kwao

The following is a list of radio stations and translators in the United States broadcasting Air1 programming, which can be sorted by their call signs, frequencies, state, city of license and broadcast area.

View More On Wikipedia.org
  1. Yanga, yasema mchezo dhidi ya Simba upo palepale hakuna mabadiliko yoyote

    Yanga yasema mechi dhidi ya Simba ipo TAARIFA KWA UMMA MACHI 08, 2025 Uongozi wa Young Africans Sports Club unapenda kuutaarifu Umma kuwa, mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC, uliopangwa kuchezwa leo tarehe 8/3/2025, dhidi ya Simba SC, saa 1:15 usiku upo palepale na hakuna mabadiliko yoyote. Young...
  2. Hivi kwa nini kitambulisho cha taifa Tanazania kwa USA ni sawa na leseni ya udereva wakati leseni ya kwao imebeba mambo mengi kuliko sisi

    Leseni ya USA ni kitambulisho cha hapa Tanzania kwa jina ID card kuwa wewe ni Mtanzania. Upande wa wenzetu waliona nini kwao ili.Wajuzi tuelewesheni
  3. Dharau za Rais wa Ukraine ni za level nyingine, anawakoromea Marekani nyumbani kwao. Angalia video

    Hii dharau na kiburi na kujiamini kwa rais wa Ukraine ni kwa level nyingine kabisa ambayo hainawahi kuonekana Duniani. Zelensky yuko oval ofisi ama ikulu ya Marekani na awajibi Trump na Vance kwa dharau na kiburi cha hali ya juu sana. Trump amesema Zelensky ameidharau sana Marekani tena mbele...
  4. Badhi ya wanajeshi wa Afrika Kusini kurudi kwao leo.

    Pichani, ni maandalizi ya jeshi la Polisi nchini Rwanda,mpakani mwa Rwanda na DRC. Eneo hili ndo watapitabadhi ya wanajeshi wa Afrika Kusini, na kupekuliwa, ili waendelee na safari yao,kuelekea uwanja wa ndege wa Kanombe huko Kigali.
  5. Jeshi la S.A kurudi kwao, kupitia Kigali

    Baada ya AFC/M23 kuomba serikali ya Afrika kusini kuondoa wanajeshi wake, na nchi hiyo ikakataa, hatimae ombi la M23 limekubaliwa, na njia pekee iliyotolewa(corridor) ikiwa ni Rwanda, jumapili ya leo, Februari 23, 2025, wanajeshi hao watasafilishwa kuelekea uwanja wa ndege wa Kanombe, uliopo...
  6. Clatous Chota Chama pole sana na hao ndiyo Yanga SC ambao ulidhani kwenda Kwao ungetukomoa Simba SC iliyokujenga na kukupa Thamani Kubwa

    Ikifukie ya kwamba..... 1. Chama kafuta Picha zote za Yanga SC alizopiga 2. Chama kawabloku Waandamizi wa Yanga SC 3. Chama kazibakisha Picha zile tu alizopiga akiwa anachezea Simba SC 4. Chama sasa haongei sana na Wachezaji wenzake wa Yanga SC 5. Chama amekuwa Mpweke 6. Chama muda wake...
  7. Z

    MWANAUME ANAPOOA NI LAZIMA KUZINGATIA UWEZO WA KIUCHUMI,,KIELIMU NA KIDINI KWA FAMILIA YA MWANAMKE ANAYEMUOA???

    Mwanamke wa kuoa ni muhimu kwao na kwa mwanaume kuwe na uwezo sawa kiuchumi,, kielimu na kidini???. Wanajukwaa habari zenu,natumaini mu wazima wa afya .mada ni kama ilivyotajwa hapo juu. Katika miaka ya hivi Karibu swala la kutafuta mwenza wa kuishi naye limekuwa gumu kidogo baina ya vijana...
  8. Hivi ni baadhi ya vitu vijana wa daslamu wale wa "born here here" wanavionaga ni vya ajabu sana na unbelievable kwao.

