Serikali ya Marekani imepanga kubadili baadhi ya vikwazo iliyoiwekea nchi ya Iran ili kuwawezesha wananchi wa Iran kupata uwezo wa kukwepa mifumo ya kiudukuzi na inayozuia wananchi kuweza kupata taarifa.
Hatua hii ya Marekani imekuja kufuatia kifo cha mwanadada wa Kikurdi nchini Iran...
Kutatua mapengo ya kijinsia katika TEHAMA ni muhimu kwa mustakabali endelevu
"Kuwawezesha wasichana kuchagua taaluma za TEHAMA sio tu nzuri kwa wasichana na familia zao, inaweza kuwa kichocheo kikuu cha maendeleo ya kijamii na kiuchumi katika ngazi ya kitaifa." - Brahima Sanou, Mkurugenzi...
Kwa mujibu wa “Wikipedia ya Wamachinga”, Wamachinga ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika mkoa wa Lindi, wilaya za Kilwa na Lindi; lugha yao ni Kimachinga.
Kwa mujibu wa “Wikipedia” hii, kwa kipindi cha karne ya 20 na 21, Wamachinga wamekuwa maarufu katika miji mbalimbali kwa kuuza...
Nimejaribu kujielimisha kidogo kama kuna ugumu wowote kwa wahitimu wa elimu ya juu kujiajiri. Nimejifunza kwamba, vikwazo vikubwa kwa wahitimu kuhusu kujiajiri ni mfumo wa elimu kutokuwajengea tabia ya kujiajili, pamoja na changamoto ya kupata mitaji ya kujiajiri.
Wahitimu wa elimu ya juu...
UMESIKIA ishu ya baadhi ya wanaume wa Kijiji cha Mapili Kata ya Ilela, Halmashauri ya Mlele mkoani Katavi?
Kama hujasikia ipo hivi, kumbe wanatamani sana kuwawezesha wake zao kiuchumi, lakini wanashindwa kuwawezesha kiuchumi wakihofia wanawake hao kubadilika na kutowasikiliza wakiwa na kipato...
Naibu Waziri wa Ardhi ambaye pia ni Mbunge wa Chalinze amepongeza juhudi zinazofanywa na Serikali kuhakikishia wananchi wanaoishi katika Wilaya za Pembezoni mwa Bahari ya Hindi za kuhakikisha kuwa wanajengewa Gati za Kupokelea Boti na majahazi na kuwawezesha Wavuvi kwa kuwapatia Vifaa vya...
Kwa miaka kadhaa nimekuwa nikisafiri njia ya Arusha-Dar na huku nimeshuhudia mabasi maarufu kutoka Mkoa wa Tanga kwenda maeneo mbalimbali nchini hususani Dar.
Basi maarufu la "SIMBA MTOTO" limeweza kusurvive regimens kadhaa za uongozi wa kisiasa ikimaanisha hawa ni moja ya legends katika...
Katika zoezi ambalo linaendelea la Anwani za makazi, hata linalokuja la sensa, tunaiomba Serikali itumie watu wasio na ajira badala ya kuwatumia watumishi ambao tayari wana kipato.
Serikali inapaswa itumie watu wasio na ajira katika zoezi la anwani za makazi pia sensa ili kusaidia vijana wasio...
Habari JF,
Tanzania kama zilivyo nchi nyingine tatizo la ajira limekua sugu kwa vijana . Takwimu zinaonyesha kundi la vijana linaongezeka; kutakuwa na ongezeko la vijana kufikia million 15 kufikia mwaka 2030 tofauti na sasa ambapo idadi ni million 11. Hili ongezeko la vijana linaweza kuwa na...
Jana napiga story na mdogo wangu ambae anafanya mitihani ya NBAA ananiambia juzi hapa walifanya mitihani migumu hadi wakaongezewa muda kwenye chumba cha mtihani zaidi ya dakika 30.
Nikajiuliza kwani NBAA kabla hawatoa mitihani yao hua hawaifanyii moderation kuona kama inaweza kufanyika kwa...
Mhandisi Stella Manyanya amesema jitihada za Wizara ya Mifugo na Uvuvi katika kukamata wanaotumia nyavu zisizofaa au kwenye masuala yanayohusu ukusanyaji mapato ni kubwa kuliko zinazotumika kuwawezesha
Mbunge huyo wa Jimbo la Nyasa amehoji kwanini mikopo ya injini za boti isitolewe kwa mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.