Serikali ilianzisha mpango wa kuwatoa wananchi ktk hifadhi ya Ngorongoro, wamekubali kwa hiari yao na wamejiandikisha tangia mwaka jana lakini bado serikali haiwahamishi kuwapeleke Mosmera au sehemu nyingine yoyte maana wako tayari.
kila siku wanalalamika kwanini hawaondolewi, kuna nini huko...
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango ameonesha kukerwa na utaratibu wa Kuhamisha Watumishi wanaonekana kushindwa kumudu Majukumu yao au kutuhumiwa kufanya vitendo vinavyoenda kinyume na sheria na kisa kupelekwa kwenye maeneo mengine ya utumishi.
Mpango ametoa kauli hiyo akiwa Kigoma ambapo ametaka...
Shirika la kutetea haki za Binadamu la Amnesty International limelaani mamlaka nchini Tanzania kwa kuwaondoa kwa nguvu watu wa jamii ya kiasili ya Kimasai kutoka katika ardhi ya mababu zao ya Ngorongoro.
Shirika hilo la kutetea haki za binadamu limesema Juni 2022, vikosi vya ulinzi na usalama...
Kipekee nakushukuru kwa kuchukua hatua za dhati za kunusuru soko la kariakoo kwa kumtuma Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa. Kwa kweli amefanya kazi kubwa ya kunusuru uchumi wetu.
Pamoja na yote yaliyojadiliwa kuna kiu cha uwajibikaji. Imedhihirika baadhi ya watendaji wako wana uwezo mdogo na...
Bunge la Kitaifa limethibitisha kupokea mapingamizi 4 ya kuwafuta kazi Maafisa 4 wa Tume Huru ya Uchaguzi waliodai Matokeo ya Urais hayakuwa halali.
Makamu Mwenyekiti wa Tume, Juliana Cherera, na Makamishna Francis Wanderi, Justus Nyang’aya na Irene Masit walipinga matokeo yaliyotangazwa na...
Nimetizama mpira kati ya Senegal vs Egypt, licha ya mchezo mzuri ulioonyeshwa na timu zote lakini mashabiki wa Senegal wametia aibu
Walikuwa wakiwalenga machoni wachezaji wa Egypt na mwanga mkali wa laser kipindi wanacheza na walipokuwa wakipiga penalti
Hili limewaathiri sana wachezaji wa...
Wamasai wamedekezwa kwa miaka mingi kwa kisingizio cha kuwabadilisha; wapende shule, wapunguze mifugo, sijui bhla! bhla gani. Wamekuwa wasumbufu wanaojidai kutojua sheria za nchi kwa kisingizio eti ndivyo walivyo. Hawa wanajifanya na wametumia mwanya huo kundekeza ukabila na kujifanya wao ni...
Mbunge wa viti maalumu, Salome Makamba ameitaka Serikali itumie magari ya Washawasha kuwaondoa Wamasai huko Ngorongoro badala ya kuyatumia kudhibiti Wapinzani.
Makamba amesema yeye ni balozi wa tembo hivyo anaelewa kinachoendelea hifadhini Ngorongoro kiukweli mbuga inaangamia kwa ukorofi wa...
Haya maneno mnayatoa wapi? Kuwa baraza limepangwa na Kikwete na ameona amweke na mwanaye ndani? Acheni hizo...
Rais samia naye ana weza chagua awatakao mwacheni jamani.
Kusema ukweli sioni sababu ya kuwaondoa wafanyabiashara ndogo ndogo waliokuwepo huku pembezoni mwa mji kwenye vituo vya daladala kama vile Banana, Mombasa, Gongo la mboto, Mbagala, Mbezi etc.
Huku pembezoni walikuwa wanaathiri nini mpaka mumewaondoa pia? Kuwaondoa katikati ya mji kama Posta na...
Kasi ya kuwahudumia wananchi kutatua kero zao inapungua kutokana na rasilimali watu, fedha, vifaa na muda kuelekezwa kwenye kitatua shida ambazo zimezalishwa na viongozi tuliowapa madaraka na kuwalipa kwa Kodi zetu.
Wakati mmachinga wa kwanza anaanza kuweka biashara sehemu isiyo sahihi viongozi...
Inasikitisha mno,
Namna maskini asiye na kipato akinyanganywa fursa yake hata ndogo tu ya kuilisha familia yake.
Wakati haya yakiendelea.
Watoto wa vigogo wamezijaza nafasi zote za ajira huko serikalini.
Huku wale maskini wakiambiwa wakajiajiri kwakua ajira hakuna.
Lakini wanapotaka...
Uamuzi wa kuondoa wafanyabiashara wadogowadogo almaarufu Machinga 18 Oktoba, kwa maoni yangu una gharama kubwa kuliko faida/manufaa na kwamba unastahili kupitiwa/kudurusiwa upya.
Gharama ziko kiuchumi, kijamii, kiusalama na kisiasa. Sipingani na uamuzi huo, ni mzuri tu, isipokuwa nadhani...
Machinga kujaa kila sehemu mijini ni tatizo kubwa ila hoja ya kuwaondoa katika maeneo yao kiholela ni unyama usiofikiria athari za kimaisha kwa hawa watu na kujiuliza tumefikaje hapa tulipo?
Suluhisho la machinga ni kwa miji yote kutengeneza masta plani za miji na kuainisha maeneo ya wafanya...
Mkuu wa Mkoa kuagiza Wakuu wa Wilaya wawaondoe wamachinga barabarani ni kuwapa mzigo wasiouweza asilani.
Hawa wamachinga walikwisha pewa jeuri na viongozi wakuu wa taifa na tumeshuhudia waliojaribu kuwaondoa waliondoka wao!
Wewe binafsi uliwahi kuwapa muda wa kuondoka kwenye eneo la ujenzi wa...
Rais wa Marekani Joe Biden ameapa kuwa atawarejesha nyumbani raia wote wa Marekani kutoka nchini Afghanistan pamoja na Waafghani waliosaidia juhudi za nchi yake kwenye vita vya karibu miaka 20.
Biden ametoa ahadi hiyo alipozungumza na waandishi habari mjini Washington wakati hatma ya maelfu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.