kwanza

The kwanza (sign: Kz; ISO 4217 code: AOA) is the currency of Angola. Four different currencies using the name kwanza have circulated since 1977.
The currency derives its name from the Kwanza River (Cuanza, Coanza, Quanza).

View More On Wikipedia.org
  1. Yoda

    China yashinda medali za kwanza Olympics.

    China imejinyakulia medali mbili za dhahabu za kwanza kabisa katika mchuano ya Olympics inayoendelea huko Ufaransa.
  2. Replica

    Joe Biden amuunga mkono Kamala Harris kuwania Urais, Marekani kupata Rais wa kwanza mwanamke?

    Hesabu za kisiasa zimechezwa na Rais aliyetakiwa kutetea kiti chake amejiengua na badala yake amemuunga mkono makamu wake, Kamala Harris kuchukua nafasi yake ya kuwania kiti cha Urais kupitia chama cha Democrats! Atatoboa kwenye chama? Atauweza mfupa uliomshinda Hillary Clinton? Pia, soma=>...
  3. James Hadley Chase

    Umeme wafika Kisiwani Chole kwa mara ya kwanza toka uhuru

    uhuru dar24.comJul 21, 2024 5:14 AM Shirika la Umeme Tanzania – TANESCO, Mkoa wa Pwani limefanikiwa kufikisha Umeme katika kisiwa cha Chole kilichopo Wilayani Mafia, ambacho hakijawai kuwekwa Umeme tangu uhuru kwa kuupitisha chini ya Bahari. Akizungumza na Waandishi wa Habari wakati Meneja wa...
  4. Heart Wood.

    Simba kukipiga na El-Qanah ya Misri, Mechi ya kwanza kirafiki hapo kesho 22.07.2024

    Ewe Mpenzi wa Soka na mfuatiliaji wa Timu kubwa Pinzani za Tanzania yaani Simba SC na Young Africans habari hizi zikufikie popopte ulipo. Timu ya Simba iliyopo kwenye maandalizi ya msimu ujao itakipiga na El-Qanah ya Misri ikiwa ni mechi yake ya kwanza ya kirafiki katika mandalizi ya Msimu...
  5. A

    KERO Serikali tunaomba itusaidie wanafunzi wa shahada ya kwanza ya sayansi ya tiba kwa njia ya vitendo hapa MUHAS tuajiriwe

    Serikali tunaomba itusaidie MUHAS! Sisi wanafunzi wa shahada ya kwanza ya sayansi ya tiba kwa njia ya vitendo hapa MUHAS tunaomba serikali au wizara husika iajiri wakufunzi wa kutufundisha maana idara yetu haina wakufunzi walioajiriwa na wanaotufundisha wanajitolea kutoka Hospitali ya Taifa...
  6. Nyani Ngabu

    Mjukuu wa kwanza wa Trump

    Kai Trump! Yo……he he he!
  7. KENGE 01

    Siku itafika ACT wazalendo itakua chama cha kwanza upinzani kuchukua madaraka na Zitto Zuberi Kabwe atakua Rais wa Nchi Hii.

    Salaam wakuu. KENGE!!"Nalipanda Jukwaa kwa bashasha.Mkononi karatasi na Bahasha.Wala sio Warsha,Ni tathmini za Maisha" Nitangulize kwa kuweka bayana Mimi sio mdau wa Siasa sana,Sina Chama wala uchawa,Urafiki na Kiongozi yoyote aifha wa upinzani wala Chama chochote. Baada ya Tathmini za Muda...
  8. Membe S K

    Sehemu ya kwanza: Nafasi ya wanalindi kwenye mradi wa gesi

    PART I: NAFASI YA WANALINDI KWENYE MRADI WA GESI LINDI. Mradi wa kuchimba na kuchakata gesi asilia (LNG) Lindi mjini ni mradi ambao wakazi wengi wa Lindi wanautegemea uje ubadirishe maisha yao. Hata hivyo Wanalindi wengi hawajui mradi huu unahusu nini haswa na utaanza lini au kwanini haujaanza...
  9. X

    China-US (TechWar): China limekuwa taifa la kwanza duniani kufanikiwa majaribio ya 6G, likiitangulia Marekani na washirika wake

    Kwenye mbio za nani atatangulia kwenye teknolojia ya mawasiliano ya 6G ilikuwa ni race kati ya China na Marekani na washirika wake. China ilikuwa imeshajiwekea mkakati wa kuifanyia tafiti teknolojia ya 6G hivyo ikawa moja ya kipaumbele cha taifa kwenye mpango wa miaka 5 ulioitwa China's...
  10. OMOYOGWANE

    Naenda bariadi kusomea degree ya uchawi wenye faida nitaleta mrejesho mwaka 2026 mwezi wa kwanza

    Natarajia kuhamishia shughuli zangu za kiuchumi mjini bariadi. Hii ni fursa kwangu kupata elimu adimu ya mambo ya kiroho pia ni sehemu ya utafiti wangu binafsi Nitaleta mrejesho.
  11. J

    Unafahamu kuwa Upasuaji wa Uzazi (C-Section) wa kuokoa maisha ya Mama na Mtoto ulikuwa ukifanyika Nchini Uganda kabla ya Bara la Ulaya?

