Heshima sana wana jamvi,
Tanganyika ni nchi ya maajabu au ukipenda unaweza kusema nchi ya watu wajinga.
Leo police 🚔 wameandamana kuzuia maandamano ya Chadema.
Lengo kuu la maandamano lilikuwa kuujuza umma juu ya madhila ya utekaji,mauaji na zaidi ushiriki wa vyombo vya usalama katika kuteka...