kuwasaidia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TYPIN ERRAH

    Changia elimu kuwasaidia wengine

    Habar wakuu humu ndani... Mimi ni mdau wa elimu katika shule ya sekondari kwemdimu iliyopo wilaya ya Korogwe. Tuna shida ya vitabu upande wa somo la elimu ya dini ya kiislamu kwani tuna idadi ya wanafunzi zaidi ya mia tatu lakini tuna vitabu vinne tu kuanzia kidato cha kwanza mpaka kidato cha...
  2. M

    Chongolo tambua kubeti kupo halali kisheria

    Kuwa mkweli ndugu katibu. Betting ipo halali kisheria. CcM ilipitisha sheria inayoruhusu michezo ya kamari ya kubahatisha. CcM haina sera nzuri za kulinda na kutengeneza ajira mahususi kwa vijana. Hata kama wakimaliza Veta. Sasa unategemea nini? Biashara zinakufa tu. Acha vijana wabeti
  3. M

    Zitto wewe ni kibaraka wa CCM, hakuna siasa mpya utakazowaletea Watanzania

    Eti kutatua kero za watanzania. Mpyu.... 👇
  4. Poppy Hatonn

    Magufuli alijitoa nafsi yake kuwasaidia Watanzania. Rais Samia anajitoa nafsi ili achaguliwe tena 2025

    Rais Samia ana bidii kubwa katika kufanya kazi lakini siyo kwa sababu zilezile za Magufuli. Wanafanya kazi ambayo kimsingi ni ni ile ile lakini kwa sababu tofauti Nimeona sometimes watu wanampinga Rais Samia nimejiuliza hawa watu wanatania au vipi? Lakini naona tofauti katika utendaji kazi wa...
  5. L

    Mjumbe wa CPC ajitolea kuwasaidia watoto wa kike kupata elimu

    Mwaka 1995 ulikuwa ni mbaya sana katika maisha ya Zhang Guimei, kwani ni mwaka ambao alimpoteza mume wake mpenzi aliyefariki kutokana na kuugua saratani, baada ya kutumia akiba yao yote kumpatia matibabu. Zhang Guimei ambaye amechaguliwa kuwa mjumbe wa Mkutano Mkuu wa 20 wa Chama cha...
  6. DR HAYA LAND

    Nawapa Siri wazazi kuhusu kuwasaidia watoto wenu

    Habari zenu Watu wengi wanalalamika kuhusu watoto wao kuwa wanafanya Sana Uzinzi, uchafu, ushoga, wizi, tabia zote chafu chafu wanafanya wao tu. Jambo la kuwa nalo makini hata Kama wewe husali au huamini uwepo wa Mungu hiyo Ni wewe tu. Watoto ukitaka wawe mfano Bora katika jamii na wapate...
  7. Chizi Maarifa

    Hersi hizo pesa ambazo unatumia kuwasaidia waandishi wa Habari si tungewekeza kwa Wachezaji wetu?

    Ni ujinga unaofanya. Waandishi wa habari hawachezi mpira. Hata kama wataisifia team sana mwisho wa siku wachezaji ndo hucheza. Unawekeza pesa nyingi kwa vyombo vya habari wakuzungumzie wewe na team vizuri. Wanashindwa ikosoa tunaona ipo perfect. Kumbe kuna sehemu tunapaswa kujiweka...
  8. M

    Nimeshaanza kuwasaidia Big Bullets FC ya Malawi ili Waifunge Simba SC ya Barbara na Matola tarehe 10 Sept 2022

    Na sotoishia hapo niliahidi na sasa natekeleza hata Mechi ya Marudiano Wiki ijayo Dar es Salaam pia nitawasaidia kwa kutoa Siri Kubwa za Kimchezo za Simba SC na mpaka Uchawi Wao wanaoutumia. Na nikiona bado Kocha Msaidizi Matola hajatimuliwa Simba SC na Barbara nae hajatuachia Simba SC naahidi...
  9. Joseph Brighton Malekela

    SoC02 Uanzishwe mfuko wa kuwawezesha kiuchumi Wahitimu wa Elimu ya Juu ili kuwasaidia kutegua kitendawili cha kujiajiri

    Nimejaribu kujielimisha kidogo kama kuna ugumu wowote kwa wahitimu wa elimu ya juu kujiajiri. Nimejifunza kwamba, vikwazo vikubwa kwa wahitimu kuhusu kujiajiri ni mfumo wa elimu kutokuwajengea tabia ya kujiajili, pamoja na changamoto ya kupata mitaji ya kujiajiri. Wahitimu wa elimu ya juu...
  10. E

    SoC02 Elimu kwa Watoto wenye Usonji na kujua namna ya kuwasaidia

    UTANGULIZI. Asilimia kubwa ya jamii inayotuzunguka imekuwa na uelewa mdogo juu ya watoto wenye usonji hivyo kupelekea watoto kunyanyasika na kutojua haki zao na pia kutopewa kipaumbele katika nyanja mbalimbali Kama upande wa afya na elimu pia. MAANA YA USONJI/AUTISM. Ni Changamoto inayompata...
  11. Sky Eclat

    Ni kawaida Serikali kuwasaidia wananchi wake hali ya maisha inapokuwa ngumu

    Katika hii picha ni mabox ya Gumment Cheese yaliyogaiwa na serikali za Magharibi kwa wananfunzi ili wapeleke nyumbani kwao. Hii ilitokea baada ya WWII, hali ya uchumi ilikua ngumu sana. Pamoja na cheese pia wananchi wapigaiwa peanut butter, na nyama za makopo. Misaada hii ililegwa kwa...
  12. M

    Ni upi wakati sahihi wa kuwasaidia wazazi wako?

