kweli kweli

Talib Kweli Greene (; born October 3, 1975) is an American rapper, entrepreneur, broadcaster and activist. Kweli earned recognition early on through his collaboration with fellow Brooklyn rapper Mos Def, when they formed the group Black Star. Kweli's musical career continued with solo success including collaborations with producers and rappers Kanye West, Just Blaze, and Pharrell Williams. His most recent solo album is titled Gotham, released in 2020. In 2011, Kweli founded his own record label, Javotti Media.

View More On Wikipedia.org
  1. Jamani, kama kuna fedha kuibiwa, basi awamu ya sita inakabiliwa na wizi mkubwa kweli! Uwanja huu eti umekarabatiwa kwa 1. 5 Billion?

    Jamani, kama kuna fedha kuibiwa, basi awamu ya sita inakabiliwa na wizi mkubwa kweli! Uwanja huu, ambao umekarabatiwa kwa gharama ya shilingi bilioni 1.5, hauna thamani yoyote. Inashangaza jinsi uongozi wa Manispaa ya Moshi unavyoweza kutufanya tuone kama tumepigwa kichefuchefu kwa jambo hili...
  2. Odelo mgombea Uenyekiti CHADEMA ni mtu Nondo kweli kweli

    Binafsi sikutegemea kama bwana Odelo angekuwa na hoja nzuri namna hii Ameshusha Nondo nikasema kweli, ana hekima sana Nimempima Kwa mambo yafuatayo 1 Kutofautisha Maandamano na matembezi Kwamba CHADEMA walihimiza matembezi siyo maandano. Maandano yanapaswa yainyime serikali amani na itoe...
  3. D

    Wadau, kufeli vibaya kwa ile movie mnafikiri tatizo lilikuwa wapi na limesababishwa na nani?

    Nashangaa naona ni siku Moja tu imepita tangu movie itoke lakini naona kimya kabisaaaa. Hata wale haters wa Mama yetu ambao mara tu baada ya bi mdada kutangaza kutoka kwa movie yake walikimbilia mitandaoni fasta ambako walianza kushusha mamia ya viapo kwamba movie ni true kabisa. Aidha, haters...
  4. Waha tupeni majibu ya hii kauli ya Lissu; 'Kuna kijiji kinaitwa Kazura Mimba kipo Kigoma, kina watoto wengi kweli kweli'

    Akihojiwa na Charles William wa Wasafi TV, Lissu alisema 'kuna kijiji kinaitwa Kazura Mimba kipo Kigoma, kina watoto wengi kweli kweli. Mpaka mwandishi kacheka na mimi mwenyewe nimecheka kweli kweli. Embu Waha njooni tulijadili hili, hapo Kazura Mimba kunani?? Au ni mbegu za majini...
  5. Namkumbuka Saddam Hussein na Muamar Ghadaf. Walikuwa Mashujaa kweli kweli

    Ghadaffi alikataa kukimbia nchi akapambana mpaka tone la mwisho. Alipambana akafa akipambana. Hakukimbilia kwa mabeberu, alipambana akashinda. Saddam Hussein naye alikataa kukimbia. Alipambana mpaka mwisho. Mpaka naye akapambana na kupambana akashinda. Assad, khaaaaah! Salaleeeeeh awezaje...
  6. D

    Mbona TEC wananivua nguo kila siku. Kwani kuna nini. Zamani walikuwa wakitoa tamko limeshiba kweli kweli.

    Ukizingatia matamko ya siku hizi ni kwamba yako juu juu sana na hayana uchambuzi makini. Ni kana kwamba wanaandika wakiwa wanawahi kuwa wa kwanza wasiwahiwe ni kkkt nk. Au wanaandika wakiwa wanampango wa kumkomoa mtu. Imagine matamko yale ya dp world, hivi kweli walikaa chini wakafikiri na...
  7. Hawa watu wanastahili wamefanya kazi kubwa na ngumu kweli kweli

    Hawa watu wameacha alama isiyofutika katika mataifa yao. Maana kazi waliyofanya ilikuwa ngumu na kubwa haswa. Vita ya kupambana dhidi ya umasikini ni vita ngumu inahitaji viongozi wenye akili ya kuwaonea huruma watu wake na kuwatoa walipo pasipo kujali njia gani kutumika bali matokeo ya njia...
  8. Mkiwa mbele za watu anakua baby kweli kweli ila mkiwa chumbani hataki hata kugusana

    Mbele za watu mnakua ni very close, very beneti kama mapacha wa kike na kiume, hadi watu wana watamani. Mkifika nyumbani na mkiwa wawili sasa chumbani dah! Mambo yanabadilika, ile seriousness utafikiri mawakala wa vyama ya siasa kwenye chumba cha kupigia na kuhesabia kura. Ile closeness...
  9. Ni mwaka wa 2 sasa bila kufanya mapenzi ni raha kweli kweli

    Hapo vip!! Mimi ni kijana rijali haswa ila baada ya kumchunguza kiumbe anayeitwa mwanamke kwa miaka mingi nimegundua sintoweza kuishi naye kwasababu kipindi cha nyumba nikiwa kwenye mahusiano mwanamke amekuwa chanzo ya kunipokonya uhuru na furaha yangu ya asili. Pili ninapoona ushetani...
  10. Kama kuna jambo linahitaji Mipango, Uthubutu, Hekima na Busara kweli kweli basi ni siasa