    Upasuaji wa kwanza wa Uzazi (C-Section) ulifanikiwa kufanyika Barani Afrika, ambapo Mama na Mtoto wote walikuwa salama, mara nyingi ujuzi huu, ingawa Daktari Mwingereza, James Barry amekuwa akihusishwa zaidi na upasuaji huu kutokea Cape Town, Afrika Kusini. Caesarian Section (C-Section) ni...
  12. Vien

    Baada ya utafiti huu nimejiridhisha 100% wanawake kipaumbele cha cha kwanza kwenye mahusiano ni Pesa

    Miaka miwili au mitatu iliyopita kipindi covid ina trend sana, nlikua kwenye mahusiano kadhaa, Kama mnavyojua mambo ya ujana. Sasa kwa kipindi kile kama mtakua mmeweka kumbukumbu zenu sawa, kampuni nyingi ziliopunguza wafanyakazi na nyingine kulazimika kufungwa kabisa kutokana na changamoto ya...
  13. greater than

    Fedha yako Kubwa ya kwanza kuikamata ilikuwa kasi gani na ulijiskiaje...

    Leo nimekumbuka Babati mkoani Manyara, Punde baada ya kumaliza chuo ,siku ambayo nilipatiwa Millioni 2 kama malipo ya tenda....Nilijikuta kama Bill Gates vile. Natembea barabarani kwa kuvimba Napiga thamani fedha ya kila kitu nachokiona njiani. Nafika kwenye mgahawa naagiza tu wala sitaki kujua...
  14. Stephano Mgendanyi

    Ziara ya Siku ya Kwanza Tarafa ya Suba Kata ya Nyamunga Kijiji cha Mkengwa

    ZIARA YA SIKU YA KWANZA TARAFA YA SUBA KATA NYAMUNGA KIJIJI CHA MKENGWA Leo tarehe 03/07/2025, Mh Mbunge kaanza ziara tarafa ya Suba kwa kuzungumza na wananchi wa kijiji cha mkengwa juu ya agenda tatu:- 1. Uchaguzi wa Seriakali za vijiji na vitongoji 2. ⁠kujiandikisha daftari la kudumu la...
  15. Mjanja M1

    Ni Jina gani lilikushtua ulipolisikia kwa mara ya kwanza

    Eti, ni jina gani ulisikia kwa mara ya kwanza na hukutegemea kuwa ni la mtu? Tiririka...
  16. C

    Je ni sawa kuagiza cheti kipya Cha kuzaliwa kama Cha mara ya kwanza kimekosewa?

    Habari Wana JF cheti changu Cha kuzaliwa kimekosewa spelling tu kwenye jina la baba na ukoo sasa nauliza ni sawa nikiagiza cheti kipya au ni mpaka nifate taratibu za kubadili? Maana Niko mbali na nilipochukulia cheti na taratibu zinasema niende nilipochukulia
  17. Mgosi Mbena

    Kwanini Rais hafanyiwi interview na vyombo vya habari vya ndani?? Kwa mara ya kwanza nimeona kenya

    Kwanini rais wetu mpendwa hafanyiwi interview na vyombo vya habari vya ndani?? Shida ni nini hasa?? Nishamuona akihojiwa na BBC!! Nao wanadai wamemuomba na kusubiri muda mrefu mpaka kukubaliwa!! Je hii ndio kusema Vyombo vya habari havina uwezo au Mkuu wa nchi haoni haja ya kuhojiwa na...
  18. S

    Ulitongoza mwanamke wako wa kwanza ukiwa na miaka mingapi?

    Mimi nilitongoza kwa mara ya kwanza nikiwa na umri wa miaka 16. Je na ww ulitongoza mara ya kwanza ukiwa na umri gani? Na ulikuwa na hali gani wakati unatongoza, kwa mfano mm wakati na tongoza mara ya kwanza nilikuwa na uoga flani ambao baadae uliisha je ww ilikuwaje wakati unatongoza?
  19. U

    Huu ndiyo ukweli, kimaandiko hakuna mzaliwa yeyote wa kwanza aliyepewa urithi wa Baraka na Mali

    Wadau hamjamboni nyote? Nimeleta mada yenye ushahidi kimaandiko. Hakuna mtoto yeyote aliyekuwa mzaliwa wa kwanza kwa Babaye aliyepata urithi wa Baraka na Mali Ndiyo Nabii Ibrahimu, Isaka, Yakobo, Yuda, Daudi, Suleiman, Mussa, Efrahim Abel, n.k wote hao hawakuwa wazaliwa wa kwanza ila...
  20. Yoda

    Putin na Kim Jong Un wakibishana nani kuwa wa kwanza kuingia kwenye gari

    Rais wa Urusi Vladimir Putin akiwa ziarani huko Korea Kaskazini ameonekana akiwa anabishana na mtawala wa nchi hiyo Kim Jong Un maarufu kama Kiduku kuhusu nani kuwa wa kwanza kuingia kwenye gari iliyoandaliwa kuwasafirisha wawili hao kwa pamoja. Itazame video hapa
Back
Top Bottom