Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Muigizaji Maarufu wa Filamu Duniani kutoka Uingereza Idris Elba ambaye ni Balozi wa hisani wa Umoja wa Mataifa wa IFAD alipokuwa Davos nchini Uswizi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe...
Ziara ya hivi karibuni ya Olaf Scholz nchini China ni ujumbe kwamba Washington haiwezi kulazimisha sera ya nje ya Berlin.
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz anatazamiwa kuzuru China wiki hii. Ni alama ya safari yake ya kwanza kabisa katika nchi ya Asia, huku kukiwa na mvutano unaoongezeka kati ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ampokea na kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Kenya William Somoei Ruto Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 10 Oktoba, 2022.
Mambo yaliyojadiliwa ni pamoja na;
Rais Samia Suluhu Hassan
Kukuza na kuimairisha uhusiano kati ya...
Baada ya Rais Mteule William Ruto kuzungumza na wanahabari muda mchache uliopita, Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) anazungumza na wanahabari muda huu
Fuatilia hapa sasa
Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imesema hukumu ya Mahakama ya Juu ni ushahidi kwamba mchakato wa...
Vipi nikikuambia kuwa leo hii inawezekana kutumia viumbe hai vidogo visivoonekana kwa macho kama Bakteria au Kuvu kutengeneza kinga ya mwili, dawa kwa ajili ya kutibu magonjwa yanayaothiri afya zetu, au kusafisha mazingira, au kutengeneza bidhaa mbalimbali kama pombe, maziwa, sabuni, dawa za...
Cristiano Ronaldo amerejea Jijini Manchester na alitarajiwa kuwa na mazungumzo na Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag kuhusu hatma yake.
Mreno huyo ambaye amekosa wiki tatu za kwanza za maandalizi ya msimu ya timu kutokana na sababu za kifamilia ilielezwa kuwa aliiambia klabu yake kuwa...
"Ahsante sana kwa kukumbusha watu kuwa nilizungumza kwa Kiswahili kule Umoja wa Afrika, na ile ilikuwa tu kuwakumbusha watu kwamba Kiswahili ilikuwa ni lugha rasmi ya Umoja wa Afrika kipindi kile na watu wakaamini kuwa nilikuwa nafahamu Kiswahili vizuri. Lakini si kweli kwamba nafahamu Kiswahili...
Ukifuatilia kwa makini mijadala ya vijana wengi kwenye majukwaa makubwa hasa siasa utagundua kuna kitu hakipo sawa ( something amiss ). Katika hali isiyo ya kawaida maoni mengi yamejikita sana kuzungumzia watu badala ya masuala muhimu yanayopaswa kuwekwa wazi. Tatizo hili limezaa machawa...
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia Congo (DRC), Felix Tshisekedi anatarajiwa kukutana na Rais wa Rwanda, Paul Kagame Nchini Angola kwa ajili ya mazungumzo kutokana na mgogoro unaoendelea baina ya mataifa hayo.
Haijawekwa wazi watakachozungumza katika mkutano huo utafanyika Jijini Luanda lakini...
UHURU WA KUZUNGUMZA WA WENZETU
Filamu, ''JFK'' iliyotengenezwa na kuogozwa na Oliver Stone ilinikuta niko mji mmoja mdogo Uingereza.
Mwaka ni 1991.
Huyu Oliver Stone ni Mmarekani na sifa yake yeye ni kule kutengeneza senema za kushambulia mamlaka.
Oliver Stone akishambulia serikali yake ya...
Katika kabila la wahaya kuna mila inaitwa "nchweke" ambayo marehemu huzungumza kupitia watu walio hai.
Je ni kabila gani unalolifahamu lenye mila kama hii
mtu wa ajabu aliyeonekana akizungumza na mbabe Putin wakati wa Parade ya ushindi jana amesababisha tetesi za watu kuhisi kuwa huenda ndie akawa mrithi wa Putin
Mtu huyo ambae anaonekana kuwa bado kijana mdogo ametambulika kwa jina kuwa ni Dmitry Kovalev na kwa sasa anahudumu kama mkuu wa...
Kiongozi wa ACT WAZALENDO, Zitto Kabwe alikuwa kwenye kipindi cha Tv ndani ya Clouds TV asubuhi ya leo Aprili 11, 2022 amezungumza mambo mengi ya kisiasa, haya ni baadhi ya yale aliyozungumza kwenye interview yake hiyo:
Amesema mazingira ya kisiasa Nchini Tanzania yamebadilika na kuna uhuru...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mhe. Maitha Al Shamsi Waziri wa Nchi kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu UAE Ikulu Jijini Dodoma tarehe 31 Machi, 2022. Huu ni mwendelezo wa ziara ya Mhe. Rais Samia aliyoifanya katika Falme za Kiarabu UAE...
This is absolutely strange indeed.
Ni wazi kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ameona mwezi, macho ya kuuona ukweli yamefumbuka.
Hebu jaribu kufikiri vizuri kidogo. Kwamba, Rais Samia Suluhu all the way kutoka Brussels - Belgium kuonana na kuzungumza na National CHADEMA Vice Chairpersnon, ndugu...
Katika hafla kubwa ya Kitaifa kama iliyofanyika Le ambayo camera za mataifa Mbalimbali zinaelekezwa Kwetu tumeshindwaje kuleta watu wenye akili wanaoweza kuitangaza nchi tunaleta watu Wanafoka na kuongea vitu visivyoeleweka.
Mtu huyu anaongea as if yupo kwenye mkutano wa Kijiji. Bora tungewapa...
September 15 ni siku ya kimataifa ya demokrasia duniani ambapo nchi mbalimbali duniani hupata fursa ya kujadili demokrasia ya nchi zao na wadau husika wa demokrasia katika nchi hizo kama vile vyama vya upinzani.
Sasa sielewi mantiki ya Rais Samia Suluhu Hassan kuitumia hiyo siku ya leo...
Habari zenu wapendwa... Nimeona ni vyema saana kuzungumza na vijana ambao wamehitimu masomo yao ya vyuo vikuu Tanzania. Mtaani sio pagumu saana kama utajituma na utathubutu kwa kila wazo ambalo utahisi ni nzuri na unawez kulifanikisha(si maanishi kila wazo ni zuri). SANUKA
(1) JIKUBALI...
Naongea ukweli kutoka moyoni CCM mtanisamehe, Rais wetu hajui kuzungumza na raia barabarani, ni vyema ziara ya njiani zikanseliwe.
Rais hatatui changamoto unasimama njiani unaanza kuwaambia kurekodi filamu na tozo hiyo haisadii, wala sisi hatukusimamishi ili utwambie mambo ya filamu, sisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.