Kingereza kingi na presentation nyingi kwenye makongamano ya Ulaya sio hoja ya kuzuia uchaguzi!

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Kuna vilaza wanadhani kuongea vingereza vingi kwenye mikutano na wananchi au kuwa na mialiko ya makongamano ulaya ndio sifa ya kuingoza nchi .
Acheni kujidanganya...tupo wababe wa vingereza na uwezo mkubwa wa presentation and public speaking tumetulia tunawacheka tu.

Acheni utoto !
 
Kuna nini mkuu?
Tuwekane wazi basi!
 
tupo wababe wa vingereza na uwezo mkubwa wa presentation and public speaking tumetulia tunawacheka tu.
Jingalao tema yai kwenye shimo la choo na wewe tukuone kweli unatema au unameza
 
Kuna mada zangu nimemwaga ngeli hawa jamaa sijawahi kuwaona kule.kama wana guts tukutane kule
 
Jingalao umefanana na jina lako
ukiweza kunielimisha mimi basi wewe genious!
when you arguing with me present clear facts otherwise you have failed this test ! I can and comfortably argue against AI!
 
Kuna mada zangu nimemwaga ngeli hawa jamaa sijawahi kuwaona kule.kama wana guts tukutane kule
Wewe nataka tutemeane mayai hapahapa haya anza kummwaga Mfalme Charles tukusikie
 
Kuna vilaza wanadhani kuongea vingereza vingi kwenye mikutano na wananchi au kuwa na mialiko ya makongamano ulaya ndio sifa ya kuingoza nchi .
Acheni kujidanganya...tupo wababe wa vingereza na uwezo mkubwa wa presentation and public speaking tumetulia tunawacheka tu.

Acheni utoto !
si ufanye presentation kwa wanao sasa gentleman, makasiriko na povu jingi hivyo ni ya nini ndugu muerevu ?

sijawahi kuona mbabe wa vingereza mwenye uwezo mkubwa wa presentation and public speaking ana gubu na mihemko kama yako tangu nizaliwe 🐒
 
Back
Top Bottom