MAMBO YA KUZINGATIA UWAPO KWENYE MKESHA.
Anaandika, Robert Heriel.
Ikiwa Leo ni ukurasa wa mwisho katika kitabu cha mwaka 2021, siku ya leo sitakuwa na mengi ya kusema;
Mwisho wa mwaka ni mwanzo WA mwaka mwingine. Siku zinaenda nazo hazirudi tena, huja Kwa matumaini makubwa huondoka Kwa...
Mambo ambayo ni ya msingi ili kufanya muunganiko wa mwanaume na mwanamke uweze kutambuliwa kama Ndoa ni pamoja na haya yafuatayo:
a) Hiari : lazima muunganiko utokane na chaguo binafsi la wahusika; bila Udanganyifu, laghai au kurubuniwa kwa aina yoyote
b) Kusudio la kudumu: muunganiko wa...
Dar es Salaam. Mwanzo wa mwaka unapokaribia wazazi wengi huanza kutafuta shule bora kwa ajili ya watoto wao kujiunga ili wajiendeleze kielimu.
Wakati huu ndio ambao wazazi hulazimika kuwapeleka watoto katika shule tofauti kufanya mitihani ya kujiunga, hasa wale wa kidato cha kwanza.
Hapa...
Ni dhahiri hata nyie viongozi wa serikali mnakubali kuwa mliingia kitanzini kupata mkopo wa tril 1.3 toka Wb kwa mashariti ya kupambana na Uviko 19 lakini mkijua kabisa hali sio mbaya kihivyo.
Maana nawaona kwenye dhifa la kitaifa kumkaribisha rais wa Burundi wengi mmevaa barakoa kama geresha...
Ni wazi ofisi na mtaani ni mazingira mawili tofauti kabisa,hivyo yanahitaji mbinu tofauti kupata kipato cha kuendesha maisha yako.
Kwa kuwa wastaafu wengi wametumia muda mwingi kazini ( hadi unafika miaka 55 au 60), muda huu unapostaafu unapaswa kujifunza mazingira mapya kwa uharaka bila...
Mpaka unaamua kumkaribisha nyumbani first dinner mpenzi wako ni lazima umemuamini na kuna vitu vimekuvutia kwake. Hii ni nafasi yako ya kujionyesha kwake uhalisia wako.
1. Nyumba iwe kwenye mpangilio mzuri. Hata kama unaishi kwenye chumba kimoja, tandika kitanda na uandae sehemu za kukaa...
Ni jambo moja kuamua usomee nini, na ni jambo la pili kuamua ukasomee wapi.
Tanzania Kuna vyuo vikuu na vyuo vya kati zaidi ya 100
Lakini utalazimika kuchagua kimoja tu katika hivyo vingi ili uweze kusomea unachotaka kusomea.
Hivyo ni muhimu sana kuwa na sababu ya kwanini unachagua chuo...
Ninaongelea hizi biashara ndogo ambazo hazihitaji uwekezaji mkubwa au kuajiri wataalamu wa kukusaidia mambo ya marketing, accounts ana vitu vingine.
1. Angalia unachoweza kufanya kutoka moyoni mwako, mfano kushona, kupika, kusafisha nyumba na kupamba. Wewe mwenyewe ni mzuri kiasi gani katika...
Kwanza nawapongeza kamati mahususi kwa ajili ya Uandaaji wa Kombe la Shirikisho maarufu kama Azam Federation Cup. Hakika kila mwaka kuna maendeleo kadri ambavyo linazidi kusonga mbele. Hakika mnazidi kufanya soka la Tanzania lizidi kupiga hatua mkishirikiana na TFF.
Lakini pamoja na jitihada...
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge alisema maelekezo ya Wizara ya Afya ni ya kusimamiwa kwa kuchukua tahadhari kwanza katika sehemu zote za huduma kwa kuhakikisha kuna maji tiririka, vitakasa mikono, kukaa mbali kati ya mtu na mtu na watu kuvaa barakoa.
Kunenge alisema serikali imeshatia...
Wakuu nina mpango wa kuoa ifikapo mwakani ila naombeni muongozo ni mambo gani ya kuzingatia wewe na mpenzi wako kabla ya kufikia hatua ya kuoana?
Kwa wale mnaofahamu nitashukuru mkinipa mwongozo.
Utangulizi
Dira kwa maana fupi ni muelekeo. Dira ya Maendeleo ya Tanzania (Tanzania Development Vision (TDV) 2025 ilianzishwa mwaka 1994 na kuzinduliwa rasmi mwaka 1999 ambapo utekelezaji wake ulianza mwaka 2000 lengo kuu likiwa kuongoza harakati za maendeleo ya uchumi na jamii zitakazoiwezesha...
Mimi ni kijana ambaye niko jiji Dar es Salaam katika harakati za kutafuta pesa nmefikiria kununua boda boda ili niweze kujiongezea kipato lakini kutokana na boda boda mpya kuwa gharama sana nmefikiria kununua boda boda used ambayo gharama yake inaweza anzia kwenye 800k had 1.2M
Nilikuwa nauliza...
Good evening jamiiforums
Soma hapa>>> Kwanini tozo kwa makosa ya usalama barabarani zisishabihiane na uzito wa kosa husika?
WAZIRI MWIGULU NCHEMBA LEO BUNGENI
=====
"Mh. Spika napendekeza kupunguza adhabu kwa makosa ya pikipiki na Bajaji kutoka elfu thelathini za sasa hadi elfu kumi kwa kosa...
Wakuu Habari,
Nimeona nikushirikishe wewe kijana mwenzangu ambae bado uko Chuo, Mtaani au tayari kwenye suala la Ajira.
Ni muhimu kuzingatia ni kwa njia gani unaishirikisha jamii ili tu uweze kutoka sehemu moja kwenda nyingine kimaisha.
Mfano mzuri, kama unatafuta kazi kwa njia ya kutuma...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imesema vyama vya siasa vinavyoshiriki Uchaguzi Mdogo wa Ubunge katika majimbo ya Muhambwe na Buhigwe mkoani Kigoma na Uchaguzi wa Udiwani katika kata tano za Tanzania Bara, vina wajibu wa kuweka mawakala kwenye vituo vya kupigia na kujumlisha kura lakini mawakala hao...
Habari,
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, naomba mwenye ujuzi wa biashara ya Spea za Magari madogo ya kutembelea hasa Toyota (IST, Raum, Spacio, Carina, GX 100 n.k) anisaidie mambo muhimu ya kuzingatia kwa ninaetaka kuanzisha biashara hii.
Mfano aina ya spea zinazotakiwa kwa sana, muuzaji...
Naam! Nawaletea neno la siku; tupo likizo kidogo.
1. KUWA NA MARAFIKI AMBAO WANA FAIDA KATIKA MAISHA YAKO: Unaweza kuta mtu katika simu yake ana marafiki zaidi ya 200 lakini hawa wote anapopata tatizo au shida akianza kuomba msaada katika hao marafiki hata shilingi laki 5 haifiki, sasa kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.