Nitoe pongezi za dhati kabisa kwa Mamlaka ya mawasiliano nchini na serikali kwa kutoruhusu uchafu wa huyo mtu,nimeiangalia Tanzania ya Mwl Nyerere haikuwa na vijana wapumbavu kama hili jitu,Tanzania ina misingi yake ya uzalendo pamoja na kazi
Lijitu limekosa nidhamu sijui liliokotwa wapi(Tuwe makini kwenye vetting- lady pepeta condom would have prevented that rubbish), wapo watu wasomi na weledi kupitia kiasi wapo mtaani tuwatumie hawa(Wana professional zaidi ya tano degree very intelligent)tusifanye uteuzi kwa historia ya mtoto wa fulani, nchi inataka maendeleo ya kiuchumi kisiasa tumepiga hatua sana,mama anafanya kazi kubwa mno kuifungua Tanzania
Zao hili la hili jamaa la Leo ni matokeo ya kupeana nafasi kwa vimemo mama naomba hili lisafishe sabu,system bora inaweza kukusaidia huko mavyuoni na mashuleni ambapo walimu wabobevu wanapima Kila kitu hasa integrity na professionalism na uwezo wa mtu binafsi wapo walimu hao
Jitu hili halikuanza leo na lipo kwa maslahi binafsi na jepesi kutumiwa kama toilet paper na Bora umelistukia ,lilipopewa ulaji na awamu ya tano lilifunga mdomo,umelipa ulaji limefuja ofisi na report ya CAG imeliumbua na huruma za serikali kuchelewa kulichukulia hatua imeitumia kama fursa kujifanya limejivua ubalozi kumbe ni jizi kabisa dola karibu milioni mia mbili limefuja na kuanzia kupaka nchi matope
Pole pole nenda Polepole nchi hii ni kubwa zaidi ya hata ukoo wako, nafasi yako ni sehemu tu ndogo hata haifiki 1/2000 ya ushauri wa Rais anaoupata elewa Rais ni taasisi yenye mirija miiingiiii kama mfumo wa mwili wa kiumbe hai ,hivo huna athari yeyote katika nchi hii.
Mh Rais endelea kuchapa kazi,tunatambua mengi mazuri unayofanya na October sauti ni ile ile tuna tick💯