kuzuia

Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo Sports Club, or simply KMKM SC is a football club from Zanzibar based in Unguja.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    Hii Nguvu Kubwa ya VITISHO kwa Walioamua KUANDAMANA leo ingetumika kuzuia UTEKWAJI na MAUWAJI ningewaona wana AKILI

    Na msichokijua wale Wote ambao MNAYAPINGA haya MAANDAMANO ama kwa KUTOKUJUA kwakuwa hamna Akili au kwa KUHONGWA au kwa KUJIPENDEKEZA Kwenu ni kwamba tayari LENGO MAMA la kuionyesha Dunia kuwa Tanzania sasa kuna TATIZO limeshatimia hivyo WALIOPANGA KUANDAMANA wameibuka WASHINDI hata kama leo hii...
  2. JamiiForums

    Nathanael Atanas Mpasi aibuka mshindi maalumu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU). Ajinyakulia shilingi milioni 5

    Nathanael Atanas Mpasi ni Mwanachama hai wa JamiiForums.com ambaye ameonesha kuwa mmoja wa Wanachama wanaopinga suala la Rushwa katika Sekta mbalimbali Amefanya hivyo katika maandiko yake kupitia Jukwaa la Stories of Change (SoC) Mwaka 2023 na 2024 na 2024, amekuwa mstari wa mbele kuweka...
  3. R

    Kipi rahisi kati ya kuzuia maandamano na kumwajibisha IGP, Waziri Masauni?

    Salaam, Shalom!! Nimekaa hapa natafakari, kipi Hasa ni Rahisi, 1. Umma wa Watanzania unadai viongozi waliopo IGP, Waziri wa mambo ya ndani ndugu Masauni wajiuzulu au wafukuzwe nafasi zao Kisha wateuliwe wengine watakaokuja na Mpango mkakati wa kushughulikia mauaji ya raia na utekaji. 2...
  4. Eli Cohen

    Nani mwenye muendelezo wa hii habari ya wananchi Mwanza kuzuia watu waliovaa kiraia kukamilisha ukamataji?

    Jana kulisambaa video ikisemekana ni maeneo ya mwz. Wananchi wakilisonga na kuzuia gari kutoondoka na watu waliokamatwa hadi hapo ocs wa pamba aje.
  5. S

    Utabiri: Serikali itatumia viongozi wa dini kutaka kuzuia maandamano

    Baada ya CHADEMA kupitia Mwenyekiti wao, Freeman Mbowe kutangaza maandamano, wazo lilionijia ni CCM kutafu mbinu ya kuzuia haya maandamano yasifanyike na mojawapo ni kuwatumia viongozi wa dini. Alichofanya leo Padri Kitine ni hatua tu ya awali ila mipango itakuwa teyari imeandaliwa au...
  6. Webabu

    Gueteres aliponda baraza la usalama la umoja wa mataifa. Aliambia limeshindwa kazi na limepitwa na wakati.Kigezo ni kushindwa kuzuia vita vya Gaza n,k

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwa mara nyingine tena amesimama kidete kusimamia maadili ya baraza hilo kwa kukosoa jinsi linavyoshindwa kutekeleza majukumu yake. Bwana Gueteres amerudia kwa kusema muunda wa baraza la usalama ambalo lina wajumbe wanaotumia kura ya veto ndio umekuwa kikwazo kwa...
  7. The25824

    Sababu na mbinu za kuzuia ajali za barabarani

    Ohaaaaaa, Kama wewe ni dereva soma hapa kwa makini, Hasa kama unabeba abiria ,Uliembeba kila mmoja ana sababu zake kwa nini amesafiri. Bahati mbaya dhamana ya uhai wao iko juu yako. Kuna anaeenda kutibiwa,yupo anaeenda hudhuria mazishi ya ampendae ,yupo anosafiri kwenda iona familia yake...
  8. P

    Njia za kuzuia wizi kwenye Biashara yako

    Njia za kuzuia wizi kwenye Biashara yako. Wizi ni miongoni mwa vitu vyenye kurudisha sana nyuma Biashara zetu. Kuweza kudhibiti wizi kwenye Biashara sio kazi nyepesi kabisa. Lakini unatakiwa kupambana sana mpaka ukae sawa kwenye Biashara yako. La sivyo wewe utateseka kisha wafanyakazi wako...
  9. Bams

    Polisi Wapelekwe Shule. Hawana Mamlaka ya Kuzuia Mikutano ya Vyama vya Siasa.

    Kuna tatizo kubwa la weledi ndani ya Jeshi la Polisi. POlisi wa nchi hii, bila shaka hawana weledi wa kutosha, na wala hawajishughulishi kujua sheria ili wafanye kazi zao kwa weledi. Lakini pia yawezekana wanajua sheria inataka nini ila kwa kiburi na kwa makusudi wanaamua kuikanyaga sheria kwa...
  10. Determinantor

    Nawasihi Polisi watumie "akili" za kwenye kuzuia misafara

    Nimesikia kuwa misafara ya Vijana WA CHADEMA wamezuiliwa iringa wasiendelee na safari Yao kwenda Mbeya kuadhimisha siku ya Vijana. Mheshimiwa Mbowe nae eti kaitwa kwa Msajili wa vyama, unajiuliza, hawa watu wanatumia akili au wanatumia vitu gani? Jana Vijana WA CCM walikua na kongomano...
  11. Webabu

    Pamoja na kipigo chote hicho, jeshi la Marekani lasema halitaweza kuwazuia Houth kwa njia ya vita.laomba itafutwe njia mbadala kupambana nao.

