flat earther 3079
Member
- Jul 12, 2025
- 7
- 8
Mjomba kwan ww ni chawa...au umetumwa ??
Ticktock kulikuwa na watazamaji zaidi ya laki moja. Zingatia neno zaidi. Bado youtube, facebook na zoom kwa wenye vpnHazina madhara, kiwango Cha watu waliopumbazwa hakijafikia hata 0.00000003% ,hongera kwa serikali ndio maana October tukatiki kumbe mpo wachache sana,akidi hairuhusu uchaguzi kutokufanyika
Mwambie huyo polepole,nchi ni kubwa kuliko familia yakeUongozi sio Mali ya baba yako
Heee! Kuna cha kurecord pale. Yaani hata uozo kama ule mtu unarecord. Kumbe CCM inwakabili watu wepesi sanaaaa. Jamaa watatawala mpaka wachoke wenyewe. Kuwatawala watu kama hawa ni rahisi sana, ila kufika nao nchi ya ahadi hapo ndio shida ilipo. Maana utawakokota mpaka moyo wako utafaint na bado hata robo ya safari hamjafika. Poleeeeeniiii!Ila wewe, watu hadi wamercord na kutunza!
Polepole leo ameshusha fimbo za JUU YA KIUNO tu, ukigusa anafuta anaanza UPYA.Nitoe pongezi za dhati kabisa kwa Mamlaka ya mawasiliano nchini na serikali kwa kutoruhusu uchafu wa huyo mtu,nimeiangalia Tanzania ya Mwl Nyerere haikuwa na vijana wapumbavu kama hili jitu,Tanzania ina misingi yake ya uzalendo pamoja na kazi
Lijitu limekosa nidhamu sijui liliokotwa wapi(Tuwe makini kwenye vetting- lady pepeta condom would have prevented that rubbish), wapo watu wasomi na weledi kupitia kiasi wapo mtaani tuwatumie hawa(Wana professional zaidi ya tano degree very intelligent)tusifanye uteuzi kwa historia ya mtoto wa fulani, nchi inataka maendeleo ya kiuchumi kisiasa tumepiga hatua sana,mama anafanya kazi kubwa mno kuifungua Tanzania
Zao hili la hili jamaa la Leo ni matokeo ya watu wachache kupenyezana na kupeana nafasi, mama naomba hili lisafishe,system bora inaweza kukusaidia huko mavyuoni na mashuleni ambapo walimu wabobevu wanapima Kila kitu hasa integrity na professionalism na uwezo wa mtu binafsi wapo walimu hao
Jitu hili halikuanza leo na lipo kwa maslahi binafsi na jepesi kutumiwa kama toilet paper na bora umelistukia ,lilipopewa ulaji na awamu ya tano lilifunga mdomo,umelipa ulaji limefuja ofisi na report ya CAG imeliumbua na huruma za serikali kuchelewa kulichukulia hatua imeitumia kama fursa kujifanya limejivua ubalozi kumbe ni jizi kabisa dola karibu milioni mia mbili limefuja na kuanza kupaka nchi matope
Pole pole nenda Polepole nchi hii ni kubwa zaidi ya hata ukoo wako, nafasi yako ni sehemu tu ndogo hata haifiki 1/2000 ya ushauri wa Rais anaoupata toka kwa washauri wake, elewa Rais ni taasisi yenye mirija miiingiiii kama mfumo wa mwili wa kiumbe hai ,hivo huna athari yeyote katika nchi hii.
Mh Rais endelea kuchapa kazi,tunatambua mengi mazuri unayofanya na October sauti ni ile ile tuna tick💯
Misamiati mipya katika Uzi wa leo:🚮
Ujinga ni mzigo,
Kwani kuna mtu bado hana hiyo clip ya madini ya Polepole?
