Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Katika kitabu che jina kusadikika kulikuwa na utawala ambao mtunzi mwenye maono makubwa ya mbali.
Kwenye kitabu cha mfalme juha nacho kina muonesha mtawala aliyekosa maono na kupendwa kusifiwa.
Ila kwa vile utawala ni kaptula la marx ndio limetufanya hivi.
Hivi vitabu vitatu vingeunganishwa kuwa simulizi moja.
Tungepata jina la kitabu kina itwa jamhuri ya muungano wa kenge.