Hongera TCRA, Serikali kwa kuzuia uozo wa Polepole siku ya leo

anthopody

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2024
Posts
262
Reaction score
183
Nitoe pongezi za dhati kabisa kwa Mamlaka ya mawasiliano nchini na serikali kwa kutoruhusu uchafu wa huyo mtu,nimeiangalia Tanzania ya Mwl Nyerere haikuwa na vijana wapumbavu kama hili jitu,Tanzania ina misingi yake ya uzalendo pamoja na kazi

Lijitu limekosa nidhamu sijui liliokotwa wapi(Tuwe makini kwenye vetting- lady pepeta condom would have prevented that rubbish), wapo watu wasomi na weledi kupitia kiasi wapo mtaani tuwatumie hawa(Wana professional zaidi ya tano degree very intelligent)tusifanye uteuzi kwa historia ya mtoto wa fulani, nchi inataka maendeleo ya kiuchumi kisiasa tumepiga hatua sana,mama anafanya kazi kubwa mno kuifungua Tanzania

Zao hili la hili jamaa la Leo ni matokeo ya watu wachache kupenyezana na kupeana nafasi, mama naomba hili lisafishe,system bora inaweza kukusaidia huko mavyuoni na mashuleni ambapo walimu wabobevu wanapima Kila kitu hasa integrity na professionalism na uwezo wa mtu binafsi wapo walimu hao

Jitu hili halikuanza leo na lipo kwa maslahi binafsi na jepesi kutumiwa kama toilet paper na bora umelistukia ,lilipopewa ulaji na awamu ya tano lilifunga mdomo,umelipa ulaji limefuja ofisi na report ya CAG imeliumbua na huruma za serikali kuchelewa kulichukulia hatua imeitumia kama fursa kujifanya limejivua ubalozi kumbe ni jizi kabisa dola karibu milioni mia mbili limefuja na kuanza kupaka nchi matope

Pole pole nenda Polepole nchi hii ni kubwa zaidi ya hata ukoo wako, nafasi yako ni sehemu tu ndogo hata haifiki 1/2000 ya ushauri wa Rais anaoupata toka kwa washauri wake, elewa Rais ni taasisi yenye mirija miiingiiii kama mfumo wa mwili wa kiumbe hai ,hivo huna athari yeyote katika nchi hii.

Mh Rais endelea kuchapa kazi,tunatambua mengi mazuri unayofanya na October sauti ni ile ile tuna tick💯
 
1752856174016.png

TCRA wameshindwa kuzuia Facebook mbona mkeka kamili tunao.
 
Nitoe pongezi za dhati kabisa kwa Mamlaka ya mawasiliano nchini na serikali kwa kutoruhusu uchafu wa huyo mtu,nimeiangal8a Tanzania ya Mwl Nyerere haikuwa na vijana wapumbavu kama hili jitu,Tanzania ina misingi yake ya uzalendo pamoja na kazi

Lijitu limekosa nidhamu sijui liliokotwa wapi(Tuwe makini kwenye vetting), wapo watu waspmi na weledi kupitia kiasi wapo mtaani tuwatumie hawa(Wana professional zaidi ya Tano degree very intelligent)tusifanye uteuzi kwa historia ya mtoto wa Fulani nchi inataka maendeleo ya kiuchumi kisiasa tumepiga hatua sana,mama anafanya kazi kubwa mno kuifungua Tanzania

Zao hili la hili jamaa la Leo ni matokeo ya kupeana nafasi kwa vimemo mama naomba hili lisafishe sabu,system bora inaweza kukusaidia huko mavyuoni na mashuleni ambapo walimu wabobevu wanapima Kila kitu hasa integrity na professionalism na uwezo wa mtu binafsi.

Jitu hili halikuanza leo na lipo kwa maslahi binafsi na jepesi kutumiwa kama toilet paper, lilipopewa ulaji na awamu ya tano lilifunga mdomo,umelipa ulaji limefuja ofisi na report ya CAG imeliumbua na huruma za serikali kucheleqa kulichukulia hatua imeitumia kama fursa kujifanya limejivua ubalozi kumbe ni jizi kabisa dola karibu milioni mia mbili limefuja na kuanzia kupaka nchi matope

Pole pole nenda Polepole nchi hii ni kubwa zaidi ya hata ukoo wako, nafasi yako ni sehemu tu ndogo hata haifiki 1/2000 ya ushauri wa Rais anaoupata elewa Rais ni taasisi yenye mirija miiingiiii kama mfumo wa mwili wa kiumbe hai ,hivo huna athari yeyote katika nchi hii.

Mh Rais endelea kuchapa kazi,tunatambua mengi mazuri unayofanya na October sauti ni ile ile tuna tick💯
Ila wewe, watu hadi wamercord na kutunza!
 
Nani aliyekwambia wamezuia labda kwa bungila bungila kama wewe ndo hamjasikia. Video bado zipo youtube. Tulimsikiliza mwanzo mwisho
 
Punguza Jaziba Upate Maarifa.
 
Nitoe pongezi za dhati kabisa kwa Mamlaka ya mawasiliano nchini na serikali kwa kutoruhusu uchafu wa huyo mtu,nimeiangalia Tanzania ya Mwl Nyerere haikuwa na vijana wapumbavu kama hili jitu,Tanzania ina misingi yake ya uzalendo pamoja na kazi

Lijitu limekosa nidhamu sijui liliokotwa wapi(Tuwe makini kwenye vetting), wapo watu wasomi na weledi kupitia kiasi wapo mtaani tuwatumie hawa(Wana professional zaidi ya tano degree very intelligent)tusifanye uteuzi kwa historia ya mtoto wa fulani, nchi inataka maendeleo ya kiuchumi kisiasa tumepiga hatua sana,mama anafanya kazi kubwa mno kuifungua Tanzania

Zao hili la hili jamaa la Leo ni matokeo ya kupeana nafasi kwa vimemo mama naomba hili lisafishe sabu,system bora inaweza kukusaidia huko mavyuoni na mashuleni ambapo walimu wabobevu wanapima Kila kitu hasa integrity na professionalism na uwezo wa mtu binafsi wapo walimu hao

Jitu hili halikuanza leo na lipo kwa maslahi binafsi na jepesi kutumiwa kama toilet paper na Bora umelistukia ,lilipopewa ulaji na awamu ya tano lilifunga mdomo,umelipa ulaji limefuja ofisi na report ya CAG imeliumbua na huruma za serikali kuchelewa kulichukulia hatua imeitumia kama fursa kujifanya limejivua ubalozi kumbe ni jizi kabisa dola karibu milioni mia mbili limefuja na kuanzia kupaka nchi matope

Pole pole nenda Polepole nchi hii ni kubwa zaidi ya hata ukoo wako, nafasi yako ni sehemu tu ndogo hata haifiki 1/2000 ya ushauri wa Rais anaoupata elewa Rais ni taasisi yenye mirija miiingiiii kama mfumo wa mwili wa kiumbe hai ,hivo huna athari yeyote katika nchi hii.

Mh Rais endelea kuchapa kazi,tunatambua mengi mazuri unayofanya na October sauti ni ile ile tuna tick💯
Hivi mnamatope ?? Wamezuia nn hapo
 
Back
Top Bottom