harakati

The National Revival Movement Party (Azerbaijani: Milli Dirçəliş Hərəkatı Partiyası) is a political party in Azerbaijan. The party's leader is Faraj Guliyev, who is well-known politician. At the 2010 parliamentary elections, it won 1 out of 125 seats. In the 2015 parliamentary elections, it won 1 out of 125 seats.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Uaminifu kwa Wachaga katika siasa za upinzani umeshuka sana, viongozi wachache wanafanya wengi waonekane wanathamini fedha kuliko misingi ya harakati.

    viongozi wachache wanaponza wachaga wote kuonekana kila kitu pesa mbele Cv ya wachaga inaendelea kugalagazwa matopeni kwa haya matukio ya wanasiasa wake wa upinzani kuvigeuza vyama kuwa mitambo ya kupiga deal na kuwa madalali wa siasa.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kungekuwa na chama chenye mizizi Mbeya, Ccm ingechomolewa ! Mbeya ni moyo wa harakati, historia ya kupambania haki na hawayumbi kirahisi kwa asali.

    Niliwahi kuishi Mbeya na kuna jambo moja nililoligundua kuhusu watu wa eneo hilo: wana viashiria vingi vya kuwa na nguvu kubwa ya kisiasa na uwezo wa kuendesha harakati za mabadiliko. Tatizo lao si ukosefu wa ari, ujasiri au dhamira ya kupinga mifumo isiyo ya haki. Tatizo kubwa ni kukosekana kwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mbeya ni injini ya siasa za upinzani Tanzania. Walichokosa ni chama chenye mizizi Mbeya na kiongozi CHADEMA, lakini harakati na hamasa, hawana mfano

    Ukiondoa Dar es Salaam, mkoa uliofuata kwa Mo29 ulikuwa ni Mbeya, wilaya nne za Mbeya Mjini, Mbeya Vijijini, Uyole na Kyela maandamano yalifanyika kwa kiwango kikubwa. Kwa upande wa mikoa kama Mwanza na Arusha, maandamano yalijikita zaidi katika maeneo ya mijin, kwa mkoa wa Mara maandamano...
  4. Damaso

    JamiiForums Tanzania Mission za Umoja wa Mataifa na Harakati za kulinda amani: Baraza la Ulinzi la UN kuwa kama Circus, Sehemu ya Mwisho

    li kuelewa kikamilifu kwa nini Umoja wa Mataifa umegeuka kuwa Circus na mbwa asiye na meno, ni lazima kutazama ubaguzi wa kimfumo na mgawanyo wa madaraka ndani ya Baraza la Usalama la UN (UNSC). Kwa kawaida kuna mataifa matano zenye kura ya turufu maarufu kama (P5)— Marekani, Uingereza...
  5. Damaso

    JamiiForums Tanzania Mission za Umoja wa Mataifa na Harakati za kulinda amani: Baraza la Ulinzi la UN kuwa kama Circus

    Tathmini ya kina ya mfumo wa ulinzi wa amani wa Umoja wa Mataifa (UN) inapofanyika katika maeneo yenye migogoro mikali duniani, sura halisi inayojitokeza sio ile ya alama ya tawi la mzeituni au kofia ya bluu inayowakilisha matumaini na uokozi. Badala yake, ukweli mchungu unaodhihirika ni kwamba...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Wana harakati Msipenyezewe unconfirmed information mkaziweka public, zinaharibu credibility yenu. Zipokee zithibitishe

    Mfano, Kwamba ame paralyze kumbe si kweli! Kwamba yuko hoi kitandani, kumbe si kweli. Hii inaharibu kazi yenu nzuri ya kuikomboa TANGANYIKA
  7. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Harakati za kijeshi, uhalifu na ujasusi

    Picha hii hapa chini ilinaswa kabla ya Mauaji ya Askari wa Uingereza kwenye Jiji la Belfast Ireland. Mwezi Machi 1988, askari hawa wawili wa Jeshi la Uingereza waliokuwa wakifanya kazi katika kitengo cha mawasiliano ya kijasusi(signalers)walivutwa kutoka kwenye gari lao na kuuawa huko West...
  8. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Sio kwamba wapalestina kwenye nchi nyengine wanaogopa kuwa pokea,tatizo harakati zao watabadilisha mpaka nchi waliyopo.

    Kuwa tetea wapalestina ni ngumu sana. Nashangaa wale mnaona wa palestina wanaonewa ila waungwana wanasema ukitaka kujua tatizo likaribishe sio kulisikia. Mifano mikubwa ni: Jordan (1970–71): Mapigano ya Black September kati ya serikali ya Mfalme Hussein na Palestina yalisababisha Palestina...
  9. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania PITIO LA KITABU CHA MOHAMED KASSIM: MAISHA YANGU NA HARAKATI ZA KIISLAMU TANZANIA

    https://youtu.be/9mqRODTBwJA?si=qKZJ3qQZPDGI3hpe
  10. K

    JamiiForums Tanzania Tafakari ya Kina: Je, Harakati za Mange Kimambi Zinalijenga Taifa au Ni Mkakati wa "Gawa Utawale" Kudhoofisha Upinzani?

