MendeOLD
Senior Member
- Feb 13, 2023
- 196
- 405
Niende moja kwa moja kwenye mada mkakati wa chadema kupata sign za watanzania million 15. Unafikirisha kwa sisi tusio wavivu wa kufikiri,
Kwa nn wanaitaji izo sign? ,kwa kumnufaisha nani?, kwa lengo lipi? Kwa nini wanaamin katika ajenda yao.?
Nikaona niingie deep kufanya research fupi, nimesoma Moscow rules kipindi cha coldwar ussr na Nato. Moja ya kanuni yao ni never underestimate the unknown, ndo msingi mkuu kuto kumpimia au kumshusha uwezo mtu au kitu chochote.
UGAIDI. kwa nini no election na tafsiri kama jaribio la ugaidi?
Ugaidi unasababishwa na mitazamo, dini, siasa au utaifa. Magaidi wanapata ufazili wao kupitia asasi za kilaila (Ngo's) ambayo wana changisha pesa kwa lengo jingne ila ngos inakua kivuli au campeni.
TONE TONE campain
Nini kipo nyuma ya campaign ii, je iz buku buku zinazo chagwa ni kivuli tu ila inaweza ikawa ime andaliwa kimkakati kuandika proposal kwa washirika wakubwa duniani juu ya agenda yao na kupata uungwaji mkono kawapeleka mkakati wao wa jinsi gani watazuia uchaguzi na kuweza kupata fund?
Reaction ya viongozi wakina Mwenez wa ccm akipanda jukwaani ana wazarau hawawezi kuzuia uchaguzi? Staki kuamin staki kuamin wazee wa Teeth na nyinyi mna lichukulia hili jambo shallow kama wanasiasa.
Mkulima wa kahawa misenyi mkoani Kagera