kweli kweli

Talib Kweli Greene (; born October 3, 1975) is an American rapper, entrepreneur, broadcaster and activist. Kweli earned recognition early on through his collaboration with fellow Brooklyn rapper Mos Def, when they formed the group Black Star. Kweli's musical career continued with solo success including collaborations with producers and rappers Kanye West, Just Blaze, and Pharrell Williams. His most recent solo album is titled Gotham, released in 2020. In 2011, Kweli founded his own record label, Javotti Media.

View More On Wikipedia.org
  1. Librarian 105

    Jaji Mutungi: ni kweli bila shaka katiba mpya haitatekwa na wanasiasa?!

    Alitoa kauli hiyo baada ya ofisi yake ya msajili wa vyama vya siasa kuelekea kukutana na baraza la vyama vya siasa nchini (bila ushiriki wa Chadema). Kujadili hatua za mwanzo za utekelezaji wa agizo la Rais la kuagiza kuanza kwa mchakato wa katiba mpya. Rais Samia alimtaka kuitisha mkutano...
  2. beatboi

    Hawa Waha wanaokopesha vyombo ni wachawi kweli kweli

    Nilijaribu kukopa begi la elfu 65 huku nikilipishwa bukumbili kila siku hadi itimie yote, kwa thamani ya lilie begi Kariakoo imezidi sana 35 ndio nikapanga kumlipa 40 kwa huruma yangu. Sasa hawa jamaa huwezi kuwadhurumu aseee, hata ukisafiri mwaka ukirudi utamkuta anakusubiri. Kuna jamaa yangu...
  3. Mganguzi

    Leo TBC wako busy kweli kweli na mkutano wa CHADEMA...kwa kweli kumekucha!

    Picha inajieleza .... ====== Watumishi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) wakiendelea na maandalizi kwa ajili ya kukuletea mbashara matangazo ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yaliyoandaliwa na baraza la wanawake la chama hicho...
  4. Expensive life

    Kama unamuamini Mungu mshike kweli kweli na kama unaloga loga kweli kweli binadamu wabaya

    Ndugu zangu, jana nilienda sehemu kumsalimia shangazi yangu, sasa baada ya kufika pale nimemkuta mume wake akiwa kitandani amepooza hawezi kabisa kutembea ni miaka mitano sasa imepita toka awe ndani. Kifupi nina muda mrefu sana sijamuona mumewe japo hili tatizo alilonalo nilisha lisikia muda...
  5. G Sam

    Nikikutana na Majaliwa aliyejinadi kufungua mlango wa ndege ya Precision namcharaza viboko kweli kweli! Watanzania ifikie pahala tutumie akili

    Naam, imefikia pahala watanzania tunajitumbukiza kwenye vijistori vya hovyo hovyo na kuvinadi pasipo kufanya utafiti wa kina. Hili mimi naliona kama tatizo kubwa sana kwetu kama watanzania. Hivi karibuni ameibuka kijana mmoja ambaye alidai kuwa alifungua mlango wa ndege iliyopata ajali huko...
  6. Komeo Lachuma

    Sera ninayoiendeleza inataka moyo katika mahusiano, inabidi uwe mwanaume kweli kweli

    Wadau, kutokana na kujiamini kwangu katika suala la mapenzi nimekuwa muumizi mzuri sana wa sera ya "No hongos". Yaani sihongi. Ndiyo sihongi pesa kwa mpenzi hata siku moja. Najiamini kuwa nami pia natoa raha why nihonge kupata K? Labda ijulikane tu mtu anauza so hayupo after raha. Sasa yaani...
  7. Mganguzi

    Raha ya kuwa na tume huru ya uchaguzi hakuna mwenye uhakika wa kushinda watu wanamenyana kweli kweli

    Kuna wakati chakura ukila peke Yako hakinogi. Hata mji wenye watu wa kabila Moja Huwa Hauna maendeleo. Chama Cha siasa au nchi inayoogopa ushindani wa kweli, haiwezi kufikia mafanikio Kwa wakati, Kenya siasa imechangamka sana hakuna anayemuogopa mwenzake polisi hawaingilii siasa, wanawaaacha...
  8. S

