Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Hata Angola walimkataa Lissu kuingia nchini mwao. Watu wa vurugu na takataka hawatakiwi duniani na mbinguni pia.Kwamba sasa hivi tunawaiga Uganda? Najua umeishiwa, ila sikujua kama umeishiwa kwa kiwango hiki!