kuzuia

Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo Sports Club, or simply KMKM SC is a football club from Zanzibar based in Unguja.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    Pre GE2025 Makalla: Lissu na wenzake hawana ubavu wa kuzuia uchaguzi

    Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayehusika na Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, amewataka Watanzania kupuuza madai ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwamba uchaguzi hautafanyika bila mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi. Akizungumza siku ya...
  2. N

    Je ni Kweli mwanamke akitumia sindano za kuzuia mimba, zinaweza kukausha mayai ya uzazi?

    wana jamii ushauri wenu kwa ufupi..... baby mama wangu ameenda hospitali kubwa ya nchi... Kuangalia kwanini hashiki mimba.. Hapo nyuma alikuwa anatumia sindano za uzazi kuepusha kushika mimba.. Sasa daktari amemwambia inawezekana mayai yake yamekaushwa na hizo sindano ...Hivyo inabidi kufanya...
  3. Gabeji

    Pre GE2025 Chadema chini ya Lissu tumieni nguvu hiyo kukiimalisha CHAMA kuliko kutumia kuzuia uchaguzi.

    Poleni na hongereni na kutafuta mkate wa kila siku. Chadema mpya hongereni na harakati za kuleta mabadiliko ya kikatiba kwa Tanzania. Tumeona nia yenu ni njema sana ktk kuleta na kupigania haki ndani ya nchi yetu." Hoja hii ya No reform No election" ipo vzr sana, lakini kwa maoni yangu , ni...
  4. Waufukweni

    Pre GE2025 Lissu: Mabadiliko yakikubaliwa, Uchaguzi utaahirishwa na Bunge litarudishwa hata kama lilivunjwa

    Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
  5. K

    Nifanyaje kuzuia matangazo kuingia kwenye simu yangu wakati wa kutafuta kitu kwenye Browser

    Wakuu Nifanyaje kuzuia matangazo kuingia kwenye simu yangu wakati natafuta kitu kwenye web browser Nawakilisha hapa nashindwa hata kuandika
  6. Kinyungu

    Janga la "Energy Drinks" Tanzania: Umuhimu wa Sheria Kuzuia Vijana Chini ya Miaka 18 Kunywa Vinywaji vya Kuongeza Nguvu

    Katika miaka ya hivi karibuni, matumizi ya vinywaji vya kuongeza nguvu (energy drinks) yameongezeka kwa kasi hapa nchini Tanzania, hasa miongoni mwa vijana. Ingawa vinywaji hivi vinatangazwa kama viongeza nguvu na msukumo wa mwili, tafiti zinaonyesha kuwa vinaweza kuwa na madhara makubwa kiafya...
  7. W

    Mbinu zilizotumika kuzuia Uzimwaji wa Mitandaoni katika Nchi za Bara la Asia na Oceania. Tanzania tunachakujifunza hapa

    Kwa mujibu wa Utafiti uliofanywa na "Indo-Pacific Center for Civil Society Resilience" jumla ya nchi 7 katika bara la Asia na Oceania (Indo - Pacific region) zilipitia changamoto ya kuzimwa kwa mtandao na kuminywa kwa Uhuru wa kujieleza Mtandaoni kwa mujibu wa ripoti ya "Freedom of the Net"...
  8. Mzee wa Code

    CCM Kuzuia Watia Nia Mapema: Kuminya Demokrasia au Kuthibiti Nidhamu ya Chama?

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeweka masharti yanayowazuia wanachama wake wanaotaka kugombea nafasi za uongozi kuanza kampeni mapema kwenye majimbo yao. Hatua hii imeibua mjadala mpana kuhusu mustakabali wa demokrasia ndani ya chama na haki ya msingi ya kugombea nafasi za uongozi. Kwa mujibu wa...
  9. NGOSWE2

    Ile mikokoteni ya kukokotwa na bodaboda tuliyoambiwa inatengenezwa kuzuia ajali iko wapi?

    Habari wadau! Moja kwa moja kwenye mada. Ile mikokoneni imeishia wapi? Tuliambiwa kuwa kuna jitihada zinafanywa na serikali za kuzuia ajali zinatokana na bodaboda kwa kuwatengenezea mikokoteni. Hivi karibuni tumesikia takwimu za vifo vilivyosababishwa na bodaboda zilizotolewa Bungeni, hii...
  10. Ojuolegbha

    Serikali kupitia taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mwanza katika kipindi cha Oktoba hadi Disemba 2024 imefanikiwa kufuatilia

    Serikali kupitia taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mwanza katika kipindi cha Oktoba hadi Disemba 2024 imefanikiwa kufuatilia utekelezaji wa miradi ya maendeleo 13 yenye thamani ya zaidi ya sh. Bil 4.4 kwenye sekta ya Elimu, Barabara na Biashara ambapo kati ya hiyo...
  11. Poppy Hatonn

    Wabunge wa Democratic waenda AID hq kuzuia Trump na Elon Musk kuifuta AID

    Wabunge wa Democratic wanasema AID iliwekwa na Bunge kwa hiyo Elon Musk hana mamlaka ya kuiondoa AID. Kama Trump anataka kuifuta AID alete muswada Congress atuombe ruhusa. Lakini AID haiwezi kufutwa na Elon Musk bilionea ambaye hakachaguliwa na mtu yeyote. Hili ni shirika linawasidia watu...
  12. safuher

    Kwanini nitumie dawa za kuzuia mafua?

