Wa deal na anayepenyeza izo fake details. Maana kuna nyingine ni deep kabisa unabaki unajiuliza zimepenyezwaje?Mfano, Kwamba ame paralyze kumbe si kweli!
Kwamba yuko hoi kitandani, kumbe si kweli.
Hii inaharibu kazi yenu nzuri ya kuikomboa TANGANYIKA
Kama unaamini eti Maria Sarungi, Mange, Hilda Newton wataikomboa Tanganyika basi amka UsingiziniMfano, Kwamba ame paralyze kumbe si kweli!
Kwamba yuko hoi kitandani, kumbe si kweli.
Hii inaharibu kazi yenu nzuri ya kuikomboa TANGANYIKA
Walikuwa wakikanusha kuwa Jiwe ameshakata mot mpaka na Majaliwa akahutubia kuuhakikishia umma ya kwamba yuko hai na eti anaendelea kuchapa kazi, hizi propaganda zinafanywa na pande zote mbili.Kwani na wewe ume confirm kwamba,anahutubia live!!?
Au hizo picha za mitandaoni!!?
Katika kipindi kama hiki ambapo mtu mkubwa kama makam aliejiuzulu kuwa kimya hivi,lolote linaweza kumpata mkubwa yeyote na akawa kimya TU tukaridhishwa na picha za mchongo!
Namtakia kila la kheri arudi ahutubie wananchi kama kawaida!
Mfano, Kwamba ame paralyze kumbe si kweli!
Kwamba yuko hoi kitandani, kumbe si kweli.
Hii inaharibu kazi yenu nzuri ya kuikomboa TANGANYIKA
Vipi eda inaendelea au imesha isha? Huoni haja ya yeye kujitokeza kuwashukuru walio mpigia kura kwa asilimia zaidi ya 90? Kwa kuwa pamoja nae kipindi cha msiba wa mume wake?Huwa wananikers sana hasa vile vigagula Maria na yule hilda
Kazi kila siku kuzusha propaganda za kitoto sana wanatuona kama watotp tu
Wapinzani halisi ni lissu na heche tu
Hizo takataka zingine ni keyboard warriors tu hao ndio wanafanya sasa watu wanaona chadema hawapo serious
Wenyewe ndio wanaona eti ni mapambano, na hizo information wanapenyezewa makusudi na watu wa serikali ili kuwapoteza maboya
Vipi eda inaendelea au imesha isha? Huoni haja ya yeye kujitokeza kuwashukuru walio mpigia kura kwa asilimia zaidi ya 90? Kwa kuwa pamoja nae kipindi cha msiba wa mume wake?