#KataaWahuni
No Reforms No Election 📌
Wewe hujapata habari ya Polepole? Kama bado utakuwa pekeyako na kama umezipata basi wengine nao wamezipata sasa hapo unatoa pongezi za nini?Nitoe pongezi za dhati kabisa kwa Mamlaka ya mawasiliano nchini na serikali kwa kutoruhusu uchafu wa huyo mtu,nimeiangalia Tanzania ya Mwl Nyerere haikuwa na vijana wapumbavu kama hili jitu,Tanzania ina misingi yake ya uzalendo pamoja na kazi
Lijitu limekosa nidhamu sijui liliokotwa wapi(Tuwe makini kwenye vetting- lady pepeta condom would have prevented that rubbish), wapo watu wasomi na weledi kupitia kiasi wapo mtaani tuwatumie hawa(Wana professional zaidi ya tano degree very intelligent)tusifanye uteuzi kwa historia ya mtoto wa fulani, nchi inataka maendeleo ya kiuchumi kisiasa tumepiga hatua sana,mama anafanya kazi kubwa mno kuifungua Tanzania
Zao hili la hili jamaa la Leo ni matokeo ya watu wachache kupenyezana na kupeana nafasi, mama naomba hili lisafishe,system bora inaweza kukusaidia huko mavyuoni na mashuleni ambapo walimu wabobevu wanapima Kila kitu hasa integrity na professionalism na uwezo wa mtu binafsi wapo walimu hao
Jitu hili halikuanza leo na lipo kwa maslahi binafsi na jepesi kutumiwa kama toilet paper na bora umelistukia ,lilipopewa ulaji na awamu ya tano lilifunga mdomo,umelipa ulaji limefuja ofisi na report ya CAG imeliumbua na huruma za serikali kuchelewa kulichukulia hatua imeitumia kama fursa kujifanya limejivua ubalozi kumbe ni jizi kabisa dola karibu milioni mia mbili limefuja na kuanza kupaka nchi matope
Pole pole nenda Polepole nchi hii ni kubwa zaidi ya hata ukoo wako, nafasi yako ni sehemu tu ndogo hata haifiki 1/2000 ya ushauri wa Rais anaoupata toka kwa washauri wake, elewa Rais ni taasisi yenye mirija miiingiiii kama mfumo wa mwili wa kiumbe hai ,hivo huna athari yeyote katika nchi hii.
Mh Rais endelea kuchapa kazi,tunatambua mengi mazuri unayofanya na October sauti ni ile ile tuna tick💯
Nitoe pongezi za dhati kabisa kwa Mamlaka ya mawasiliano nchini na serikali kwa kutoruhusu uchafu wa huyo mtu,nimeiangalia Tanzania ya Mwl Nyerere haikuwa na vijana wapumbavu kama hili jitu,Tanzania ina misingi yake ya uzalendo pamoja na kazi
Lijitu limekosa nidhamu sijui liliokotwa wapi(Tuwe makini kwenye vetting- lady pepeta condom would have prevented that rubbish), wapo watu wasomi na weledi kupitia kiasi wapo mtaani tuwatumie hawa(Wana professional zaidi ya tano degree very intelligent)tusifanye uteuzi kwa historia ya mtoto wa fulani, nchi inataka maendeleo ya kiuchumi kisiasa tumepiga hatua sana,mama anafanya kazi kubwa mno kuifungua Tanzania
Zao hili la hili jamaa la Leo ni matokeo ya watu wachache kupenyezana na kupeana nafasi, mama naomba hili lisafishe,system bora inaweza kukusaidia huko mavyuoni na mashuleni ambapo walimu wabobevu wanapima Kila kitu hasa integrity na professionalism na uwezo wa mtu binafsi wapo walimu hao
Jitu hili halikuanza leo na lipo kwa maslahi binafsi na jepesi kutumiwa kama toilet paper na bora umelistukia ,lilipopewa ulaji na awamu ya tano lilifunga mdomo,umelipa ulaji limefuja ofisi na report ya CAG imeliumbua na huruma za serikali kuchelewa kulichukulia hatua imeitumia kama fursa kujifanya limejivua ubalozi kumbe ni jizi kabisa dola karibu milioni mia mbili limefuja na kuanza kupaka nchi matope
Pole pole nenda Polepole nchi hii ni kubwa zaidi ya hata ukoo wako, nafasi yako ni sehemu tu ndogo hata haifiki 1/2000 ya ushauri wa Rais anaoupata toka kwa washauri wake, elewa Rais ni taasisi yenye mirija miiingiiii kama mfumo wa mwili wa kiumbe hai ,hivo huna athari yeyote katika nchi hii.