    Watu wakiamua kukuchafua wanakuchafua kweli kweli

    Hii ishu ya R.Kelly imenifikirisha sana yaani kumbe Kuna makosa aliyafanya 1994 yanekuja kuwekwa wazi na kuonekana kuwa ni makosa kipindi hiki. Sawali; Kwanini mashitaka hayo ya 1994 hakufunguliwa miaka hiyo hiyo? Aisee nafikiri huyu jamaa kipindi hicho alikua chini ya mamlaka Fulani iliyokuwa...
  9. W

    #COVID19 Wanafunzi waanza kufaidi madarasa yaliyojengwa kwa Pesa za Tozo na mkopo wa COVID-19

    Wanafunzi wa Kidato cha 1 kwa mwaka wa masomo 2022 ambao wameanza kutumia madarasa mapya yaliyojengwa kutokana na fedha za mpango wa maendeleo kwa Taifa na mapambano dhidi ya Uviko 19. Tukio tukio limefanyika katika Shule ya Sekondari Karibuni ambapo DC Jokate ametumia fursa hiyo kumshukuru...
  10. CK Allan

    HEKO: mama ameupiga mwingi , sikukuu ya mwaka huu imekuwa na shamra shamra bidhaa zinauzika kweli kweli!

    Pamoja na bidhaa kuwa juu, Kama vile mafuta, sukari, n.k Vile vile Tozo na kodi nyingi, Bado sikukuu ya mwaka huu inaweza kuwa ya kipekee kulinganisha na zamani za pontio pilato, Watu wamesafiri sana, Bidhaa zimenunuliwa na kuuzwa sana, Basi tumpongeze! Kisha tumsihi aboreshe yaliyosalia...
  11. F

    Kumbe Hayati Rais Magufuli alikuwa Mwamba kweli kweli!! Taifa hili litakukumbuka daima!!!

    Hivi karibuni nilitoa maoni yangu kupitia humu Jamiiforums kuhusu Waziri wa Nishati January Makamba na mienendo yake kuhusu TANESCO. Kama anavyosema Jenerali Ulimwengu yawezekana kweli Tanzania ni Nchi ya ajabu kweli kweli! Hayati Rais Magufuli amefariki hata mwaka mmoja haujaisha hofu kuhusu...
  12. Gily Gru

    Kuna watu makatili kweli kweli, achoma paka moto akiwa hai

    Nimefuga kuku sana wa kienyeji mbegu za hapa hapa nchini, mbegu ya malawi (wale weusi tiiii) na mbegu ya Kuroiler. Kwa kweli inauma sana pale kuku anapokufa mda mwingine unakosa hadi raha. Kuna kuku kishingo kila nikiingia kwenye malazi ya kuku huwa alikuwa ananifata nyuma nyuma nikstokea...
  13. Mag3

    Video: Ama Mwenyekiti wa CCM Mkoani Mara ni mnafiki

    Yapo mengine unashindwa kuyaeleza hivyo unaiachia video ndio iongee, karibuni sana... Kama sifa zinalevya, basi Mh Rais Samia Suluhu Hassan kaa chonjo na watu kama hawa! Juzi kwa mwendazake leo kwako...waepuke wanafiki hawa, kaa mbali nao na waogope kama ukoma! 1. 2. 3. 4. 5. 6. 7.
  14. Super human

    Rais Magufuli anasema Watanzania tumechelewa sana hivyo inabidi tukimbie kweli kweli. Je, tupo tayari kama Taifa?

    Kuchelewa ni kweli tumechelewa lakini swali tunajua tunakokimbilia? Unaweza kudhani unawahi kumbe unakimbia kurudi nyuma. Kwanini? 1. Kuna viashiria vingi kuwa uchumi unaporomoka na sipendi niviorodheshe maana vinaongelewa kila siku. 2. Democrasia, hii ni nchi sio familia ya nyumbani kwa MTU...
Back
Top Bottom