Kama kuna ujinga wa kiwango cha juu,ni pale unapolazimika kubeba madhambi ya mtu mmoja ambaye ametumia nafasi yake kufanya uhuni kwenye soka ambalo watu wamewekeza mabilioni ya kutosha.
Unaacha kumtaja ili ulinde hadhi yako wakati yeye yupo na anaendelea kuwasapoti wanaosema hatuchezi!Huu ni zaidi ya ujinga.
Tuliona jinsi serikali inavyoingilia mazoezi ya timu hadi kufikia kutuma polisi kukamata viongozi wa benchi la ufundi.Huu ni uhuni ambao hawa watu walioko serikalini walijaribu tena kuufanya kwenye mechi kabla ya derby.
Hawa watu walipaswa Leo hii kutokuwepo serikalini kwa sababu kama ugomvi huu utaendelea,suala hili linaweza kufika CAF na madhara ya serikali kuingilia mambo ya soka yanajulikana.
Hawa bodi wamtaje huyo kiongozi wa serikali kwani hata sisi hatutaki uhuni katika soka letu.
Amtaje halafu yeye huyo aje atuambie ni nini kilimsukuma kuingilia mamlaka ya soka wakati anajua wazi kufanya hivyo ni kuiweka matatani soka ya nchi.
Huyo atajwe na serikali iwajibike kulipa fidia kwa makampuni yote yatakayokula hasara kutokana na hatua zinazoweza kuchukuliwa na FIFA dhidi ya nchi.
Uhuni kwenye soka na kuingiza ushabiki wa vyama haupaswi kuwepo.
Kwenye siasa watu wameharibu na huku kwenye soka wanalazimisha mambo yaharibike