SABABU ZINAZOPELEKEA VIFO VYA MAMA NA MTOTO NCHINI
1 ukosefu wa wataalamu wa afya wa kutosha . 2, ukosefu wa vifaa tiba .3 uzembe wa baadhi ya watumishi wakiwa eneo lao la kazi . 4 , upungufu wa vituo vya afya . 5 baadh ya watumishi kukosa wito katika kazi .6 jamii kukosa elimu kuhusu afya...
Rushwa ni tatizo kubwa sana katika nchi yetu na linahitaji kushughulikiwa kwa njia ya uwajibikaji na utawala bora. Kwa miaka mingi, rushwa imekuwa ikiathiri maendeleo ya taifa letu kwa kuzuia maendeleo ya uchumi, kuongeza umaskini na kupunguza uaminifu wa wananchi kwa serikali.
Kuna sababu...
Natumaini wazima
Naomba niwashirikishe hili jambo linanisumbua sana
Miaka ya nyuma nilikuwa kwenye mahusiano na kijana mmoja tulikuwa tunapendana sana,nilikuwa Niko chuo nae alikuwa anafnya kazi kwenye private sector tulivumiliana baadae nikamaliza nae akapata kazi serikalini tukaanza kuweka...
Leo sijui kiongozi gani alikuwa na ziara ipi mi sijui lakini kile kitendo cha kuwekwa saa mzima Ubungo pale tunasubiri mtu mmoja apite ni kaushamba sana.
VIONGOZI hawaoni kwamba hii ni kero kwa wananchi, wewe hayo unayoyafanya ndio yanakupa ulaji, pengine hata usipofanya ziara mshahara utapata...
Hello bosses and roses...
Niwe mkweli tu, hata kwa wateja ukipeleka questionaire ya haya mambo ya kupiga mziki kwa sauti kubwa kupitiliza bar wengi (actually karibu 80%) watasema hio miziki izimwe tu. Sababu zangu naweka hapa chini.
1) UBOVU WA SOUND SYSTEM
Sound system za bar nyingi ni za...
UTANGULIZI.
Jeshi la polisi na uhamiaji ni miongoni mwa vyombo vya dola ambavyo takwimu zinaonesha ndio vinavyoongoza kwa kukiuka maadili ya kazi kwa kujihusisha na vitendo vya rushwa.
Jeshi la polisi kitengo cha usalama barabarani na askari wa doria ndio vinavyoongoza kwa vitendo vya rushwa...
Mamlaka ya Afya ya Uingereza inayoitwa UK Health Security Agency imekiri kwamba hakuna chembe ya ushahidi wowote wa aina yoyote ya Barakoa inayoweza kuzuia maambukizi ya Covid-19.
Mamlaka hiyo imesema hata barakoa za kiwango cha juu kabisa za N95, KN95 and FFP2 hazina uwezo wowote wa kuzuia...
Thread hii kwanza naiona na views wengi sana maana wabongo wengi wanapenda kujifunza. Nawapongeza kwa hilo. Back to the matters.
Njia za kuzuia wachawi wasiingie ndani kwako zipo nyingi na kila mtu anaifahamu yake.
Naiweka hapa ninayoifahamu na wengine waweke wanazozifahamu tujifunze.
Chukua...
Uongozi unaosimamia Ligi ya Kikapu ya NBA umeboresha sera zake kuhusu matumizi ya bangi kwa kuiondoa katika kipengele cha madawa yanayozuiwa kwa wachezaji.
Hivyo, wachezaji wa NBA hawatafanyiwa vipimo kwa muda wa miaka saba kutokana na mkataba uliosainiwa na Collective Bargaining Agreement...
Turejelee harakati za mitume wetu Yesu Kristo na Muhammad, mitume hawa walikuwa wakihangaika usiku na mchana kuondoa maovu ikiwemo wizi, ukahaba, ushoga na mengineyo.
Leo hii tunashuhudia dunia ikitumbukia kwenye ushoga na usagaji na maovu mengine mengi, Je, unadhani mfupa uliomshinda fisi...
As local bills on gender, sexuality and diversity make their way through Florida’s state legislature, new legislation would ban any discussion of menstrual cycles in school before sixth grade.
That breaks from the advice of medical providers who recommend talking to children about puberty and...
Marubani wa ndege za Urusi ambazo zilifanya jitihada za kutambua ndege isiyo na rubani ya Marekani iliyokuwa ikifanya kazi ya upelelezi kwenye Bahari Nyeusi wameteuliwa na kupewa tuzo za heshima, Wizara ya Ulinzi ilitangaza Ijumaa. Waziri wa Ulinzi wa Urusi Sergey Shoigu "amewapa tuzo ya...
Baada ya Vladmir Putin kutangaza kuwa Taifa hilo linapinga ndoa za jinsia moja, ilipelekea watu wengi sana wa dunia ya tatu kumuunga mkono licha ya udhalimu wake wa kupeleka majeshi Ukraine kuivamia ardhi ya nchi hiyo ili kupora baadhi ya maeneo.
Uungwaji mkono huu wa Vladmir Putin kutoka kwa...
NCCR - MAGEUZI wapinga vikali mpango wa serikali ya Tanzania ulioridhia kuzuia uvuvi kwa miezi mitatu mitatu katika miaka ya 2023, 2024 na 2025 ambao miezi mitatu ya mwanzo itaanza mwezi Mei 2023 ziwa Tanganyika kupumzisha uvuvi kwa miezi mitatu kisha mpango huo kurudiwa mwaka 2024 na mwaka 2025...
Rushwa ni hali ya mtu kutenda au kutokutenda jambo fulani kwa mtu au kikundi cha cha watu kwa nia ya kujipatia faida binafsi, Baada ya kupatiwa au kuahidiwa kupatiwa kiasi fulani cha fedha au vitu vinginevyo, Kinyume cha matakwa au misingi ya kazi.
Kutokana na maana ya rushwa hapo juu utagundua...
Itakumbukwa mnamo 1964 General Mobutu alianzisha mashambulizi huko Rusizi plain (Uvira), eneo hili lilikuwa linashikiliwa na waasi wa Simba-Mulele ,kwa usaidizi wa anga wa jeshi la Marekani mashambulizi haya dhidi ya waasi yanapata changamoto, waasi ikasemekana wanapewa dawa na bibi kizee mmoja...
Zanzibar wamestuka
Wakati Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ikitangaza zuio la uuzaji nje ya nchi bidhaa ya sukari na mchele, Chama cha Demokrasi na Maendeleo (Chadema) kimeitaka itoe maelezo ya kina juu ya marufuku hiyo.
Kimesema uamuzi huo umefanyika wakati ambao, Serikali ya Mapinduzi ya...
Kwa sasa wanatumia diplomasia, ila kenge akisisitiza na kutokuskliza, basi itabidi kichapo tu....
Taifa lenye mizuka ya kidini na kigaidi gaidi haliwezi kuruhusiwa kumiliki nyuklia....
Washington/Berlin, Jan 30, (dpa/GNA) – The US government has not ruled out military action, to stop Iran from...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.