Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
Hakuna mtu wa CCM hajui ugomvi wa Nape na Nchimbi juu ya Jengo la UVCCM na mpaka leo Nchimbi pale anamiliki Floor, jana nilishangaa Msingwa kichwa maji anasema kuwa eti hakuwahi kusikia kuhusu stori ya UFISADI. Kila mmoja hapa nenda tu Google kaulize stori ya Nchimbi na Jengo la UVCCM na hata katibu Mkuu wake Msingwa kichwa maji John Mnyika wakati huo alishawahi na yeye kutia neno.
Basi, Nchimbi 2005 - 2008 akiwa Naibu Waziri wa Ulinzi na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa alikuwa kwenye mijadala sana juu ya vigogo kina Rostam, Shubash na Lowassa kuwa sasa official kijana wao wa mtandao na ndio maana uchaguzi wa chama ndani 2008 alikuwa anaupambania ili atengeneze UKING MAKER.
Imagine kuutafuta uo uking maker mpaka alimuondoa kwa kumuua marehemu Amina Chifupa na IPIANA MALECHELA ili awe centre boss maana Amina alitaka kugombea UVCCM Taifa, na walipambana sana wakati huo na yeye akiwa amesimama na Beno Malisa na vijana wengine mmoja alikuwa Mwenyekiti wa singida uvccm though alikuwa disqualified kwa kupata teuzi Ila alifanikiwa baada ya uchaguzi kupata nafasi kadhaa na sio ya Mwenyekiti na kuanza kiwanda chake cha mtandao kuanzia pale.
1998 - 2008, uongozi wa UVCCM wa wakati wake ulikuwa wa unyanyasaji na ubabe sana, alikuwa anavikao vifupi na ulikuwa ukimuingilia tu basi unashangaa fasta mambo yanakubadilikia na kwanini alikuwa tayari amejengwa na maboss zake na Mzee Makamba nae alikuwemo kipindi hiko.