Marehemu mwigizaji kutoka nchini John Okafor (62) maarufu Mr Ibu anatarajia kuzikwa leo Juni 28, 2024 katika mji aliozaliwa wa Amuri, Jimbo la Enugu.
Mr Ibu alifariki dunia Machi 2, 2024 wakati akiendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Evercare iliyopo nchini Nigeria ikiwa ni siku 118...