Mh Rais endelea kuchapa kazi,tunatambua mengi mazuri unayofanya na October sauti ni ile ile tuna tick💯
I think inafaa waongeze ugonjwa mpya ... Wewe huenda ukawa na upungufu wa akili mwilini. Mimi si muumini wa chama chochote ila kitendo Cha wewe kufurahia kuminywa Kwa uhuru wa access ya kupata habari inaonesha how mindless you are. Kukosoa serikali au kupishana mawazo sio kosa. Watu waachwe waongee na serikali ije ijibu hoja Kwa kutumia hoja na sio kunyamaziaha watu wasiongee.. na huu unaousema wewe hapa ndo uozo wenyeweNitoe pongezi za dhati kabisa kwa Mamlaka ya mawasiliano nchini na serikali kwa kutoruhusu uchafu wa huyo mtu,nimeiangalia Tanzania ya Mwl Nyerere haikuwa na vijana wapumbavu kama hili jitu,Tanzania ina misingi yake ya uzalendo pamoja na kazi
Lijitu limekosa nidhamu sijui liliokotwa wapi(Tuwe makini kwenye vetting- lady pepeta condom would have prevented that rubbish), wapo watu wasomi na weledi kupitia kiasi wapo mtaani tuwatumie hawa(Wana professional zaidi ya tano degree very intelligent)tusifanye uteuzi kwa historia ya mtoto wa fulani, nchi inataka maendeleo ya kiuchumi kisiasa tumepiga hatua sana,mama anafanya kazi kubwa mno kuifungua Tanzania
Zao hili la hili jamaa la Leo ni matokeo ya watu wachache kupenyezana na kupeana nafasi, mama naomba hili lisafishe,system bora inaweza kukusaidia huko mavyuoni na mashuleni ambapo walimu wabobevu wanapima Kila kitu hasa integrity na professionalism na uwezo wa mtu binafsi wapo walimu hao
Jitu hili halikuanza leo na lipo kwa maslahi binafsi na jepesi kutumiwa kama toilet paper na bora umelistukia ,lilipopewa ulaji na awamu ya tano lilifunga mdomo,umelipa ulaji limefuja ofisi na report ya CAG imeliumbua na huruma za serikali kuchelewa kulichukulia hatua imeitumia kama fursa kujifanya limejivua ubalozi kumbe ni jizi kabisa dola karibu milioni mia mbili limefuja na kuanza kupaka nchi matope
Pole pole nenda Polepole nchi hii ni kubwa zaidi ya hata ukoo wako, nafasi yako ni sehemu tu ndogo hata haifiki 1/2000 ya ushauri wa Rais anaoupata toka kwa washauri wake, elewa Rais ni taasisi yenye mirija miiingiiii kama mfumo wa mwili wa kiumbe hai ,hivo huna athari yeyote katika nchi hii.
