Martha Karua aruhusiwe kuingia na aendelee na harakati zake, kuzuia ni doa Afrika Mashariki

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
23,234
Reaction score
28,473
Ombi langu mamlaka zimruhusu aingie aendelee na shughuli zake, afrika ya mashariki ni moja, hasa Tanzania, Kenya na Uganda, issue ndogo ndogo za kila lissu na wanaharakati wengine zisitukwaze tukaja haribu sifa ya taifa letu, as I spoke mimi CCM damu, lakini hili liachwe liendelee, na waendelee na taratibu zao!
Inshaallah!, tabarak!
FB_IMG_17474055177028492.jpg
 
Ombi langu mamlaka zimruhusu aingie aendelee na shughuli zake, afrika ya mashariki ni moja, hasa Tanzania, Kenya na Uganda, issue ndogo ndogo za kila lissu na wanaharakati wengine zisitukwaze tukaja haribu sifa ya taifa letu, as I spoke mimi CCM damu, lakini hili liachwe liendelee, na waendelee na taratibu zao!
Inshaallah!, tabarak! View attachment 3338036
CCM ni takataka.
CCM ni shetani.
CCM ni baba wa maovu yote.
CCM bila dola, ni wepesi zaidi ya kipande cha karatasi ya chooni.
 
Kwa hili busara haikutumika kabisa, hao si lolote!, wala hawakuwa na impacts yoyote!
CCM wangekuwa na busara, nchi ingekuwa mbali kimaendeleo.
Kuna delivery pack ambayo mama mjamzito anatakiwa apewe bure kwa ajili ya kujifungulia, zinafadhiliwa na wafadhili, lakini hapewi na anatakiwa aende na vifaa vyake, na pamoja na kwenda navyo bado visipotumika mama huyu harudishiwi hivyo vifaa vyake.

Mama mjamzito kujifungua ni bure (kwa mujibu wa sera ya baba wa uongo na baba wa uovu ambaye ni CCM), lakini hawa wamama wanatozwa mpaka 400,000 kwenye hospitali/vituo vya afya/zahanati za serikali.
 
Ombi langu mamlaka zimruhusu aingie aendelee na shughuli zake, afrika ya mashariki ni moja, hasa Tanzania, Kenya na Uganda, issue ndogo ndogo za kila lissu na wanaharakati wengine zisitukwaze tukaja haribu sifa ya taifa letu, as I spoke mimi CCM damu, lakini hili liachwe liendelee, na waendelee na taratibu zao!
Inshaallah!, tabarak! View attachment 3338036
Kwanini usitunze pumzi hii unayohemea hapa ukamshauri mwenyekiti wa chama chako unachoshabikia ambae yeye ndo kiongozi wa wote mnaonshabikia pamoja na taasisi zote zilizopaswa kutokua mashabiki kwenye kutoa haki?
 
Siamini hili kama ni yeye ameliamua bali ni viongozi wengine tu, wameona labda litamfurahisha Rais, lakini sivyo, si kila shauri Rais analifahamu au ameagiza!
 
Ombi langu mamlaka zimruhusu aingie aendelee na shughuli zake, afrika ya mashariki ni moja, hasa Tanzania, Kenya na Uganda, issue ndogo ndogo za kila lissu na wanaharakati wengine zisitukwaze tukaja haribu sifa ya taifa letu, as I spoke mimi CCM damu, lakini hili liachwe liendelee, na waendelee na taratibu zao!
Inshaallah!, tabarak! View attachment 3338036
Afrika sisi ni wamoja
 
Harakati kwenye kesi ya uhaini? Lissu Samia alivyokua akimbeba beba aliota mkia na kujiona kijogoo sana!! Sasa akiwashe Kama alivyokua akijinasibu na tumbo lake.
Mkuu hao wanaotetea hao akina Karua wana slavery mentality.
 
Hapana mkuu, huyu hana "" Impact yoyote""aje aone nduguye kile alichosema mpaka kutiwa hatiani.
nafahamu hana impact kwao Kenya na popote Africa Mashariki, but hanaga adabu,

utaratibu umeshatolewa ni vizuri wakarudi nyumbani kwao kwa amani :pulpTRAVOLTA:
 
Back
Top Bottom