    Wakati sahihi ni sasa maana ukisema unatafuta maisha mazuri kwanza ndo ukawasaidie vizuri ukumbuke time yao inakatika. Hivo utazipata lakini wao hawatafaidi maana watakuwa wameshakwenda kwa muumba hivo ni vema ukaanza sasa hivi hata kama ni kidogo. Wape hakuna wakati mwingine zaidi ya huu wa sasa.
  13. MakinikiA

    Aliens inasemekana kuwasaidia sana jeshi la Marekani katika teknolojia ya silaha

    wanaoaminika kuwazidi binadamu akili ,marekani baada ya kushindwa kuunda kombola la hypasonic wanahaha kuwapata Hawa viumbe VITABU vitakatifu vimeandika kuwa Mwenyezi Mungu aliumba vitu vinavyoonekana na visivyoonekana,inaaminika kuwa vitu visivyoonekana ni vingi kuliko vinavyoonekana...
  14. GENTAMYCINE

    Mkitaka Kagame na Museveni 'wasiishambulie' Congo DR na nyie acheni 'Unafiki' na kuwasaidia 'Waasi' wa 'Kihutu' na Burundi

    Na kuna ncbi moja Afrika Mashariki huwa inajifanya ina 'Kiherehere' sana cha kupeleka Askari wake Congo DR na pia huwa 'Kisirisiri' inawasaidoa 'Waasi' wa 'Kihutu' kutoka nchini Burundi 'Kutesa' na 'Kuua' Wanyarwanda ( hasa Watutsi ) naionya wasithubutu kupeleka Askari wao huko kwani 'Watakufa'...
  15. K

    Serikali iwe na Sera ya kuwasaidia wakulima

    Kilimo ndicho utu wa mgongo lakini Serikali naona haina msaada wowote wa kuwasaidia wakulima. Nitoe mifano michache tu. (1) Wakulima tunahimizwa kulima pamba (2) Wakulima tunahimizwa kulima kahawa (3) Wakulima tunahimizwa kulima mahindi (4) Wakulima tunahimizwa kulima maparachichi (5)...
  16. mama D

    Mwanamke huwezi pata mwanaume anayekupa mahitaji yote muhimu; na mwanaume huyohuyo aweze kula bata, kujiselfisha na kujipostisha na wewe kila wakati

    Heshma kubwa na shukrani nyingi kwa wanaume wote wanaotutunza na kutupatia kila kitu kinachohitajika nasisi na familia, na heshma kwa wanawake wote wanaowaelewa wanaume wa aina hii na kuwasaidia kufikiria zaidi, kutafuta zaidi, na kuwatunza wanaume wao pamoja na mali wanazozitafuta Kwa...
  17. K

    Kipi kifanyike ili kuwasaidia watu wenye vibamia?

    Hakuna watu wanaojichukia kama hawa waafrika wenzetu waliozaliwa na vimkuyange vifupi(below 4inches) Wanapata taabu sana kwenye mahusiano na wanakuwa hawajiamini kabisa hata kwenye kula tunda kimasihala Sasa ni kipi tukifanye ili kuwasaidie hawa jamaa zetu ambao hawakupenda wazaliwe hivyo
  18. The Sheriff

    Serikali, wadau waombwa kuwasaidia wanaohudumia watoto wenye kiharusi na kupooza

    Mkurugenzi wa Sadeline Health Care, Bi Sara Kitainda akizungumza katika Mchana wa Tabasamu, leo Februari 26, 2022. Serikali na wadau wameombwa kuwawezesha na mitaji ya kibiashara akina mama na walezi wenye watoto wenye kiharusi na waliopooza kwani hutumia muda mwingi kuwahudumia watoto hao na...
  19. Heaven Seeker

    Unatumia njia gani kuwasaidia ndugu na jamaa zako pale kipato chako kinapokuwa chini ya mahitaji yako ya muhimu?

    Heshima kwenu Wakuu. Nimebahatika kuishi Nchi za wenzetu kwa Mabeberu, kiasi fulani nimejifunza mambo kadhaa. Sisi Wabongo tunaishi maisha ya ujamaa, yaani kugawana kidogo tunachokuwa nacho ili kila mtu apate japo mkate. Hali hii inatokana na ukweli kuwa idadi kubwa ya sisi wabongo bado...
  20. Nyanswe Nsame

    Ubalozi wa Marekani waahidi kuwasaidia waandishi Tanzania

    *Ubalozi wa Marekani waahidi kuwasaidia waandishi Tanzania . Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Bwana Donald Wright ameahidi kusaidia programu mbalimbali za habari ili kulinda uhuru wa kujieleza na uhuru wa vyombo vya habari Tanzania. Balozi Wright amesema hayo wakati alipotembelea klabu ya...
Back
Top Bottom