kuzikwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robot la Matope

    Ushirikina Kigoma: Mwanamke aliyefariki Oktoba 2018 na kuzikwa aonekana akiwa hai

    Jeshi la Polisi Mkoani Kigoma limetoa ufafanuzi juu ya taarifa za Mwanamke mmoja wa miaka 40 Mkazi wa Kazegunga ambaye anadaiwa kuonekana November mwaka huu baada ya kufariki October 17,2018 wakati akijifungua Mtoto katika Hospitali ya Baptist iliyopo Halmashauri ya Manispaa Kigoma Ujiji na...
  2. Webabu

    Askari wa Israel wazidi kuangamia Gaza. Zaidi ya 100 wauliwa siku moja na kuzikwa kaburi moja

    Gharama ya vita vya Gaza inazidi faida ya malengo Israel iliyojiwekea. Wapiganaji wa Hamas jana waliwazingira askari wa miguu walioingia maeneo yao na kuwaua zaidi ya 100 kwa mpigo. Vita walivyokuwa wakivisubiri Hamas sasa ndio vimeanza
  3. BARD AI

    Mwili wa Marehemu kufukuliwa ili uzikwe upya baada ya utambuzi

    Mwili wa kijana mmoja unaosadikika kuwa miongoni mwa miili mitano iliyopatikana eneo la Mlima Senjele wilayani Mbozi Mkoa wa Songwe Mei 10 mwaka huu, umefukuliwa baada ya kutambuliwa kwa picha kisha kwenda kuzikwa kwao. Kamanda wa Polisi Mkoani hapa ACP Theopista Mallya amewaambia waandishi wa...
  4. BARD AI

    Mwanamke aamka kwenye Jeneza muda mfupi kabla ya kuzikwa

    Mwanamke aliyetambulika kwa jina Bella Montoya (76) kutoka Ecuador amewaacha watu kwenye mshangao baada ya kukutwa akihangaika kuvuta pumzi kwenye Jeneza wakati ndugu walipotaka kumvalisha mavazi maalumu ya mazishi. Kwa mujibu taarifa ya Wizara ya Afya, mwanamke huyo alipata tatizo la Mshtuko...
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    Nikifa, sio muhimu kwangu kuzikwa kidini. Mbinguni hatuingii kwa kuombewa wala kuswaliwa

    Haya maisha yana mengi, eti niwe jambazi kama Gabi wa UMUGHAKA, Niue watu, niwatapeli watu kwa kuwapa hela feki. Niwe mchawi, nizini na wake wa watu na watoto wao niwape mimba, kisha mizikatae hizo mimba. Niibe mali ya umma, pesa ya kununua madawa ya watu masikini nikaifiche Switzerland 🇨🇭...
  6. Nyendo

    Mwanza: Wanafunzi Mapacha wa Chuo cha Mipango wafariki Dunia kwa kuzama Ziwa Victoria

    Wanafunzi wawili Mapacha wa mwaka wa tatu katika Chuo cha Mipango Kampasi ya Mwanza wamefariki dunia baada ya kuzama katika Ziwa Victoria wakati wakiogelea katika eneo la fukwe za Mihama Kata ya Kitangiri wilayani Ilemela mkoani Mwanza. ============= Kenny na Lenny Makomonde (24), mapacha na...
  7. T

    Zitto ashauliwe, anayo fursa ya kuamua, kuzikwa pembeni ya Membe au akae kwa kutulia!

    Zitto amechanganyikiwa? Aliyoyaongea kwenye msiba wa mpendwa wetu mh Membe, yanasidifu hiki ninachosema! Aliwahi kusema kipindi cha Kifo cha Magufuli kwamba, walioumizwa sana na kifo hicho, wakazikwe pembeni yake Sasa leo tunamkumbusha tuu Haya ni marudio tu ya kile Zitto alisema pale ambapo...
  8. JanguKamaJangu

    Mwili wa bondia Ibrahim Najim aliyefariki baada ya kuanguka ulingoni, kuzikwa Kyela

    Mwili wa bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Ibrahim Najim unatarajiwa kuzikwa wilayani Kyela Mkoani Mbeya. Najum alianguka ulingoni jumapili iliyopita baada ya kumalizika kwa pambano lake la raundi nne dhidi ya bondia Laurent Segu wa Dodoma na kuwahishwa hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma...
  9. BARD AI

    Watatu wa familia moja waliofariki mafuriko Arusha kuzikwa Ijumaa

    Watu watatu wa familia moja kati ya wanne waliofariki juzi baada ya gari walilokuwa wamepanda kusombwa na mafuriko, akiwemo mama, mtoto na mtoto wa kaka yake, wanatarajiwa kuzikwa Ijumaa Aprili 28, 2023 katika eneo la Ilboru, Wilaya ya Arumeru Mkoa wa Arusha. Tukio hilo lilitokea jana Aprili...
  10. G

    Wakristo tuna maoni gani kwenye kutumia dawa za kufanya maiti isivunde haraka ili ichelewe kuzikwa kinyume na maandiko?

