kuweka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    Namna ya kuchaji fedha au kuweka mfumo wa kulipia kwenye WhatsApp

    Wewe ni freelancer ,mwandishi au mfanyabiashara Na unahitaji kuweka mfumo wa kulipia ili watu kabla hawajajiunga kwenye group lako la WhatsApp au WhatsApp business waweze kulipia Na uweze kupokea fedha zako kirahisi. Au pengine ni mfanyabiashara Na unahitaji kuuza bidhaa zako WhatsApp Na watu...
  2. jastertz

    Je, ni sawa kuweka kitunguu maji, saumu kwenye upishi wa chapati?

    Jamii mapishi, Juzi nilipika chapati za maji aka kumimina but nikaweka vitunguu maji na saumu wa wakati mmoja pamoja na tangawizi nilikula mbili nikasikia kama nimekunywa K vanT kubwa. Je, kuna mapishi ya namna hiyo au ni hatari.
  3. K

    Wakatoliki walifanikiwaje kuweka utaratibu wa kiibada unaofatwa karibu ilimwenguni kote?

    Utashangaa ukihudhuria ibada ya kikatoliki labda mwanza masomo yatakayosomwa hapo Mwanza ni sawa na somo litakalosomwa Bukoba, Mbeya, Shinyanga, Lindi, Mtwara, Tanga nk yaani nchi nzima ujumbe utakaotolewa ni uleule bila kupungua au kuongezeka. Hiki kitu sijakishuhudia katika makanisa mengine...
  4. jastertz

    Benki ipi ni nzuri kuweka akiba ??

    Habari JF!!! Nimekuwa nikitumia Bank X kwa muda wa miaka kadhaa kuweka savings zangu na kupitishia miamala mbali mbali. ila nikiacha tu hata week. hayo makato yake sio mchezo, makato inaeza tosha kuwa nauli ya kufata hela yako kwa muhusika. imagine transactions sijui VAT zinafanyika nikiwa...
  5. Mcqueenen

    Makosa ambayo watu wengi hufanya katika kujenga au kujibu hoja humu jukwaani

    Kupitia mijadala mingi humu jukwaani,nimegundua watu wengi hawajui kujadiliana na mara nyingi hoja zao huwa na makosa,kasoro au upotofu. Ni tofauti na mijadala ya Quora au reddit inavyoenda. Kasoro za kimantiki ni makosa yanayotokea wakati hoja au maelezo yanayotolewa hayafuati misingi ya...
  6. BARD AI

    Mbunge ataka Sheria kuweka bayana uteuzi wa Wagombea ndani ya Vyama vya Siasa

    Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Neema Lugangira ametaka maboresho ya vyama vya siasa na chaguzi ziainishe bayana uteuzi wa wagombea ndani ya vyama vya siasa katika nafasi mbalimbali za uongozi. Ameyasema hayo leo Aprili 25,2023 wakati akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Katiba...
  7. C

    Taasisi za Kitanzania ziipe kipaumbele kuweka namba za simu kwa website page zao, na wawe wanapokea simu

    Ninaona imeshawahi kujadiliwa mara kadhaa hapa. Hili jambo la taasisi zote kutoona umuhimu wa mawasiliano ya simu kiukweli linakera sana. Zama hizi siyo zama za kufunga safari kwenda ofisi fulani kuulizia vitu basic kabisa.. Changamoto: 1. Taasisi nyingi hazina mawasiliano ya simu kwa website...
  8. Melki Wamatukio

    SI KWELI Kupakata laptop au kuweka simu kwenye mfuko wa suruali hupelekea upungufu wa nguvu za kiume

    Hivi ni kweli kuwa watumiaji wa kompyuta mpakato huku wameipakata mapajani, pamoja na sisi tunaotumbukiza simu zetu zikiwa on air kwenye mifuko yetu ya mbele ya suruali tupo kwenye hatari ya kupoteza nguvu za kiume?
  9. Mohammed wa 5

    Unapenda kuweka Nini kwenye simu yako Ringtones/Vibration

    Mo mp5 once again, Hope wazima familia ya JF. Binafsi simu yangu napenda kuweka vibration,sababu sipendi kelele na ni mvivu Sana kupokeaga simu. Kuna Ringtone zingine ziko vizuri Kama za iPhone,nokia,samsung.ila Kama unatumia Tecno,infinix,itel, vivo nk ringtone zao zinakuwa ni mbaya Yani Kama...
  10. Nyamwage

    Nilivyonusurika kutapeliwa milioni yangu ya kwanza kuishika hapa duniani

    Habari Hii ni pesa yangu ya mara ya kwanza kuimiliki nikiwa under 18 sikuipata kwa mkupuo hapana nilidunduliza kidogo kidogo kutokana na kibarua nilicho tafutiwa na mzee wangu Huyo tapeli tulikua tunawajibika wote katika kibarua hicho pia alikua na urafiki na mzee wangu wakikutana wanapiga...
  11. Torra Siabba

    Madereva acheki kuweka roho za watu rehani, fedha haziwasaidii kitu

    Kuna kitu kimenishangaza sana, nilikua na safari yangu ya kutoka Nilipo kwenda Kigoma, nilisafiri na basi la Adventure, wakati tukiwa tumepita Kibondo dereva akaanza kupiga soga na sisi Abiria tuliokua karibu na yeye kuhusu Makampuni ya Magari namna wanavyodhoofishana. Basi akasema kwamba...
  12. Wakili wa shetani

    Ni sawa kwa ofisi ya serikali kutumia pesa kuweka bango la kuwaka?