Mh Rais endelea kuchapa kazi,tunatambua mengi mazuri unayofanya na October sauti ni ile ile tuna tick💯
Kwa nini uzuie kuongea basi kuna tatizoNitoe pongezi za dhati kabisa kwa Mamlaka ya mawasiliano nchini na serikali kwa kutoruhusu uchafu wa huyo mtu,nimeiangalia Tanzania ya Mwl Nyerere haikuwa na vijana wapumbavu kama hili jitu,Tanzania ina misingi yake ya uzalendo pamoja na kazi
Lijitu limekosa nidhamu sijui liliokotwa wapi(Tuwe makini kwenye vetting- lady pepeta condom would have prevented that rubbish), wapo watu wasomi na weledi kupitia kiasi wapo mtaani tuwatumie hawa(Wana professional zaidi ya tano degree very intelligent)tusifanye uteuzi kwa historia ya mtoto wa fulani, nchi inataka maendeleo ya kiuchumi kisiasa tumepiga hatua sana,mama anafanya kazi kubwa mno kuifungua Tanzania
Zao hili la hili jamaa la Leo ni matokeo ya watu wachache kupenyezana na kupeana nafasi, mama naomba hili lisafishe,system bora inaweza kukusaidia huko mavyuoni na mashuleni ambapo walimu wabobevu wanapima Kila kitu hasa integrity na professionalism na uwezo wa mtu binafsi wapo walimu hao
Jitu hili halikuanza leo na lipo kwa maslahi binafsi na jepesi kutumiwa kama toilet paper na bora umelistukia ,lilipopewa ulaji na awamu ya tano lilifunga mdomo,umelipa ulaji limefuja ofisi na report ya CAG imeliumbua na huruma za serikali kuchelewa kulichukulia hatua imeitumia kama fursa kujifanya limejivua ubalozi kumbe ni jizi kabisa dola karibu milioni mia mbili limefuja na kuanza kupaka nchi matope
Pole pole nenda Polepole nchi hii ni kubwa zaidi ya hata ukoo wako, nafasi yako ni sehemu tu ndogo hata haifiki 1/2000 ya ushauri wa Rais anaoupata toka kwa washauri wake, elewa Rais ni taasisi yenye mirija miiingiiii kama mfumo wa mwili wa kiumbe hai ,hivo huna athari yeyote katika nchi hii.
Mh Rais endelea kuchapa kazi,tunatambua mengi mazuri unayofanya na October sauti ni ile ile tuna tick💯
Mkuu nisaidie hata buku mbili, unajipigia buku7 kirahisi mno! Hongera sana.Nitoe pongezi za dhati kabisa kwa Mamlaka ya mawasiliano nchini na serikali kwa kutoruhusu uchafu wa huyo mtu,nimeiangalia Tanzania ya Mwl Nyerere haikuwa na vijana wapumbavu kama hili jitu,Tanzania ina misingi yake ya uzalendo pamoja na kazi
Lijitu limekosa nidhamu sijui liliokotwa wapi(Tuwe makini kwenye vetting- lady pepeta condom would have prevented that rubbish), wapo watu wasomi na weledi kupitia kiasi wapo mtaani tuwatumie hawa(Wana professional zaidi ya tano degree very intelligent)tusifanye uteuzi kwa historia ya mtoto wa fulani, nchi inataka maendeleo ya kiuchumi kisiasa tumepiga hatua sana,mama anafanya kazi kubwa mno kuifungua Tanzania
Zao hili la hili jamaa la Leo ni matokeo ya watu wachache kupenyezana na kupeana nafasi, mama naomba hili lisafishe,system bora inaweza kukusaidia huko mavyuoni na mashuleni ambapo walimu wabobevu wanapima Kila kitu hasa integrity na professionalism na uwezo wa mtu binafsi wapo walimu hao
Jitu hili halikuanza leo na lipo kwa maslahi binafsi na jepesi kutumiwa kama toilet paper na bora umelistukia ,lilipopewa ulaji na awamu ya tano lilifunga mdomo,umelipa ulaji limefuja ofisi na report ya CAG imeliumbua na huruma za serikali kuchelewa kulichukulia hatua imeitumia kama fursa kujifanya limejivua ubalozi kumbe ni jizi kabisa dola karibu milioni mia mbili limefuja na kuanza kupaka nchi matope
Pole pole nenda Polepole nchi hii ni kubwa zaidi ya hata ukoo wako, nafasi yako ni sehemu tu ndogo hata haifiki 1/2000 ya ushauri wa Rais anaoupata toka kwa washauri wake, elewa Rais ni taasisi yenye mirija miiingiiii kama mfumo wa mwili wa kiumbe hai ,hivo huna athari yeyote katika nchi hii.
Mh Rais endelea kuchapa kazi,tunatambua mengi mazuri unayofanya na October sauti ni ile ile tuna tick[emoji817]