    Ndugu wana-JamiiForums, Katika ulimwengu wa sasa wa siasa za kidijitali, mipaka kati ya uanaharakati wa kweli na propaganda za kimkakati imekuwa nyembamba mno. Mojawapo ya sauti kubwa mtandaoni nchini Tanzania imekuwa ya Mange Kimambi. Kwa muda mrefu, wengi wamemchukulia kama sauti inayosaidia...
  11. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Harakati za dudu baya zimeanza kuzaa matunda

    Chipukizi wa kiume huko mashuleni na wao wamekubali harakati..Wanalinda migongo Yao kwa wivu mkubwa. Mafanikio haya ya dudu baya yamfikie BICHWA KOMWE - pamoja na mshirika wake cocastic
  12. lord atkin

    JamiiForums Tanzania AI: Kuna wakati harakati hazipaswi kutumika kuendesha vyama vya siasa

    Ndiyo, kuna wakati harakati hazipaswi kutumika kuendesha vyama vya siasa, hasa pale chama kinapotaka kujenga taasisi imara, endelevu na inayofuata misingi ya kidemokrasia. Ingawa harakati ni muhimu sana katika kuamsha umma, kupigania haki fulani, au kuanzisha mapinduzi ya kisiasa, zikitumika...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi amchana Lissu na CHADEMA kwa kuleta mizaha kwenye harakati za kukomboa Taifa kufuatia salamu za Lema na Lissu kwa kifo cha mume wa Rais

    Kwa hili niko na Mange 1,000 percent. Watanganyika wametumia msiba wa mume wa Samia kumkumbusha kwamba na wao waliumia vibaya kuuliwa wame, wake, watoto, na ndugu pamoja na utekaji, utesaji, ubakaji na ufiraji usioisha. Sasa Lissu wawezaje kufanya mizaha na kucheka cheka na watu waliokupiga...
  14. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Lawi Nangwanda Sijaona na Harakati za Kupigania Uhuru wa Tanganyika Akitokea Kijijini

    https://youtu.be/yqK9MbgWEuo 🔥 SIRI YA LAWI NANGWANDA SIJAONA: KADI YA TANU YA 1955, NYARAKA ZA AFRICAN ASSOCIATION NA BARUA YA KUMWANDIKIA NYERERE! Je, unajua kuwa Lawi Nangwanda Sijaona alikuwa miongoni mwa watu waliokuwa kwenye harakati za TAA (Tanganyika African Association) na baadaye...
  15. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania NYAKATI NA HARAKATI ZA WAKOSOAJI WA SERIKALI

  16. britanicca

    JamiiForums Tanzania In Tz activism activismus pro justitia was hitherto executed with profound peritia and modus operandi of erudite professionalism until circa 2022

    In Tanzania, activism activismus pro justitia was hitherto executed with profound peritia and modus operandi of erudite professionalism until circa 2022. Nunc autem, it has degenerated into sheer chaos et tumultus. Any homo vulgaris who acquires mere data bundle or WiFi gratuitum and...
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Nini kimesababisha mchango wa Waislamu katika harakati za siasa za mapambano Tanzania kuwa ukipungua ?

    Kuanzia uhuru mpaka leo hii mchango wa Waislamu katika harakati za mapambano umeenda ukipungua sana. Wakati wa uhuru Waislamu walikuwa active sana mstari wa mbele katika harakati za uhuru pamoja na Nyerere. Watu wengine kama Mohamed Said wanafikia mbali hata kusema Waislamu ndio walikuwa...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania CHAMA CHA WAZEE KISIWE CHA HARAKATI, NI HAZINA YA HEKIMA NA MSHIKAMANO KATIKA JAMII - PROF. SHEMDOE

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amekitaka Chama cha Wazee Wanaume Tanzania (CCWWT) kutokuwa chama cha harakati, bali kutumia nafasi yake katika kutoa ushauri, kupatanisha jamii, kulea watoto na vijana, pamoja na...
  19. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Siasa za migongano: Nchimbi na harakati za kujiunga na mtandao na jengo la la UVCCM ( 1998 - 2008)

    Hakuna mtu wa CCM hajui ugomvi wa Nape na Nchimbi juu ya Jengo la UVCCM na mpaka leo Nchimbi pale anamiliki Floor, jana nilishangaa Msingwa kichwa maji anasema kuwa eti hakuwahi kusikia kuhusu stori ya UFISADI. Kila mmoja hapa nenda tu Google kaulize stori ya Nchimbi na Jengo la UVCCM na hata...
  20. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Kwa uchache tu, Safari ya harakati za Tundu Lissu kupigania haki za watu.

    Tambua kwamba kazi nyingi za kuwatetea waathirika mbalimbali, Lissu amezifanya bure bila kilipwa na hao watu. Lissu anasema; Sasa leo nataka nizungumze kuhusu mchango wangu wa kupigania haki za binadamu nchini Tanzania. Ushahidi wa leo utasema ni kwanini nashitakiwa. Leo nashitakiwa kwa...
Back
Top Bottom