    Juzi nimepita sehemu nikaona ofisi ya TANESCO ina bango kubwa la kuwaka, kama yale ya kwenye vituo vya mafuta. Nikajiuliza, hawa wanafanya kazi usiku kuhitaji bangi la namna hii? Lile bango ni gharama, sidhani kama linapungua 5m na bila shaka yamewekwa ofisi zote za TANESCO nchini. Ni sahihi...
  13. Infinite_Kiumeni

    Ukiogopa kuweka mipaka hutokuwa na mvuto kwa mwanamke unayemtaka

    Usipoweka mipaka mwanamke wako hatokuheshimu. Na mwanamke asipokuheshimu hawezi kukupenda. Wengi wapo kwenye mahusiano yasiyo na mapenzi. Sababu mwanaume hana mipaka. Ukiwa na mipaka mwanamke anakuona we una thamani zako. Sio wa kuendeshwa na mwanamke. Kama ukiweka mipaka na mwanamke wako...
  14. JanguKamaJangu

    Babu Zlatan Ibrahimovic afunga goli na kuweka rekodi Serie A

    Kitendo cha ZlatanI Ibrahimovic kucheka na nyavu akiwa na AC Milan kimeweka rekodi ya kuwa mchezaji mwenye umri mkubwa zaidi katika historia ya Ligi Kuu ya Italia ‘Serie A’ kufunga goli. Akiwa na umri wa miaka 41 na siku 166 amerejea uwanjani baada ya kuwa nje kwa miezi 14 alipokuwa...
  15. Mr mutuu

    USHAURI: Kuna haja ya kuweka sheria kali za ushoga kama Uganda kunusuru vizazi vyetu

    Jana katika pita pita mtandaoni nikatembelea mtandao wa kenya talk, nikakuta title sijui imeandikwa wazazi kujeni muone watoto wenu nikafungua thread nikakuta Kuna clip nikaifungua!! La haula, nilijuta hata kuifungua aisee, mpaka nikatetemeka Kuna jamaa mtu mzima kidogo alikua uchi wanampiga...
  16. Mtemi mpambalioto

    Tuisaidie Tume ya kuboresha taasisi za haki jinai kwa kuweka maoni yatu hapa

    Wadau kama tunavyofahamu Mh Rais Samia Suluhu Hassan aliteua wajumbe tisa wa Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha taasisi za Haki Jinai nchini inayoongozwa na Mwenyekiti Jaji Mohamed Othman Chande na Makamu Mwenyekiti, Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu Balozi Ombeni Sefue. Lengo kuu ni kuangalia kwa...
  17. felista nangawe

    Kuweka appointment Ubalozi wa Ujerumani kwa mara ya pili (Rebooking appointment)

    Habari! Naombeni mawazo ya nini nifanye kuweza kubook appointment ubalozi wa ujerumani kwa mara pili. Niliweka appointment ya kwanza wakasema kuna document ya muhimu sina (blocked account) nifungue alafu nibook appointment tena. Nikijaribu kubook appointment inaniletea huu ujumbe 👇🏽👇🏽 "the...
  18. Carlos The Jackal

    Serikali na taasisi zenu, nini maana ya kuweka namba za simu kwenye tovuti zenu?

    Manamba hayapatikani wiki nzima, yakipatikana yanaita weeee bila kupokelewa. Hivi Huwa mnaweka namba za ofisi, au zamtu binafsi ila anachoka kuwasaidia Watanzania? Mnakera sana wapuuzi nyinyi. Mtu Unahitaji msaada muhimu sana ,,lakini manamba hayapatikan wiki nzima? Mnakula tu Jasho la...
  19. BARD AI

    Serikali iachane na Sera zinazobana Wawekezaji, mfano kumtaka Elon Musk kuweka ofisi za Starlink Tanzania

    Kitendo cha Waziri Nape Nnauye kusema bado Serikali haijafikia muafaka wa kumruhusu Mwekezaji na Tajiri namba 2 duniani, Elon Musk kuwekeza nchini ili kutoa huduma ya Intaneti yenye kasi kupitia Satelite hadi atakapoweka ofisi zake nchini Tanzania, inaonesha wazi bado tumekumbatia Sera za...
  20. Sky Eclat

    Pochi tatu za kugawa mshahara wako ili kuweka mipango ya maisha

    Kipato cha walio wengi ni mshahara, hata kama unafanya biashara ni muhimu kujiwekea mshahara wako, hii itakusidia kuiheshimu faida na kutokuigusa. Matumizi ya muhimu katika mshahara ni chakula, kodi ya nyumba na usafiri. Haya yanatakiwa kutolewa katika mshahara kabla hujapanga mipango yeyote...
Back
Top Bottom