Martha Karua aruhusiwe kuingia na aendelee na harakati zake, kuzuia ni doa Afrika Mashariki

Martha Karua aruhusiwe kuingia na aendelee na harakati zake, kuzuia ni doa Afrika Mashariki

Siamini hili kama ni yeye ameliamua bali ni viongozi wengine tu, wameona labda litamfurahisha Rais, lakini sivyo, si kila shauri Rais analifahamu au ameagiza!
Wewe ni nafsi yake? Kwanini asiruhusu ammendments ya katiba ili waliompoka mamlaka wamrudishie?
 
Wewe ni nafsi yake? Kwanini asiruhusu ammendments ya katiba ili waliompoka mamlaka wamrudishie?
Amendment inakuja, lakini kwa muda wake maalumu, Tanzania siyo nchi ya kukurupuka!, Taifa lipo makini sana, muda utafika.
 
Amendment inakuja, lakini kwa muda wake maalumu, Tanzania siyo nchi ya kukurupuka!, Taifa lipo makini sana, muda utafika.
Usije kuhusisha umakini na mambo ya kijinga. Tanzania ni Taifa lililokufa,halijalala hivyo halitaamka hadi siku ya kiama atakaporudi mwana wa Adam.
 
Usije kuhusisha umakini na mambo ya kijinga. Tanzania ni Taifa lililokufa,halijalala hivyo halitaamka hadi siku ya kiama atakaporudi mwana wa Adam.
Fanya kazi ndugu, na wewe tafuta konection mkuu, dunia ipo, mali zipo, utajiri upo, lakini vyote havina maana, we go so soon, jitengenezee Furaha yako, zaidi.
 
Harakati kwenye kesi ya uhaini? Lissu Samia alivyokua akimbeba beba aliota mkia na kujiona kijogoo sana!! Sasa akiwashe Kama alivyokua akijinasibu na tumbo lake.
Mbona mmemdhibiti kwa kumkamata kama mnataka akiwash? Mwachilieni kama hamtalala na viatu.
 
CCM wangekuwa na busara, nchi ingekuwa mbali kimaendeleo.
Kuna delivery pack ambayo mama mjamzito anatakiwa apewe bure kwa ajili ya kujifungulia, zinafadhiliwa na wafadhili, lakini hapewi na anatakiwa aende na vifaa vyake, na pamoja na kwenda navyo bado visipotumika mama huyu harudishiwi hivyo vifaa vyake.

Mama mjamzito kujifungua ni bure (kwa mujibu wa sera ya baba wa uongo na baba wa uovu ambaye ni CCM), lakini hawa wamama wanatozwa mpaka 400,000 kwenye hospitali/vituo vya afya/zahanati za serikali.
Muongo mkubwa wewe
Lete ushaidi mtu kalipa 400,000/
 
Mnekiwasha nyinyi mlioko nje ili atoke
Ndio unavyotaka halafu useme nchi haina amani. Usiwe na haraka huko unakohitaji tutafika. Na huyo mtamwachia bila ya watu kukiwasha. Endeleeni kutegemea dola ili mbaki hapo mlipo maana bila ya hivyo hamna uwezo wa kushindana na Lissu kwa hoja.
 
Ombi langu mamlaka zimruhusu aingie aendelee na shughuli zake, afrika ya mashariki ni moja, hasa Tanzania, Kenya na Uganda, issue ndogo ndogo za kila lissu na wanaharakati wengine zisitukwaze tukaja haribu sifa ya taifa letu, as I spoke mimi CCM damu, lakini hili liachwe liendelee, na waendelee na taratibu zao!
Inshaallah!, tabarak! View attachment 3338036
Hata Uganda alizuiliwa kuingia kwasababu sio mtu mwenye nia nzuri. Viva Tanzania, Viva!!!!
 
Kwa hili busara haikutumika kabisa, hao si lolote!, wala hawakuwa na impacts yoyote!
Tutaelewana tu,wakati wengine wakionewa kwa upuuzi wa mkoloni mweusi wengine wanasema hao ni chadema acha wanyooshwe,sasa msichokijua kinachonyooshwa ni taifa.
 
Ombi langu mamlaka zimruhusu aingie aendelee na shughuli zake, afrika ya mashariki ni moja, hasa Tanzania, Kenya na Uganda, issue ndogo ndogo za kila lissu na wanaharakati wengine zisitukwaze tukaja haribu sifa ya taifa letu, as I spoke mimi CCM damu, lakini hili liachwe liendelee, na waendelee na taratibu zao!
Inshaallah!, tabarak! View attachment 3338036
Tanzania tayari iko kwenye kundi la nchi yenye siasa za kipuuzi. Na hili lilianza rasmi wakati wa Magufuli, kwa sasa ni muendelezo wa upuuzi huo.
 
Hata Uganda alizuiliwa kuingia kwasababu sio mtu mwenye nia nzuri. Viva Tanzania, Viva!!!!
Kwamba sasa hivi tunawaiga Uganda? Najua umeishiwa, ila sikujua kama umeishiwa kwa kiwango hiki!
 
Back
Top Bottom