    1: Kukutana kimwili na mdada ambae ni bikra OG pale utakapo mmoa. Hadi wanaandika nyuzi humu namna ya kumtambua mdada alie bikra kitandani😂 2: Kula Kuku na mayai ya kienyeji 3: Kwamba kuna vijana ambao hajawahi kula chips maisha yao yote. 4: Kusalimiwa na binti huku akipiga goti 5: Kwamba...
  9. K

    Vijana wanajisahau sana, huyu dogo atarudi kwao na shangazi kaja pekee

    Huyu dogo kutoka West Africa amelost big time.Kijana hizo ng'ombe fuso mbili bora angepelekea vituo vya watoto yatima wakala ubweche kuliko kulipia mahari SINGO MAZA with two kids from two different men who ate that punani without giving even a single cent😣😣😣😣 Huyu dogo mpira ukianza kumtupa...
  10. Kwa ujio wa Tundu Lissu, CCM na Samia itafika mahali wajutie kushindwa kwao kutekeleza maridhiano na Mbowe

    Siasa ni mazungumzo kati ya pande mbili zenye mirengo inayokinzana, kwa lengo la kutafuta masuala kadhaa ya kuwaunganisha pamoja na hivyo kutatua migogoro. Tanzania hakuna vikundi vya watu wanaobeba silaha (waasi) kukabiliana na serikali, bali kuna vyama vya kisiasa. Hii maana yake ni kwamba...
  11. Kally Ongala tunaokujua tulijua tu kuwa Leo iwe isiwe utawapa Zawadi kutokana na Unazi wako Kwao na Unafiki wako uliopitiliza

    Sasa kwanini usiombe tu Kazi huko Kwao ili tujue moja? Mechi yetu nawe najua utatukazia mno na hata Kushirikiana nao Kuroga / Kuturoga.
  12. Mimi mnanisema kwa Ututsi (Unyarwanda) wangu mbona Yeye pia Kwao mi Oman?

    Tena 85% ya Ndugu zake (hasa Kaka zake) wako nchini Oman na wanashangaa kuona tukisema ni Mwenzetu.
  13. R

    Kwa research niliyofanya, Ukioa mwanamke kwao ni first born na kalelewa na wazazi wote ni wife material na wavumilivu

    Haya mambo hayana formula lakini tunachoangalia ni pattern, wanawake wengi wa kundi hili kuna vitu vingi wanafanana kwenye maisha ya ndoa. Conditions: Kwao wawe wawili au zaidi, watoto wa baba moja mama moja Awe kalelewa na wazazi wote, sio baba na mama walifarakana Kutakuwa kuna...
  14. Wakuu naweza kujiunganisha na huduma ya eSIM mimi mwenyewe nikiwa home au mpaka niwafate vodacom ofisini kwao

    Uzi tayari
  15. M

    CHADEMA hakubaliki singida?

    Ukiondoa Lissu, nani mwengine Kawa mbunge wa Singida kupitia CHADEMA? Lissu yeye kwao tu. Tofauti na maalim.seif alikubalika Pemba nzima
  16. Kwanini 95% ya Waumini viherere Ibadani Makanisani ndiyo wanaoongoza kwa kuwa na Sifa za Uchawi mitaani Kwao wanapoishi?

    Na wakiwa Ibadani Makanisani ndiyo hupenda kukusanya Sadaka na kufanya kila aina ya Shughuli za Ibadani hata kama zingine haziwahusu. Hupenda pia kuwa wa Kwanza kupokea Sakramenti ya Bwana na Nyimbo mbalimbali zikiwa zinaimbwa hupenda Kuimba kwa Sauti za Juu kuliko Sisi Waumini wengine (hadi...
  17. M

    Mtu kwao, hakuna Rais asiyeendeleza kwao

    Sio mama Kizimkazi tu hata Nyerere aliijenga sana Butiama. Hayati Magufuli allijenga sana Chato. Lissu anaanza mapokezi kwao, akipata Urais atajenga sana kwao
  18. U

    Nauliza eti mshambuliaji hatari wa wa Simba anayeenda kwa jina la chasambi anaasili ya mkoa gani hapa Tanzania ?

    Wadau hamjamboni nyote? Siku njema
  19. Mercenaries kutoka Romania waomba njia Rwanda kurudi kwao

    Kundi la wazungu 288, waliokuwa wakioigana vita na M23 upande wa DRC, leo wametolewa kwenye kambi ya MONUSCO huko Goma, kuelekea mpakani mwa Rwanda na DRC. Wakisindikizwa na jeshi la M23, kundi hilo limekabidhiwa serikali ya Rwanda, ambayo itawasafirisha mpaka uwanja wa ndege Kigali, na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…