    Hapo zamani kabla ya ugunduzi wa dawa za maiti za kuchelewesha kuoza na kukata shombo la kuoza, watu walikuwa wanazikwa kawaida. Hii dawa huwa ina kemikali nyingi sana ili kufanya maiti isioze haraka. Ni vema kukubaliana na uumbaji kwamba kwa jinsi tulivyoumbwa kwamba mtu akifa anaanza kuoza...
  11. BARD AI

    Rais Ramaphosa akataa Rapa AKA kufanyiwa mazishi ya Kitaifa

    Vyombo vya Habari vya #AfrikaKusini, vimeripoti kuwa Gavana wa Serikali ya #Gauteng, Panyaza Lesufi, alimwandikia Rais #Ramaphosa ombi la Msanii huyo kuzikwa kama Mtu mwenye mchango mkubwa kwa jamii na hivyo apewe heshima ya Kitaifa. Gavana Panyaza hakuomba fedha za Serikali zitumike kwa ajili...
  12. M

    Elimu ya Bure kwa Wasafirisha Maiti zinazogoma kwenda Kuzikwa Kwao ili zisikudhuru kwa Ajali mbaya barabarani

    1. Chukua Jiwe Dogo rusha upande wa mbele lilipo Jeneza Marehemu wako hata kama hakutaka Kusafirishwa Kwao atafika tu na wala hamtadhurika njiani na Gari yenu haitopata Ajali. 2. Chukua Jiwe Kubwa liweke Juu ya Jeneza hapo mnafika nae Kijijini Kwao Salama na wala hamtopata Jambo lolote baya...
  13. JanguKamaJangu

    Ajali iliyoua watu 20 Tanga, yadaiwa wakati wa uhai wake, marehemu alisema akifa mwili wake usipelekwe Kilimanjaro

    Ndugu wa marehemu Athanas Mrema aliyekuwa akisafirishwa katika gari lililopata ajali na kuua watu 20 Korogwe mkoani Tanga, wamedai kuwa ndugu yao hakutaka kwenda kuzikwa Rombo mkoani Kilimanjaro. Inadaiwa kuwa Mrema alitengana na mkewe anayeishi Rombo kwa zaidi ya miaka 20 na aliomba akifariki...
  14. D

    Mfumo dume, wimbi la shinikizo la mume kuzikwa nyumbani

    Watetezi wa haki ya binadamu mko wapi? Watetezi wa wanawake mko wapi? Vyombo husika viko wapi? Nawasalimu nyote, Hivi karibuni kumeibuka kama mara mbili hivi kwenye vyombo vya habari vya mitandao, mwanamke akifiwa na mumewe na kama wamechuma mali pamoja au la, au hata kama kuna nyumba imeachwa...
  15. BARD AI

    Aliyefariki na kuzikwa Aprili 2022 apatikana akiwa hai Desemba 28, 2022

    Kijana Henry James (28) Mkazi wa Kijiji cha Kandaga Wilayani ya Uvinza Mkoani Kigoma ambaye aliyefariki na kuzikwa mwezi April 2022, amepatikana akiwa hai December 28, 2022 na kuungana tena na Familia yake huku akisema “mlipokuwa mnazika nilikuwa nimesimama pembeni kwenye mti” Mama mzazi wa...
  16. MK254

    Mzambia aliyetumika kuisaidia Urusi kwenye vita, kuzikwa Zambia

    Supapawa baada ya kuishiwa wanajeshi, imekua ikitumia wafungwa kupigana kwa niaba yake, sasa Mzambia aliyeuawa kwenye hayo mapambano, mwili wake utaletwa nyumbani....takbir The body of a Zambian student who died while fighting in Ukraine after being jailed in Russia will be repatriated on...
  17. OKW BOBAN SUNZU

    Jinsi ya kuosha maiti hatua kwa hatua

    Ili maiti aweze kuoshwa vizuri hatua zifuatazo ziweze kupitiwa: 1. Maiti awekwe kwenye kitanda chenye tobo katikati kwa ajili ya kupitisha uchafu utokao tumboni kama upo. 2. Lichimbwe shimo (ufuo) usawa wa tobo la kitanda ili kuhifadhi uchafu utokao kwa maiti. 3. Maiti afunikwe na shuka kubwa...
  18. Equation x

    Kuzikwa kwa ibada za dini tulizonazo au kuzikwa kipagani kuna manufaa gani kwa marehemu?

    Mwezi uliopita, nilihudhuria mazishi ya rafiki yangu mmoja. Kutokana na maisha yake aliyoishi hapa duniani, alikuwa haendi jumuiya, wala kutoa michango ya huko anakoabudia. Umauti ulipomfika, kukawa na utata; kule kwenye dhehebu lake wakakataa kumzika, kwa sababu alikuwa haudhurii jumuia, wala...
  19. JanguKamaJangu

    Binti wa Dos Santos akata rufaa kupinga mwili wa baba yake kuzikwa Angola, ataka azikwe Hispania

    Tchize dos Santos, mtoto wa aliyekuwa Rais wa Angola, Eduardo dos Santos amekata rufaa dhidi ya uamuzi wa Mahakama ya Hispania iliyoagiza mwili wa Eduardo ukabidhiwe kwa mjane wake, Ana Paula ili urejeshwe Angola kwa maziko. Dos Santos aliyeshika madaraka 1979-2017 alifariki Julai 8, 2022...
  20. Greatest Of All Time

    Mzee Somo wa Simba afariki Dunia, kuzikwa leo Mtwara

    Aliyekuwa msaidizi wa mtunza vifaa wa klabu ya Simba, Hassan Mtutanje maarufu kama Mzee Somo amefariki dunia juzi jumamosi usiku. Marehemu atakumbukwa kama mmoja ya wafanyakazi wa Simba waliokuwa na mahaba mazito na klabu hiyo. Mzee Somo atazikwa leo kwao mkoani Mtwara. Apumzike kwa amani.
Back
Top Bottom