MISIBA NA UMJINI WA WATU WA MJINI.
Vijana wa mjini ninawaomba sana bamyiitu, mkienda kijijini msilete umjini wenu kwenye mambo ya msingi. Jaribuni kufanya yale ya utaratibu wa kijijini. Salimia, nyenyekea, piga stori, chekesha, yaani fanya yote yafaayo kwa jamii ya wanakijiji uliowakuta pale...