kuzuia

Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo Sports Club, or simply KMKM SC is a football club from Zanzibar based in Unguja.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    CHADEMA mmeamua kuingia kwenye uchaguzi 2024/25, mmejiandaaje kuzuia dhuluma/uchafuzi kama za "chafuzi" za 2020 zisijirudie tena

    Si wazo baya kuingia kwenye chaguzi zijazo 2024/2025. The main concern ni hii: 1. It is very likely CCM watafanya dhuluma kama waliyofanya 2020,MSIWAAMINI KAMWE. mmeweka mikakati ipi kuhakikisha kwa namna yoyote MTAZUIA UCHAFU HUO? a) Kuna kuenguliwa b) mawakala kutoingia kenye vyumba vya...
  2. S

    Dotto Biteko aambiwe ukweli. Kuzuia likizo za wafanyakazi wa TANESCO ni ukiukwaji wa sheria, na hakuleti umeme

    Tatizo la umeme hapa nchini ni la kimfumo, siyo la mtu (waziri). Ndiyo maana mawaziri wengi wanateuliwa na kutenguliwa lkn tatizo liko pale pale. Waziri Biteko naye kama wenzake waliopita hana jipya. Namuona amejaa maneno mengi ya vitisho na manyangaso kwa wafanyakazi wa TANESCO lkn tatizo la...
  3. Miss Zomboko

    Siku ya Kimataifa ya Kuzuia Ubaguzi na Unyanyapaa

    Siku ya Kimataifa ya Kuzuia Ubaguzi na Unyanyapaa ni tukio linaloadhimishwa kila mwaka tarehe 1 Machi. Lengo la siku hii ni kuhamasisha uelewa na kuchukua hatua dhidi ya ubaguzi na unyanyapaa katika jamii. Inalenga kuelimisha umma kuhusu madhara ya ubaguzi na unyanyapaa kwa watu na makundi...
  4. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Sylvia Sigula: Serikali Imejipanga Vipi Kuzuia Maafa Katika Kipindi Hiki cha Mvua

    Mbunge Sylvia Sigula: Serikali Imejipanga Vipi Kuzuia Maafa Katika Kipindi Hiki cha Mvua Wananchi wametakiwa kuchukua tahadhari ili kuepuka maafa yanayoweza kutokea kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini. Wito huo umetolewa na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu...
  5. Kaka yake shetani

    Mnakumbuka jeuri ya pesa ya Qatar kupandisha ndege ng'ombe wa maziwa 4000 sababu Saudia ilizuia kupitisha maziwa

    Watu na pesa zao, yaani wana kitu kimoja kinacho wapa pesa lakini kimewapa zaidi ya vitu vingi duniani. Miaka ya nyuma Saudi Arabia alimuwekea vikwazo Qatar ila mwisho wa siku kapandisha ndege ng'ombe! Mwenye kisa hiki tuelezeni.
  6. Analogia Malenga

    Nape Nnauye: Hatujazuia mahojiano ya Tundu Lissu, Wasafi FM

    Serikali imeona kupitia vyombo mbalimbali vya habari ikiwemo mitandao ya kijamii kuhusu taarifa za Wasafi FM kuzuia mahojiano kati ya Makamu Mwenyekiti, wa CHADEMA na kutoa taarifa kuwa maamuzi hayo yametokana na maelekezo kutoka juu. Tangu kuingia kwa Serikali ya Awamu ya Sita kazini, jambo la...
  7. G

    Chumvi inalabwa sana vyumbani, kuna haja ya kuzileta kondom za ulimi kuzuia maradhi

    Kujilinda sio kwenye kupiga kavu tu, kwa huu mchezo unavyozidi kujipatia umaarufu tafiti zimeonyesha kuna wanaopata magonjwa ya vinywa na makoo, ni muhimu kuanza kuchukua tahadhari
  8. JanguKamaJangu

    Serikali ya Uingereza kupiga marufuku vapes ili kuzuia kutumiwa na Watoto

    Serikali ya Uingereza inatarajia kupiga marufuku matumizi ya Sigara za Kielektroniki ikiwa ni sehemu ya mipango ya kukabiliana na ongezeko la matumizi makubwa ya vijana katika uvutaji huo. Takwimu za Shirika la kutoa Misaada la Action on Smoking and Health (Ash) limeema 7.6% ya Watoto wenye...
  9. A

    DOKEZO Ndugu yetu aliyekamatwa kwa kuzuia Watoto kwenda shule mbona hapewi dhamana na Polisi?

    Mimi ni mkazi wa Mwanza, Wilaya ya Ilemela naomba msaada kwa mamlaka zinazohusika kuhusu ndugu yetu. Kuna ile habari ya yule kijana aliyekamatwa Namtumbo (Ruvuma) kwa kosa la kuhubiri watu wasisome ili wajipange kumpokea Yesu, Mtumishi wa Mungu Erick Manyanya ( 33) Mwinjilisti wa Kanisa la...
  10. chiembe

    Kikosi cha kuzuia ghasia magerezani: moja ya vikosi hatari kabisa, FFU wanasubiri kwa hawa jamaa

    Hiki ni moja ya vikosi hatari zaidi nchini vinavyotumika kuzuia ghasia magerezani. Kiko chini ya Jeshi la Magereza Kwa taarifa za ndaani kabisa, zinasema mafunzo waliyonayo hawa jamaa, FFU wanasubiri.. Jamaa ni kama wanakula misumari kwa meno, au wanatafuna kokoto. Ni kikosi ambacho si maarufu...
  11. Mjanja M1

