Naifikiria sana hii kitu pale mtu anapoachwa wiki nzima hajazikwa, huwa inakuwaga huzuni mara mbili kwa wafiwa.
Solution ya hii kitu nimegundua ni mtu kuzikwa fasta fasta na sio kuchelewa zaidi ya siku mbili.
Mwaka jana kwenye family yangu kuna mtu aliumwa kinoma, nikajisemea hapa akifa nazika...
Ushauri tu
Kwenu
Maaskofu wakuu
Wapendwa wasaidizi wa maaskofu
Anzeni vikao vya kuambiana
Kuzikana sio lazima wawe wah ama wafanyabiashara ama wanaotoa sana kanisanii
Mnaposikia misiba ya waumini jifunzeni kuhudhuriq msisubiri kusikia tajwa hapo juu ndio tunakuja kuwaonq
Flan
Kuna baadhi ya...
Haya mtu akiizika hiyo maiti atanufaika na nini? Au kuna faida za kishirikina anazitafuta? Maiti ya kazi gani? Ni upendo ama mnatafuta uhalali wa kurithi mali za marehemu?
Mzazi atakayemlea huyo mtoto atapata faida gani? Hajui kuwa mtoto atamkamua hela ya malezi na ada ya shule? Ni upendo ama...
Mojawapo ya methali za Kiswaheli ni hii hapa zimwi likujualo halikuli likakwisha.. Ni methali inayopingana kwa namna fulani na ile isemayo kumkoma nyani giladi hii si ya Kiswahili ni ya kabila la Wandengereko watu wa asili ya Pwani yenye maana ya kwamba ukimuua nyani usimuangalie usoni (maana...
acheni
chadema
halimashauri
halmashauri
halmashauri ya mkuranga
hii
huwa
kazi
kuzika
maiti zisizotambulika
miili
mkoloni
mkuranga
nafasi
nafasi ya kazi
taharuki
tangazo la ajira
wasiojulikana
watu wasiojulikana
Mama mmoja aliyefahamika kwa jina la Mchanga Omar Said mkazi wa kijiji cha Sizini wilaya ya Micheweni visiwani Zanzibar ameripotiwa kuwa amejifungua na kukizika kichanga kikiwa hai.
Akizungumza katika eneo la tukio ,mkuu wa wilaya ya Micheweni Mgeni Khatib Yahya amelaani tukio hilo na kutaka...
MTU AKIFA ANATAKIWA AZIKWE WAPI? MIGOGORO YA KUZIKA MAITI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Mwezi Aprili nilifiwa na Bibi yangu kipenzi ambaye ndiye aliyenilea, kwangu alikuwa kama Mama. Nilijifunza mengi kupitia yeye, madhaifu na ubora wake. Mazuri na mabaya yake.
Maziko ya Bibi yangu...
Nimeshuhudia misiba mingi ya watu wa kaskazini mwa nchi hii. Kama safari inaanzia Dar, basi safari hiyo hugeuka kuwa tour kwa baadhi yao hasa wale wasindikizaji wasiokuwa na uhusiano wa moja kwa moja na wafiwa.
Utakuta watu wapejipachika na vistarehesha kibao, ndani ya magari kumesheheni vilevi...
Naaam,
Msiba ukitokea katika jamii za watu wa Mugumu, basi hapo msibani watu watakula chakula kisichokuwa na chumvi mpaka siku marehemu atakapohifadhiwa ndio tutarudi kwenye utaratibu wa kawaida.
Labda ikitokea mwili ukakaa mochwari miezi miwili, basi tutakula chakula miezi yote miwili bila...
Watu watatu wa familia moja wamepoteza maisha na wengine kujeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea jana mkoani Mtwara huku ikibanikia watatu hao ni familia moja waliokuwa wanakwenda kwenye maziko jijini Dar es Salaam.
Dereva aliyekuwa anaendesha gari iliyokuwa imebeba wanafamilia hao anadaiwa...
Ilikuwa mshtuko baada ya ndugu wa marehemu Steven Hamis Massawe (60) kufika chumba cha kuhifadhia maiti katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kilimanjaro Mawenzi na kuukosa mwili wa ndugu yao.
Tukio hilo lilitokea juzi, baada ya ndugu hao kufika hospitalini hapo kwa ajili ya kuuandaa mwili kwa...
Habari za mchana wanajamii forums.?
Nisiwapotezee muda, niende moja kwa moja kwenye mada.
Kuna swali huwa ninajiuliza sana lakini bado sijawahi kupata jibu halisi, ninaomba mwenye uelewa wa hili swali anipe majibu.
Ni mara nyingi huwa tunaona ama kusikia matukio ya aina hii, watu kugombea...
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt. Batilda Burian amesema baada ya mazungumzo ya muda mrefu, Isaka Rafael ambaye ni Baba wa Watoto Mapacha waliofariki katika Kituo cha Afya Kaliua na kuzua taharuki baada ya pacha mmoja kuondolewa na jicho na ngozi ya paji la uso macho, amekubali kushirikiana na...
Hamna kizuri uja kwenye kupoteza biashara, hata ujipige kifua mara ngapi, ukipoteza mteja hata mmoja ni hasara sana. Bara Uropa lote linakimbia gesi ya Mrusi.
Like many countries in Europe, Finland is looking to liquified natural gas (LNG), to replace the mainly pipeline-transported gas it used...
Ukisikia sifa zinaua ndio huku, Hapa kwa mporomoko huu wa jeneza sijui kama waliodondokewa na jeneza walipona?
Humo kwenye jeneza mwili wa marehemu ushavunjika vunjika kwajili ya hizi sifa.
Utasikia kisingizio ni jeuri ya pesa lakini ukifatilia unakuta pesa zenyewe ni mshahara wa kuajiriwa...
Habari za mchana
Naenda direct kwenye mada
Ulikuwa na mtazamo gani kuhusu kuzika na mala yako ya kwaza kuzika hilikuwaje
Mimi nilikuwa najua mtu akizikwa basi anakutokea usiku unapolala
Nakumbuka mara yangu ya kwaza kwenda kuzika nilikuwa darasa la tano mwezetu alifiwa na baba yake kwaiyo...
Kwa sasa hata kwa baadhi ya matambiko ya kiluguru kuna maneno ya kiluguru utayasikia yanasemwa, haya maana sana ila yanaonesha hali ilivyokuwa kipindi hiko.
Kagone vigonele fungo
Munu mkulu kagona kikunza
Kwekuka wayago tokuja
Hayo maneno utayasikia kwenye matambiko, siku za hivi karibuni...
Vijana wengi hasa wa mijini hawajui ni namna gani ya kuwazika wapendwa wao, hii nimeiona kwenye misiba kadhaa hasa ya kikristo wazikaji wanakodiwa.
Kwanza ni waoga kuingia mortuary hawawezi kabisa, wakati wa mazishi kuingia kaburini wengi wao hawawezi kabisa kazi kunyoa viduku na kuvaa suruali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.