Hii nchi imejaa majitu ya ajabu sana, majitu yenye roho za kwa nini,machawi,yenye wivu,husda na kuombea wengine mabaya Pumbavu kabisa,
Kuna mapumbavu ,linaweza likaenda hotel,bar au sehemu limealikwa au limetolewa out kwa uzuri tu,Ila likafika sehemu husika vizuri tu,kwanza likashangaa...