Kingereza kingi na presentation nyingi kwenye makongamano ya Ulaya sio hoja ya kuzuia uchaguzi!

Kingereza kingi na presentation nyingi kwenye makongamano ya Ulaya sio hoja ya kuzuia uchaguzi!

ukiweza kunielimisha mimi basi wewe genious!
when you arguing with me present clear facts otherwise you have failed this test ! I can and comfortably argue against AI!
Wewe unasema unaweza kuweka battle na AI sio mimi umejuaje km mimi sio AI?
 
si ufanye presentation kwa wanao sasa gentleman, makasiriko na povu jingi hivyo ni ya nini ndugu muerevu ?

sijawahi kuona mbabe wa vingereza mwenye uwezo mkubwa wa presentation and public speaking ana gubu na mihemko kama yako tangu nizaliwe 🐒
ndio ...nina uwezo wa lugha hiyo,na nikakupiga gubu
humohumo
 
rudi kwenye hoja niliyoanzisha...ninao uwezo wa kujadili hats kwa kilatini
Basi tujadili kwa Kijapan km unaweza lakini maana sifa sio sifa mpaka ukisifiwa na wenye sifa
 
ndio ...nina uwezo wa lugha hiyo,na nikakupiga gubu
humohumo
usiwe na gubu gentleman kama hujaalikwa, taratibu na kwa upole una fanya tu presentation kwenye familia yako na unasonga mbele na huku wengine nao wakipasua anga za kimataifa 🐒
 
Kuna vilaza wanadhani kuongea vingereza vingi kwenye mikutano na wananchi au kuwa na mialiko ya makongamano ulaya ndio sifa ya kuingoza nchi .
Acheni kujidanganya...tupo wababe wa vingereza na uwezo mkubwa wa presentation and public speaking tumetulia tunawacheka tu.

Acheni utoto !
Jinga wewe!
 
usiwe na gubu gentleman kama hujaalikwa, taratibu na kwa upole una fanya tu presentation kwenye familia yako na unasonga mbele na huku wengine nao wakipasua anga za kimataifa 🐒
Tumefanya makongamano mengi sana kipindi hiki cha Samia ...waliotoka nje ya nchi wameweka kwenye CV zao kuwa walitoa mada au kupresent katika makongamano hayo yaliyofanyika Tanzania
 
Hili ndiyo limehama toka kuwa Jingalao na kuwa Pumb.avu lao.
 
Kuna vilaza wanadhani kuongea vingereza vingi kwenye mikutano na wananchi au kuwa na mialiko ya makongamano ulaya ndio sifa ya kuingoza nchi .
Acheni kujidanganya...tupo wababe wa vingereza na uwezo mkubwa wa presentation and public speaking tumetulia tunawacheka tu.

Acheni utoto !
Kumuachia TUNDU LISSU bila mashariti yoyote .

👉Kuimarisha Demokrasia Kwa kufuata misingi ya utawala wa sheria .

👉Suala la Padre KITIMA , Wanaharakati, Wanasiasa waliotekwa , kuuwawa au kupotezwa , Serikali iwajibike mara Moja na kupata ufumbuzi wa Kila jambo.

👉Ameambiwa aheshimu HAKI za watu za kuishi .

👉Kuhakikisha Uchaguzi Mkuu unakua wa HAKI na HURU.
 
Ungejua watawala hawalali using usingeongea pumba kama hizi.
Ni lini na wapi watawala hulala usingizi??
Utawala ni jambo la masaa 24 kwa kuwa wapo watawaliwa huwa macho mchana au usiku.
Sio ajabu kwa mtawala kutokulala ..wewe umechelewa kujua.
 
Kama sio issue mpeleke na Wassira akapresent hicho kiingereza😂
 
Back
Top Bottom