kuzikwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    Wanakaribia kuzikwa, kijani anawasubiria tu

    Hii katuni inasadifu wanakoelekea, inasikitisha sana.
  2. Magical power

    Barua ya marehemu mama kwa mwanae - siku tatu baada ya kuzikwa

    BARUA YA MAREHEMU MAMA KWA MWANAE - SIKU TATU BAADA YA KUZIKWA!!! Mwanangu Mpendwa, Nataka ujue kwamba nilikufa kama mwanamke masikini wakati nina Mtoto kama wewe. Mwanangu, nilitaka kukubariki kabla sijafa, lakini sasa nimeenda na baraka zangu. Chai ya asubuhi, chakula cha mchana na...
  3. Waufukweni

    TANZIA Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Yanga, Abdulrahman Mnero afariki dunia kwa Ajali, kuzikwa leo Mbagala, Kingugi

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Yanga, Abdulrahman Mnero aliyefariki dunia jana kwa ajali ya barabarani anatarajiwa kuzikwa saa 10:00 jioni ya leo huko Mbagala Kingugi, jijini Dar es Salaam. Munelo alipata ajali jana katika eneo la Mbagala Zakhem baada ya bodaboda aliyokuwa amepanda...
  4. econonist

    Miili ya wanajeshi wa Hizbollah yaanza kuzikwa

    Baada ya cease fire kutngazwa, miili ya wapiganaji wa Hisbollah imeanza kufukuliwa na kukabidhiwa kwa wanafamilia kwaajili ya kuzikwa. Miili msingi ya wanajeshi ilifikiwa kwenye makaburi ya halaiki kwani kutokana na mashambulizi ya Israel wasingeweza kukabidhi miili hiyo kwa familia za wahusika...
  5. W

    Dkt. Faustine Ndugulile kuzikwa leo, Kigamboni

    Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika (WHO-Afrika) na Mbunge wa Kigamboni, Dkt. Faustine Ndugulile kuzikwa leo, Novemba 3, 2024 katika Makaburi ya Mwongozo yaliyopo Kigamboni Taarifa hii imetolewa na watoto wake Martha na Melvin Novemba 2, 2024 katika hafla ya kumuaga...
  6. M

    Albert Chalamila: Nimeandika wosia nikifa nizikwe Kiislamu

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema miongoni mwa mambo ambayo anayapenda ni kuhusu jinsi waumini wa Dini ya Kiislam wanavyowazika wapendwa wao na kueleza kuwa ameandika wosia kwamba atakapofariki, anataka kuzikwa kama Waislam wanavyozikwa.
  7. Eli Cohen

    Hivi ile ya mwili wa marehemu kugoma kuzikwa mahala fulani huwa imekakaaje? Huwa kuna energy fulani au ni mazinga ombwe tu?

    https://youtu.be/KyKBrBjCuf4?si=riIJh0YWtQ-9mt8o
  8. U

    TANZIA: Padre Dkt Fidelis Mgimwa kuzikwa leo jumatatu Julai 29,2024

    Wadau hamjamboni nyote? Tumsifu Yesu Kristo Roho ya Marehemu ilale mahala pema peponi
  9. L

    Yusuphu Manji Kuzikwa Leo Saa Tisa Frorida Marekani

    Ndugu zangu Watanzania, Habari ni kuwa aliyekuwa mfanyabiashara wa kimataifa na kiongozi na mdhamini wa klabu ya Yanga anatarajiwa kuzikwa leo muda wa saa Tisa Frorida Marekani. Hiyo ni kwa mujibu wa mwanae na atazikwa pembezoni au karibu na kaburi la Baba yake. Chanzo cha habari yangu ni...
  10. W

    Mr Ibu kuzikwa leo

    Marehemu mwigizaji kutoka nchini John Okafor (62) maarufu Mr Ibu anatarajia kuzikwa leo Juni 28, 2024 katika mji aliozaliwa wa Amuri, Jimbo la Enugu. Mr Ibu alifariki dunia Machi 2, 2024 wakati akiendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Evercare iliyopo nchini Nigeria ikiwa ni siku 118...
  11. mdukuzi

    TANZIA Sheikh Said Nyange afariki akihiji Mecca na kuzikwa hukohuko

    Sheikh Said Nyange amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 48 usiku wa kuamkia leo baada ya kuugua ghafla akiwa Makka nchini Saudi Arabia alipokwenda kuhiji na tayari ameshazikwa hukohuko baada ya kupata ridhaa kutoka kwa familia. Kazaliwa Machame,kazikwa Mecca Saudi Arabia
  12. Selemani Sele

