ujamaa au ubepari. Viongozi huandaliwa, hufunzwa na kulelewa. Haiwezekani mtu anakurupuka usingizini akiwa na matongotongo machoni anachukuwa fomu ya...
  18. B

    Mbona vile vyama vya siasa vidogo vidogo havihamasishi wanachama wao kuwania Uspika?

    Inaelezwa Tanzania ina jumla ya vyama vya siasa takriban 19, lakini inajulikana vingi vya hivi ni pro-CCM havifanyi shuguli zozote za siasa, yaani vipo vipo tu vikivizia matukio ya kitaifa. Hujitutumua tu pale utawala unahitaji kuvitumia katika kuvibana vile vyama vya upinzani vikubwa hasa CDM...
  19. Miss Zomboko

    Seif al- Islam al-Gaddafi atangaza kuwania Urais wa Libya

    Mtoto wa kiume wa kiongozi wa zamani wa Libya Muammar Gaddafi ametangaza rasmi nia yake ya kuwania urais katika uchaguzi uliopangwa kufanyika mwezi Desemba wenye lengo la kumaliza miaka kadhaa ya machafuko tangu baba yake alipoondolewa madarakani. Seif al- Islam al-Gaddafi mwenye umri wa miaka...
Back
Top Bottom