kwaheri

Kwaheri, also known as Kwaheri: Vanishing Africa or Kwaheri: The Forbidden, is a 1964 mondo film directed by David Chudnow and Thor Brooks. The film was a pseudo-documentary about vanishing native tribes in Africa. Kwaheri means Goodbye in Swahili.
As the film focused more on the controversial aspects of the tribal societies, it gained the attention of exploitation filmmakers, including Kroger Babb, whose Hallmark Productions distribution company acquired the American rights.

View More On Wikipedia.org
  1. MK254

    Poland, Denmark na Norway waanza maandalizi ya bomba la gesi, kwaheri Urusi

    Putin anaimaliza Urusi yake kwa ujinga wake, soko linamtoka kizembe sana... "The era of Russian domination of gas is coming to an end, an era marked by blackmail, threats and coercion," Polish Prime Minister Mateusz Morawiecki said Tuesday at the symbolic inauguration of the Baltic Pipe...
  2. Mzalendo39

    Kamishna Camillus Wambura ateuliwa kuwa IGP Mpya. Sirro apewa Ubalozi Zimbabwe, Kingai ateuliwa kuwa DCI

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amefanya mabadiliko katika Jeshi la Polisi. Aliyekuwa IGP Simon Sirro ateulikuwa kuwa balozi nchi Zimbambwe. Wakati huo huo amefanya mabadiliko ya Makamanda wengine kama inavyoonesha hapa chini [emoji116][emoji116] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  3. Mr Dudumizi

    Kwaheri CDF Jenerali Mabeyo

    Kwanza kabisa napenda kukusalim kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ama baada ya salam zang, natumia haki yang ya kikatiba kama mtanzania kukupongeza kwa kazi kubwa uliyoifanya kama kiongozi wetu mkuu wa majeshi yote ya ulinzi na usalama. Ki ukweli taifa na dunia kwa ujumla...
  4. Nyendo

    Rasmi: Yanga yampa mkono wa kwaheri Saidi Ntibazonkiza

    Baada ya kusimamishwa kuitumikia Yanga kwa muda kutokana na utovu wa nidhamu, rasmi klabu hiyo imetangaza kuachana na kiungo mshambuliaji Saidi Ntibazonkiza 'Saido' kutokana na mkataba wake kufikia tamati. Yanga imesema kuwa Saido ambaye alisimamishwa wiki iliyopita baada ya kutoka kambini bila...
  5. K

    Kwaheri Pastor Zephaniah Ryoba

    Habari wanajukwaa Kwa wale ambao wamewahi kusoma SUA, Mzumbe na vyuo jirani vya Morogoro sana sana miaka ya kuanzia 2000 na kama umekuwa mfuatiliaji wa mambo ya kiroho basi kwa namna moja ama nyingine unaweza kuwa umewahi kukutana au kumsikia huyu Mchungaji. Alikuwa ana kanisa pale keepleft ya...
  6. Uchumi wa Mifugo

    SoC01 Kwaheri Kapteni Zacharia Hans Poppe: Tuna mengi ya kujifunza kuhusu maisha yako

    Leo jumatano ya tarehe 15 Septemba 2021 mwili wa Kapteni wa zamani wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) Zacharia Hans Poppe utapumzishwa kwenye nyumba yake ya milele mjini Iringa mahali ambako pia baba yake Kamishna msaidizi mwandamizi wa Polisi Hans Poppe alizikwa tarehe 26 Mei 1979. Hans...
  7. Mlundilwa Jr

    Dkt. Magufuli kwaheri, ulistahili kuwa Rais wa Dunia

    Hayati Magufuli alikuwa mzalendo na anayejua nini maana ya uongozi Magufuli alitamani watanzania woote tuwe wazalendo na ndiyo maana hakutaka kuongeza mishahara ili fedha zitumike kujenga nchi. Ukiachilia mbali yeye kuwa Rais ila alijiweka kama mwananchi wa kawaida hakupenda kujimwambafai...
Back
Top Bottom