Nawasalimu sana wote wakubwa kwa wadogo, wazee kwa vijana, waheshimiwa kwa wasio waheshimiwa, ni matumaini yangu mpo salama na kama hali ni kinyume chake Mungu awape nguvu muwe salama.
Naanza kwa kusema kuwa ni huzuzni kubwa sana kwa CV kama hii kukaa haina mchongo wa kueleweka katika ulimwengu...