    Tamko la aina hiyo limeshatolewa huko nyuma na makamanda wa jeshi la Marekani na ikaonekana kama ni utani.Kwa mara nyengine limetolewa na kamanda mkuu wa vikosi vya wanamaji wa Marekani eneo la mashariki ya kati,vice admiral George Wikoff. Katika hoja zake kamanda huyo amekumbusha kuwa vikosi...
  12. Black Butterfly

    Kenya yaruhusu Dawa za Kuzuia VVU kuanza kutolewa kwenye Maduka ya Dawa

    Serikali ya Kenya imeruhusu Maduka ya Dawa za Binadamu kuanza kutoa huduma ya kwanza ya Dawa ya Kuzuia Maambukizi ya Virusi Vya UKIMWI (PrEP) baada ua tafiti kuonesha zitasaidia Watu kuzipata kwa haraka na kuzitumia. Imeelezwa kuwa Majaribio yaliyofanywa chini ya Mpango wa Taifa wa Kudhibiti...
  13. Khamista

    JE, UNAHITAJI KUZUIA VIDEOS ZA FACEBOOK KUJIPLAY AUTO? FANYA HIVI KUZUIA ZINAKULA MB ZAKO👇👇👇👇👇

    JE, UNAHITAJI KUZUIA VIDEOS ZA FACEBOOK KUJIPLAY AUTO? FANYA HIVI KUZUIA ZINAKULA MB ZAKO👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇 katika facebook unapo ingia uwa kuna videos ambazo uwa zinatabia ya kuplay moja kwa moja kwa mfano matangazo ya video atakama hauhitaji kutazama yataanza kuplay moja kwa moja. Video post...
  14. Mona_tz

    Nimejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kukutana na mwanamke huyu: Nifanye Nini?

    Wakubwa, habari za kazi. Nimeona nilete kwenu tuweze kupena ushauri na elimu pia. Bana, juzi kati kama wiki mbili nyuma, kwenye pita pita zangu nikaonana na mwanamke mkubwa kiumri, vijana tunaita mshangazi. Umri wake kama alivyonieleza ni kweli umeenda (miaka 49). Stori za hapa na pale, kijana...
  15. JanguKamaJangu

    Kampuni ya kuzuia virusi ya Urusi Kaspersky yajiondoa Marekani baada ya kupigwa marufuku

    Kampuni kubwa ya kuzuia Virusi ya Kaspersky Labs ambayo makao makuu yake yapo Nchini Urusi inajiandaa kuondoka Marekani baada ya utawala wa Rais Joe Biden kupiga marufuku uuzaji na usambazaji wa programu za kampuni hiyo. Kaspersky ambayo imefanya kazi Marekani kwa zaidi ya Miaka 20, imesema...
  16. I

    Kwa mara nyingine tena mfumo wa anga wa Russia aina ya S-500 unashindwa kuzuia makombora ya ATACMS za kimarekani.

    Mvutano kati ya Urusi na Marekani umeongezeka kwa hatari kufuatia shambulio baya la kombora huko Sevastopol, Crimea, ambalo maafisa wa Urusi wanadai lilitekelezwa kwa silaha zilizotolewa na Marekani. Shambulizi hilo lililotokea Juni 23, lilisababisha vifo vya watu wanne, wakiwemo watoto wawili...
  17. E

    SoC04 Mambo yakuzingatia ili kuzuia ajali za barabarani nchini

    Ajali ni tukio la dharura linayotokea au kupata mtu bila kutalajia na ambalo linaweza kusababisha majeruhi na wakati mwingine watu kupoteza maisha(vifo).Ajali ya barabarani ni tukio la dharura ambalo linampata mtu bila yeye mwenyewe kutalajia barabarani na wakati mwingine kusababisha majeruhi...
  18. 3

    Kujua hatma ya wananchi kupewa hati ya viwanja vya mradi wa Tundwi Songani vilivyotangazwa na Halmashauri ya Kigamboni na Wizara husika

    Mhe Jerry Silaa Waziri wa Ardhi, nyumba, maendeleo na makazi tunaomba kujua hatma ya kupewa HATI kwa wananchi walionunua viwanja vya mradi wa Tundwi Songani vilivyotangazwa na Halmashauri ya Kigamboni mwaka jana. Wizara husika imeweka zuio la kutoa hati kwa wananchi waliokwisha maliza kununua...
  19. Yoda

    Serikali ilitumia vigezo gani kuzuia na kuharamisha hizi biashara

    Serikali ilizingatia vigezo gani kuzuia na kuzifanya jinai biashara za mirungi, bangi na ukahaba huku ikiruhusu biashara za sigara/tumbaku, pombe, nutmeg/kungumanga na kamari?
  20. Miss Zomboko

    Mei 31: Siku ya Kimataifa ya kuzuia Matumizi ya Tumbaku

    Siku ya Kimataifa ya Kuzuia Matumizi ya Tumbaku huadhimishwa kila mwaka tarehe 31 Mei. Siku hii ina lengo la kuongeza uelewa kuhusu madhara ya kiafya, kijamii, na kiuchumi yanayosababishwa na matumizi ya tumbaku.
Back
Top Bottom