    Mwili kikawaida huwa una njianzake pekee za kujilinda dhidi ya vitu mbalimbali(defense mechamism). Mtu akipaliwa na punje ya wali atakohoa na hakuna anayezuia kwamba usikohoe kwa sababu kukohoa ni njianya mwili kujilinda na baada ya hapo mtu anapata afadhali. Sasa kwenye mafua, yale mafua ni...
  13. Stuxnet

    USAID haiwezi kufutwa kwa Executive Orders; watetezi kwenda Mahakamani kuzuia uamuzi wa Donald Trump

    Hili ni kinyume cha sheria. Si Donald Trump wala Elon Musk anayo mamlaka ya kufuta USAID; ni Bunge (Congress) pekee linaloweza kufanya hivyo kwa kupitisha sheria. Kesi za kisheria zinaendelea, ili kujaribu kuzuia hili. JFK alitoa amri ya kiutendaji kuunda USAID, kisha baadaye Bunge...
  14. Mr Why

    Mitambo ya kuzuia vurugu za uchaguzi wa Rais mwaka 2025 iliyonunuliwa na Serikali inatisha sana, vyama pinzani vitakapoleta vurugu vitaishia pabaya

    Mitambo ya kuzuia ghasia za uchaguzi wa raisi mwaka 2025 iliyonunuliwa na Serikali inatisha sana, vyama pinzani vitakapoleta vurugu vitaishia pabaya Vyama pinzani mkiwemo CHADEMA na vinginevyo nendeni pole pole ndugu zangu kwasababu mitambo ya kupambana na vurugu iliyomwagwa Jeshi la Polisi ni...
  15. R

    Uhuru wa Mahakama: Mahakama yasitisha amri ya Trump ya kuzuia uraia wa kuzaliwa Marekani

    UHURU WA MAHAKAMA Kwako Ibrahim Juma , CJ. MH. JAJI MKUU NAOMBA UPITIE UONE KAMA KUNA HAJA YA KUIGA MFANO HUU WA MAHAKAMA HURU Jaji wa Mahakama ya Wilaya ya Marekani, John Coughenour, ametoa agizo la muda la kusitisha utekelezaji wa amri ya Rais Donald Trump ya kufuta uraia wa kuzaliwa nchini...
  16. kaputula

    Tanzania tuchukue tahadhari kuzuia wakimbizi toka Rwanda

    Kuna kila dalili kuzuka vita kati ya DR Congo na Rwanda. Nchi kubwa ya Congo inaweza kuamua kupigana vita na Rwanda ambayo ni ndogo kabisa kulinganisha na DRC. Mwanzo wa vita pamoja na kiburi na kujiamini kwa watutsi wenye kutawala Rwanda DRC inaweza kuwavuruga vibaya. Pamoja na uzembe ufisadi...
  17. Genius Man

    Pre GE2025 Jeshi la polisi kuzuia waandishi wahabari na wanasiasa kuzungumza ni ukiukwaji wa uhuru wa vyombo vya habari, kujielezea na demokrasia

    Kitendo cha Jeshi la Polisi kuzuia waandishi wa habari kutozungumza na wanasiasa huu ni ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, vyombo vya habari na ni uvunjifu wa demokrasia na sio maelekezo ya katiba ya nchi ni uhalifu wa kutumia silaha. Waziri wa Ulinzi na kamanda mkuu wa jeshi la polisi...
  18. pombe kali

    Je mamlaka zimeshindwa kabisa kuzuia matumizi ya namba zisizosajiliwa?

    Salamu wana jukwaa Nimekuwa nikijiuliza je mamlaka husika zineshindwa kabisa kusitisha matumizi ya namba za simu zisizosajiliwa? Hizi jumbe za tuma hela kwenye namba hii zimekuwa ni nyingi sana tena hutokea kama umeweka kiasi chochote kwenye simu yako, utaona meseji inasema mfano "mimi ni baba...
  19. Harvey Specter

    Sudan Kusini imetoa agizo la kuzuia upatikanaji wa mitandao ya kijamii nchini

    Serikali ya Sudan Kusini imetoa agizo la kuzuia upatikanaji wa mitandao ya kijamii ikiwamo Facebook na Tiktok nchini humo kwa muda wa hadi miezi mitatu, huku ikitegemea udhibiti wa maudhui. Agizo hilo limetolewa na Mamlaka ya Kitaifa ya Mawasiliano ya Sudan Kusini (NCA) Jumatano Januari 22...
  20. Roving Journalist

    Uingereza na Tanzania kushirikiana kuzuia makosa makubwa yanayovuka mipaka

    Serikali ya Uingereza na Serikali ya Tanzania zitaendelea kushirikiana katika kukabiliana na makosa makubwa yanayovuka mipaka ili kuzidisha hali ya usalama na ustawi wa jamii wa nchi hizo. Akizungumza katika ziara ya Maafisa kutoka Ubalozi wa Uingereza nchini Tanzania Makao Makuu ya Polisi...
Back
Top Bottom