Hongera TCRA, Serikali kwa kuzuia uozo wa Polepole siku ya leo

Hongera TCRA, Serikali kwa kuzuia uozo wa Polepole siku ya leo

Naona chawa wa mama umepaniki kiasi cha kufikia kiwango cha juu kabisa cha kushindwa hata kunywa tu maji ili kupunguza munkari.
Mama anaweka fursa hamzitumii sabu ya Hawa wajinga mnajazwa upupu,wachina wakija kuzitumia kwenye masoko kama kariakoo mnaanza kulalamika ohhhh wachina wanauza karanga,kama wanapelekea kuwe na mzunguuko wa pesa shida nini wakati nyie mmelala
 
View attachment 3410117
TCRA wameshindwa kuzuia Facebook mbona mkeka kamili tunao.
Huo mkeka umekusaidia nini sasa.

Kipi cha maana alichoongea zaidi ya dada yake kutekwa na mabasha zake

Dada yake alitumiwa pesa na bwana zake,badala ya kwenda kuzitumikia anapigiwa simu anaanza kuimba nyimbo za zuchu eti haendii...sasa wahuni wakiruka ukuta wake wana kosa gani.
 
ni jizi kabisa dola karibu milioni mia mbili limefuja
Kama Polepole anao uwezo wa kufuja kiasi hiki cha pesa, je Samia yeye atakuwa kafuja kiasi gani?
Na hii p esa inayowalipa nyinyi, kuja humu na mada za namna hii, tuzihesabu kuwa matumizi mazuri ya pesa za waTanzania?
 
Hazina madhara, kiwango Cha watu waliopumbazwa hakijadikia hata 0.00000003% ,hongera kwa serikali ndio maana October tukatiki kumbe mpo wachache sana,akidi hairuhusu uchaguzi kutokufanyika
Pole pole anajifanya leo ana uchungu sana,kama vipi hiyo mimba yake ya chuki akaizae tuh...

Yeye akiwa mweneźi alikuwa hodari wa maneno ya shombo,leo anaongea kitu gani mwehu huyo.
 
Huo mkeka umekusaidia nini sasa.

Kipi cha maana alichoongea zaidi ya dada yake kutekwa na mabasha zake

Dada yake alitumiwa pesa na bwana zake,badala ya kwenda kuzitumikia anapigiwa simu anaanza kuimba nyimbo za zuchu eti haendii...sasa wahuni wakiruka ukuta wake wana kosa gani.
Umeona enhhhj,dada kagonganisha wanaume kwa tamaa zake atakipata Cha mtema kuni,lazima aoneshwe kwa kuzua taharuki kama Viola
 
Hazina madhara, kiwango Cha watu waliopumbazwa hakijafikia hata 0.00000003% ,hongera kwa serikali ndio maana October tukatiki kumbe mpo wachache sana,akidi hairuhusu uchaguzi kutokufanyika
Kama madhara hakuna kinachowahangaisha ninini?
 
Nitoe pongezi za dhati kabisa kwa Mamlaka ya mawasiliano nchini na serikali kwa kutoruhusu uchafu wa huyo mtu,nimeiangalia Tanzania ya Mwl Nyerere haikuwa na vijana wapumbavu kama hili jitu,Tanzania ina misingi yake ya uzalendo pamoja na kazi

Lijitu limekosa nidhamu sijui liliokotwa wapi(Tuwe makini kwenye vetting), wapo watu wasomi na weledi kupitia kiasi wapo mtaani tuwatumie hawa(Wana professional zaidi ya tano degree very intelligent)tusifanye uteuzi kwa historia ya mtoto wa fulani, nchi inataka maendeleo ya kiuchumi kisiasa tumepiga hatua sana,mama anafanya kazi kubwa mno kuifungua Tanzania

Zao hili la hili jamaa la Leo ni matokeo ya kupeana nafasi kwa vimemo mama naomba hili lisafishe sabu,system bora inaweza kukusaidia huko mavyuoni na mashuleni ambapo walimu wabobevu wanapima Kila kitu hasa integrity na professionalism na uwezo wa mtu binafsi wapo walimu hao

Jitu hili halikuanza leo na lipo kwa maslahi binafsi na jepesi kutumiwa kama toilet paper na Bora umelistukia ,lilipopewa ulaji na awamu ya tano lilifunga mdomo,umelipa ulaji limefuja ofisi na report ya CAG imeliumbua na huruma za serikali kuchelewa kulichukulia hatua imeitumia kama fursa kujifanya limejivua ubalozi kumbe ni jizi kabisa dola karibu milioni mia mbili limefuja na kuanzia kupaka nchi matope

Pole pole nenda Polepole nchi hii ni kubwa zaidi ya hata ukoo wako, nafasi yako ni sehemu tu ndogo hata haifiki 1/2000 ya ushauri wa Rais anaoupata elewa Rais ni taasisi yenye mirija miiingiiii kama mfumo wa mwili wa kiumbe hai ,hivo huna athari yeyote katika nchi hii.

Mh Rais endelea kuchapa kazi,tunatambua mengi mazuri unayofanya na October sauti ni ile ile tuna tick💯
naswashukuru sana Jamii forum kwa kuendelea kuweka vipande vya ile press kupitia channel yao ya WhatsApp.
 
Umeona enhhhj,dada kagonganisha wanaume kwa tamaa zake atakipata Cha mtwma kuni,lazima aoneshwe kwa kuzua taharuki kama Viola
Exactly Exactly...

Umetumiwa pesa sharti uende,sasa wahuni wanamtumia hadi ya kutolea kisha simu anapigiwa anakata anataka wafanye nini zaidi ya kuruka ukuta?

POPO pole pole na wenzake waache kumsumbua Mh Rais,so far Mh Rais kazi yake imetukuka waache amalizie awamu yake kwa amani.

Wajiandae oktoba kutick kwa uhodari.
 
Aanze na Rizi moko, February, Mnape, Mvunde, Nchengerwa,
 
Unasifia ujinga na upumbavu, kuna watu wamepata hasara ya biashara zao kwa kitendo cha kuzimwa mitandao ili hali hawafuatilii mambo ya siasa. Hiyo taasisi inatakiwa idaiwe fidia na makampuni ya mitandao
 
Unasifia ujinga na upumbavu, kuna watu wamepata hasara ya biashara zao kwa kitendo cha kuzimwa mitandao ili hali hawafuatilii mambo ya siasa. Hiyo taasisi inatakiwa idaiwe fidia na makampuni ya mitandao
Sio polepole,ujinga ujinga ujinga
 
Back
Top Bottom