    Mbinu za kuzuia Mapinduzi ya kijeshi

    Hizi ni Njia Zitumikazo na Serikali Mbalimbali Duniani Kuzuia Mapinduzi na Kupunguza Hasira za Wanajeshi. Imagine kila siku unaamka asubuhi unakwenda kazini na kulipwa mshahara. Fikiria kwamba umefanya hivyo kwa miaka isiyopungua 15, utajisikiaje? Unaweza kusema kwamba itakua sawa lakini...
  12. kavulata

    Pre GE2025 Nitashiriki kuzuia maandamano ya CHADEMA Januari 24, 2024

    Uhuru wangu utakomea pale unapoanzia uhuru wa mwenzangu. Kuna wanaotaka kuandamana na kuna wasiotaka kuandamana itakuwaje hapo? Kuna magari na waenda kwa miguu watakaosumbuliwa na maandamano haya yanayofanyika siku na saa za kazi. Chadema ilikutana na wananchi wanaolalamika wangapi lini na wapi...
  13. DR Mambo Jambo

    Pre GE2025 Majeshi yote yanatarajia kufanya Usafi tarehe 23/24 January 2024 siku iliyopangwa kwa maandamano

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila ametangaza kufanyika kwa zoezi la usafi katika Wilaya zote 5 kuanzia January 23 hadi 24 January zoezi ambalo litahusisha Wanajeshi zaidi ya 5000, Polisi zaidi ya 3000, FFU na Vyombo vingine vya dola. RC Chalamila ameyasema hayo leo katika ibada ya...
  14. Lukub

    Je kumwagia nje ni njia sahihi ya kuzuia ujauzito ?

    Hii njia inapigiwa chapuo sana haswa na wanawake ambao hawapendi kutumia njia za uzazi wa mpango ,sasa tatizo langu ni kwamba baada ya kumwaga nje kuna mizigo mingine inakuja kwa mwendo wa taratibu kama kinyonga na unapoendelea na shughuli nahisi kabisa inaweza kusababisha ujauzito ,wataalamu...
  15. Roving Journalist

    Mwandishi nguli na Mkuu wa Dawati la Uchunguzi JF, Simon Mkina achaguliwa kushiri mafunzo ya kung’amua na kuzuia Utakatishaji Fedha

    Mkuu wa Dawati la Uchunguzi (Investigative Desk) la JamiiForums, Mwandishi Mwandamizi, Simon Mkina amechaguliwa kushiriki mafunzo maalum ya mwaka mmoja ya kung'amua na kuzuia Utakatishaji Fedha Duniani. Mkina anakuwa mshiriki pekee kutoka Afrika (kwa awamu hii) kati ya Waandishi 12 wa Habari za...
  16. Webabu

    Meli yawaka moto Red Sea. Meli za kivita za Marekani na Ufaransa zimeshindwa kuzuia shambulio

    Meli inayoitwa Mt/Stindra inaendelea kuwaka moto na karibu ya kuzama baada ya makombora ya Houth kuishambulia katikati ya meli kadhaa za kivita za Marekani na Ufaransa. Kwa mujibu wa wasemaji wa jeshi la Marekani ambao hawakutaka kutajwa majina yao meli hiyo ilishambuliwa kwa kombora moja tu...
  17. Miss Zomboko

    Mkurugenzi wa Uchimbaji Visima aondolewa kwa kutofika Hanang baada ya Mafuriko

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso amemuondoa kwenye nafasi yake Mkurugenzi wa Sehemu ya Uchimbaji wa Visima na Ujenzi wa Mabwawa, Mhandisi Mashaka Sitta baada ya Mhandisi Sitta kutotimiza vema majukumu yake katika eneo hili muhimu la uchimbaji wa visima na ujenzi wa mabwawa na usimamizi wa mitambo na...
  18. Mto Songwe

    U.S-CHINA Tech War: China kuzuia uuzwaji wa madini adimu ya vifaa vya kielekitroniki kwenda marekani

    Huku mbiringe mbiringe zikiendelea baina ya Wamarekani na Wachina katika kugombania utawala wa kiteknolojia katika miaka na karne zijazo kaa nami karibu katika kukuletea taarifa mbalimbali kuhusu mtifuano baina ya Marekani na China kiteknolojia. Je, ni taifa lipi litaibuka mshindi na mtawala wa...
  19. simplemind

    Jinsi ya kuzuia matangazo simu ya android

    Head to Settings > Network and Internet > Advanced > Private DNS. Choose the option Private DNS Provider Hostname. Enter "dns.adguard.com" and Save. That's it! You'll no longer see any in-app ad ads or pop-ups on browsers.
  20. T

    Kuzuia gypsum isiharibike na kuvuja kwa matone kiasi ya maji kutoka kwenye paa

    Habarini wadau. Nimemaliza kuezeka ila kwa hizi mvua zikinyesha sana na ikiwa na upepo, kuna dalili ya matone ya mvua /maji naona yanadondoka kwa ndani. Japo mvua ikiwa sio ya upepo hio kitu siioni. So nataka kuanza kufunga gypsum board nawaza nifanyeje kabla sijaanza hio kazi. Ili kama mvua...
Back
Top Bottom