Prof. Anna Tibaijuka amesema wakati akiwa Waziri wa zamani wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, hakutoa Kibali cha Ujenzi wa Kituo cha Mabasi Yaendayo Kasi katika eneo hilo lakini ulifanyika kwa maamuzi yasiyo sahihi
Tibaijuka amesema "Jangwani haina kibali changu kuwa pale. Mimi nilikataa...
Naona sasa ishakuwa tabia kwa kila wakili anayejaribu kuikosoa serikali ya CCM anakutqna na rungu la kuvuliwa uwakili.
Fatma Karume alivuliwa uwakili kimizengwe, Mawakili Jebra Kambore na Edson Kilato walishitakiwa na kamati maadili baada ya kuonekana ni wakosoaji wakubwa wa Serikali na sasa...
Kutokana na malalamiko ya mara kwa mara ya watu kuhusu wagonjwa kuzuiliwa Muhimbili hata miezi mitatu na kuendelea sababu ya kushindwa kulipa deni.
Nashauri Waziri wa Afya atume watu (tume huru) wakapate ukweli kwa kupata taarifa ya Hospitali lakini pia kuongea na waathirika ili wapate ukweli...
Habari zenu wanaJF wenzangu,
Wakati Rais wa awamu ya tano mheshimiwa John P. Magufuli anaingia madarakani, miongoni mwa vitu vya kwanza kabisa alivyovifanya katika uongozi wake ni kupiga marufuku mikutano ya vyama vya siasa akiamini kwamba mikutano hiyo ilichangia uzorotaji wa kuleta maendeleo...
Malawi itaanza kuzuia biashara ya fedha za kigeni na kufanya msako dhidi ya wafanyabiashara magendo, baada ya kushuka thamani ya sarafu yake, wizara ya fedha imesema Jumatatu.
Kwa mujibu wa shirika la habari Reuters, nchi hiyo ya kusini mwa Afrika imeshusha thamani ya sarafu ya Kwacha kwa...
Mbunge Nicodemas Maganga: Mbogwe Tumejipanga, Mtumishi Mwizi Hatatoka Salama, Tumejipanga Kuzuia Uhalifu
Mbunge wa Jimbo la Mbogwe, Mhe. Nicodemas Henry Maganga wakati akichangia Mpango wa Bajeti 2024-2025 ya Shilingi Trilioni 47.4 amesema kuwa Mbogwe wamejipanga kuzuia uhalifu fedha za...
Viongozi wa simba waamini kwenye rangi nyeupe kurubuni washabiki na kwenye upigaji.
kocha katoka azam na mazoezi ya video. Licha ya kuwa na sifa ya mazoezi ya kisasa. Hutoa mazoezi mengi sana na kuchosha makipa na mwisho wa siku huaribu viwango vya makipa.
Toka aje simba kiwango cha makipa...
Kuna mada iliyowasilishwa humu JF ikidai kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA kaeleza kwamba endapo Katiba Mpya haitapatikana kabla ya chaguzi zinazofuata 2024/2025, juhudi za kuzuia uchaguzi huo usiwepo zitatumika kuuzuia.
Kauli hii imesikika kwa muda kitambo sasa, tokea ndani ya chama hicho...
Katazo la Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuhusu matumizi ya mtandao binafsi (VPN) bila kibali maalumu, limewaibua wadau wa mawasiliano na siasa, wakisema hatua hiyo inalenga kubana upatikanaji na utoaji wa habari kidijitali.
Katazo hilo lilitolewa juzi na TCRA kupitia taarifa yake kwa...
Wakuu,
Inasikitisha sana na kutia uchungu kuwa na Waziri mzigo kwenye wizara muhimu kama hii. Badala ya kuwa vinara wa kutetea uhuru wa maoni na kukinda taarifa binafsi na faragha za wananchi wenyewe ndio wanakuwa wa kwanza kuminya uhuru wa maoni, kuingilia faragha za watu na kutunga sheria...
Iron Dome ni mfumo wa ulinzi wa kisasa wa anga ambao ni bora na mathubuti kwa dunia ya leo uliotengenezwa na Israel kwa msaada kiasi kutoka Marekani kwa lengo la kulinda dhidi ya makombora yaliyofyatuliwa kutoka kwenye maeneo ya adui.
Mfumo huu ulianza kutumika rasmi mwaka 2011 na umekuwa...
Ukitembea tembea huko mitaani hasa vijijini, utawahurumia sana wananchi wenzetu wanavyoishi kwenye hali duni kabisa kimaisha. Naam, namaanisha uduni wa kukosa huduma za msingi kama vile barabara nzuri, maji safi na salama, elimu bora, matibabu bora, mawasiliano ya uhakika, huduma za nishati...
Katika nchi yetu imeonekana kwa sasa sifa kuu ya klongozi ni kuwa mahiri wa kutatua kero.
Kiongozi anateuliwa leo, anaambiwa wewe utafaa kwenye kutatua kero hii.
Mfano ni kero ya mgawo wa umeme nchini. Zaidi ya maraisi 3 waliopita wamekuwa wakiteua mawaziri na wakurugenzi wa Tanesco kwa...
Mkuu wa Wilaya ya Liwale Mkoani Lindi amesema kumekuwepo na tatizo la wazazi wilayani humo kukwepa majukumu ya kuwasomesha watoto wao hali inayopelekea kuwachoma sindano za kuzuia mimba watoto wenye umri wa miaka 12 na kuwawekea vijiti watoto pindi wanapovunja ungo.
Ameeleza "Mtoto...
Wizara ya Elimu imetangaza kuwa Kanuni hiyo inatarajiwa kuanza kutumika Mwaka mpya wa masomo unaoanza Septemba 4, 2023 katika shule zote za Serikali.
Waziri wa Elimu, Gabriel Attal amesema "Unapoingia darasani hautakiwi kumtambua Mwanafunzi kwa imani yake ya dini kwa kumuangalia, nimeamua Abaya...
Wanangu wa Ukraine wamekiamsha kama ambao wana vichaa vile, yaani Urusi wanafukuziwa balaa hadi aliyekua generali ameshauri njia ya pekee ni kutumia nyuklia kuzuia huu mzuka wa Ukraine....
A former top Russian soldier has suggested dropping a nuclear bomb in southern Ukraine to eradicate any...
Kwa kawaida inafahamika kwamba ikitokea Waziri Mkuu amejiuzulu, na Baraza zima la Mawaziri linavunjwa.
Swali langu ni kwamba, Ikiwa Waziri Mkuu atajiuzulu na wakati huo pakiwa na Naibu Waziri Mkuu, Je Baraza la Mawaziri litavunjwa ama halitovunjwa kwasababu tayari patakuwa na Naibu Waziri Mkuu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.