    Maiti kugoma kuzikwa mpaka mahari itolewe

    Kama mtembezi wa mtaani nimeshuhudia jambo ambalo limenishangaza na kunistaajabisha kwa wakati mmoja na hii ni mara ya mbili kuliona hapa vingunguti je ni jambo gani? Kaa chonjo. Ni hivi ndugu wa mke au mume kuforce kufunga ndoa na maiti Ilikuwa juzi wakati nahangaika na shughuli zangu za...
  13. mdukuzi

    June 30, 1993 alifariki Gavana Rutihinda na kuzikwa Buguruni Malapa. June 15, 2024 anafariki Balozi Ruhinda na kuzikwa Kinondoni

    Usichanganye haya majina, hawa sio ndugu kabisa, Gavana Gilman Rutihinda ni mhangaza toka wilayani Ngara,wilaya yenye vinasaba na Burundi, Bakozi Ferdinand Ruhinda ni mnyambo toka Karagwe mwenye asili ya wahima ndugu wa watutsi,. Kwa tamaduni na mazoea ya watu wa mkoa wa Kagera huzikwa...
  14. A

    Aliyekuwa Makamu Rais Malawi kuzikwa Juni 17, 2024

    Mazishi ya aliyekua Makamu wa Rais Malawi Dr Saulos Chilima yatafanyika Jumatatu tarehe 17.06.2024 kijijini kwake katika wilaya ya Ntcheu yapata kilomita 175 toka Lilongwe. NB: Majirani tukafariji ndugu zetu MALAWI. Udugu kufaana si kufanana
  15. Melki Wamatukio

    Video: Maiti yapambana na wanakijiji ikiwa ndani ya Jeneza ikigoma kuzikwa

    Nimepata full mkanda wa jinsi ambavyo Bi Suguna huko kijijini kwetu Nanjilinji alivyogoma kuzikwa. Maiti iligoma kuingia kaburini, wakaamua wairudishe kwake ili wafanye mpango wa kuchimba shimo karibu na nyumba yake. Cha ajabu hata kuingia ndani imegoma. Imevunja nyumba. Inafurahisha sana
  16. Dr Matola PhD

    Ndugu katika imaan, inakuwaje nchi ya kiislamu maiti iwekwe wiki nzima bila kuzikwa?

    Kuna kitu sijakielewa bado, Iran ni Taifa la kiislamu, Rais ameuwawa na chopa jumapili, lakini mazishi yatafanyika Alhamisi, wakati deen inasema muislamu akifa azikwe haraka tena hukohuko alipofia. Je hamuoni kwamba Iran ni Jamhuri ya kiislamu lakini hawafuati uislamu unasemaje?
  17. P

    Mkuu wa Majeshi wa Kenya alitaka azikwe bila Jeneza na asicheleweshwe kuzikwa

    Mkuu wa majeshi Kenya,alitaka azikwe bila jeneza na asicheleweshwe kuzikwa ili kupunguza gharama za mazishi,japo yeye ni mkristo.
  18. G

    Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi kuzikwa tarehe 2 badala ya siku ya kesho ndani ya masaa 24 ni kukiuka mazishi ya kiislam. Napendekeza ratiba ibadilishwe

    Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi kafariki saa 11 na nusu jioni ya leo tarehe 29/2/2024 hivyo kwa taratibu za kiislam inabidi azikwe kesho 01/03/2024 kabla ya saa 11 na nusu jioni, ikipendeza zaidi ilibidi iwe kesho asubuhi au mchana Imepokewa kutoka kwa Abu Hurayra رضى الله عنه akisema: Amesema...
  19. Erythrocyte

    Ratiba: Lowassa kuzikwa kwao Monduli tarehe 17/02/2024

    Hii ndio Taarifa ya sasa kuhusiana na Msiba huo Hii ni kwamba Maombolezo ya kitaifa ya siku 5 yataisha kabla hajazikwa. ==== Mwili wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa unatarajiwa kuzikwa Februari 17, mwaka huu kijijini kwao Ngarash wilayani Monduli Mkoa wa Arusha. Lowassa amefariki...
  20. R

    Nabii Rolinga: Kenya inaongozwa na Mzimu wa Rais wa Kwanza ambaye hakuwahi kuzikwa Hadi Leo.

    Salaam, Shalom!! Kumekucha 2024, Anayejulikana Kwa Jina la Nabii Rolinga, amesema kuwa chanzo Cha Nchi ya Kenya kumwaga Damu Kila Uchaguzi ni sababu ya Mzimu wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya kwanza Jommo Kenyata. Amedai kuwa Hadi sasa anayetawala Nchi hiyo katika Ulimwengu wa Roho ni Mizimu ya...
Back
Top Bottom