    Ukiwa na mipango lakini ya hovyo hovyo isiyoeleweka wala kutekelezeka utapuuzwa tu na Wananchi. Utajipigia kelele kelele mwenyewe wee bila kuungwa mkono na yeyote. Ukikosa hekima na busara katika kuwaza, kusema na kutenda, huku ukiendekeza kiburi, chuki na visasa dhidi ya wengine, majivuno...
  11. Hili jibu la TABOA hakika nimelipenda sana kwani hata na 'Mwenyewe Mwenyewe 2025 Tena' nae anachukua kweli kweli Rushwa bila ya Huruma

    Katibu Mkuu wa Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (Taboa), Priscus John amedai rushwa barabarani kwa wakaguzi wote wa magari ni ya kiwango cha kutisha. Amesema wanaopokea wanaonekana kuwa ni Jeshi la Polisi pekee kwa sababu wanavaa nguo nyeupe lakini ipo kwa wakaguzi wote. John amesema hayo...
  12. Ni kitu gani kitakachowakera watanzania hadi waichukie kweli kweli CCM?

    Kwa ubaya wanaofanyiwa watanzania na CCM lakini wametulia tuliii... Inashangaza Sana. Hadi nawaza ni kitu gani kibaya ambacho CCM hawajawafanyia wabongo kitakachowakera awa watanzania wenzangu hadi waichukie CCM KIKWELI KWELI? Ni nini!???
  13. Leo 'Wakubinuka' daima wana Hasira ( Usununu ) kweli kweli Ulimwenguni

    Yaani kila nikiwatizana 'Wakubinuka' daima hata kwa Kuwatizama katika Kioo ninaona Wote wamejawa na Hasira Kali.
  14. FT: Yanga SC 1-2 Fc Augsburg | Mpumalanga cup | Mbombela Stadium | Saturday, 20 July 2024

    ๐Ÿ”ฐ๐”๐ ๐๐„๐—๐“๐Ÿ”ฐ ๐Ÿ† #MpumalangaCup๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ โšฝ๏ธ FC Augsburg๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช๐Ÿ†šYoung Africans SC๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ“† 20.07.2024 ๐ŸŸ Mbombela Stadium ๐Ÿ•– 15H00๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ 16H00๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Kikosi kinachoanza dhidi ya FC Augsburg #preseasontour #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko Mpira umeanza Dakika ya 1 0-0 Dakika ya 3 Augsburg wamekosa goli la wazi Dakika...
  15. Paul Makonda ni mwamba kweli kweli

    KAZI ANAZOFANYA MAKONDA, WAZALENDO TUWE TUKIMUOMBEA SANA, Kila nikitazama ujasli na weredi wa Mh Paul Makonda napata faraja kubwa sana, nimefurahishwa na kauli yake akisema hatoyumbishwa, wahuni wanaomyumbisha ni kama wanambembeleza akiwa usingizini au akiwa kwenye chumba cha masage. Iko hivi...
  16. Jaribu kula hii Olympic breakfast ya maana kweli kweli .

    Inakuwa na mchanganyiko wa Soseji Mayai mawili ya kukaanga Uyoga Viazi vilivyokaangwa vikakauka vizuri ama chips Nyanya kipande unaila ikiwa mbichi Maharage yasiyokaangwa steak ndogo ya kipande cha nyama sio mbaya sana Mkate pia ukiweka slace mbili sio kesi.
  17. L

    Ila hii issue ya uhaba na bei ya Sukari inawachora kweli kweli!

    Sijui hawaoni - kila siku ninaulizia maduka niliyoyazoea ninaambiwa haijaja. Nikienda maduka ambayo sijayazoea bei bado ipo juu. Nimekuwa wa kununua nusu kilo au kilo moja kwa matumaini labda kesho itapatikana ya kutosha na bei itashuka lakini kesho inakuwa kesho na tena na tena.
  18. F

    Mvua za Tanzania zina maajabu kweli kweli!

    Mvua za Tanzania ni za maajabu kweli kweli! Zinanyesha Maji yake yanakwenda kujaa kwenye mashamba ya miwa na kusababisha uzalishaji wa sukari kushuka na hivyo bei ya sukari kupanda hadi kufikia Tshs.5,000/= kwa kilo 1. ( Rejea maelezo ya Waziri Bashe)! Wakati huo huo mvua zinazonyesha Maji...
  19. Ujumbe kwa Al Ahly: Yanga inawasubilia kwa hamu na boli litatembea na kitapigwa kweli kweli

    Nimeishuhudia Aly ahly kwenye mechi takribani 4 za kiushindani na nilitaka nijiridhishe zaidi kimbinu na kiufundi namna awa mabingwa wa kihistoria wa afrika wanavyocheza kwa sasa, na nilisubilia mechi kabambe ya kiushindani dhidi yake na mamelod! Nilitaka nione ni namna Gani wanacheza kwenye...
  20. B

    Tanzania iliwahi kuwa na Rais jiwe kweli kweli

    Nchi yetu iliwahi kuwa na kiongozi mahiri kweli kweli. Walikuwepo kabla yake, wakaja baada yake, na huenda watakuja na wengine, lakini itatuchukua muda mrefu sana kumpata kiongozi mwenye kaliba ya Hayati JPM.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