Kama habari hizi zinazotufikia ni kweli kuwa haya ndiyo yaliyojiri Mwanza:
basi mnakoipeleka hii nchi siko.
Kwa vile ni kinyume cha katiba na sheria zote ndani ya nchi hii, itoshe kuwataka kuirekebisha hali hii bila kuchelewa na kuwachukulia hatua wote wanaohusika, kama nyie siyo sehemu ya...
Tozo za miamala ya simu zitasaidia ujenzi wa Shule zaidi ya 10,000; Zahanati zaidi ya 4,500 na vituo vya afya 570 ifikapo 2025, Uzalendo zaidi unahitajika kwani vizuri vinamaumivu,
Tupige moyo konde, nikweli pesa hakuna,nikweli mzunguko wa pesa si mzuri sana ila tuwaache wenye pesa walisaidie...
Habarini!
Niwaambie tu ukweli, nyie wadada wenye pesa zenu mnaotafuta mabaunsa wa kutembea nao nyuma a.k.a (bodyguard) hasa ma celebrity wengi hapa bongo. Ni kwanini mnatafuta wa kiume badala ya wa kike mwenzio?
Ushawahi jiuliza swali hata moja, kama ikatokea upo mbele ya kadamnasi alafu nguo...
Ndugu Mashabiki wa OPPO nipo katika savey ya simu tajwa. Ninalinganisha bei nipate uelewa. Je, kwa sasa simu hizi zikiwa mpyaa, OG zinacheza shilingi ngapi hapo mjini kwenu? Wale mliopo jirani na maduka makubwa tafadhali ninaomba msaada kufahamu.
Shukrani
Kutokana na kukua kwa teknolojia dadazangu wengi sana mnatabia za kupiga picha tata(picha za utupu) hii nmeshuhudia kwa baadhi ya wanawake.
Wakwanza huyu ni dem wa mshkaj wang yy anapenda sana picha za selfie sasa juzkat kanipa simu yake nimuinganishie ile app ya kutotumia bando nkaona ngoja...
Pamoja na kuwa Barabara ya Ubungo—Kimara (stop over) zimepigwa X jioni hii hadi usiku huu. Wananchi wamepewa siku 30 waondoke kupisha upanuzi wa barabara.
Pia kuanzia Kimara Bucha mpaka Kimara resort wamepewa Notisi ya kobomoa na kuvacate kwa walio ndani ya Mita 90 za hifadhi ya barabara kama...
Nianze kwa salam wana ndugu.
Ugeni wangu uwe sababu ya kupata fikra na changamoto mpya na kushirikiana kwa wema na hata ninapoteleza bas na tusamehane.
Nimalizie na ya kwamba tupo pamoja katika namna ya kupeana chakula cha fikra.
Nawasalimu kwa jina la JMT.
Naandika hili kuwakumbusha juu ya jambo moja kati ya mengi yaliyo kwenu;
¶Limetoka agizo la kupandisha vyeo watumishi wenu wote wanaostahili lakini mnajivutavuta hadi sasa. Payroll ya mwezi huu kwa
watumishi wenu hakuna mabadiliko.
¶Kwenu wahusika katika idara...
Habari ndugu wote wa jf nawasalimia
Mapambano bado yanaendelea yaani mpaka tone la mwisho la juhudi katika kuhakikisha mambo yanaenda
Wakuu naomba kwa mwenye mawasiliano hasa emails za
Harmonize
Alikiba
Rayvanny
Young killer
Na wadau wengine wanaojishughulisha na harakati za muziki bila...
Hayati Rais Mstaafu 'Genius' Benjamin William Mkapa aliwahi kusema kuwa Siku zote Kupanga ni Kuchagua.
Mna Maamuzi mawili tu ya ama msipeleke Timu katika 'Derby' ya tarehe 3 July, 2021 ili Kanuni zifuatwe na Simba SC apewe alama (points) 3 na Goli 3 atangazwe 'Bingwa' rasmi.
Au muamue kupeleka...
Kwanza hongera kwa kuleta wazo hilo lakuomba uwepo wa uhamasishaji na elimu kwa wananchi kuchangia kupata katiba mpya ikiwa serikali itasingizia uviko umeshusha uchumi.
Ni wazo zuri na la kizalendo kwa kinga ya vizazi vijavyo. Ushauri wangu muondokane na agenda yakujinga kwa uchaguzi 2025...
Inafahamika kabisa kuna matukio ya KITAIFA NA KIKAMPENI.
Zipo protocol za namna ya kuanza hotuba mbele ya viongozi wa kitaifa na kimataifa.
Ndugu WANASIASA, MAWAZIRI NA WATEULE WA RAIS. Katika matukio mengi yakitaifa mmekuwa mnaanza NA "SWAGA"ambazo zinaboa nazinavunja heshima yakiongozi...
Alieona sehemu mwananchi wa kawaida kuguswa na bajeti ya mwaka 2021 alete hapa na sisi tuone.
Boda boda kupunguziwa adhabu toka 30k mpaka 10k, kumbuka wenye pikipiki wengi ni mabosi,vijana wanapeleka hesabu tu,hapo kijana kafaidika nini?
Sehemu pekee yenye watu wa hali zote ni kubet. Waziri...
Hii ndo first impression ya chadema digital app, namwona harmonize na taarifa za kuacha kazi
nkaona nsiishe apa, first impression ndo kila kitu, i decided to reverse engineer app nzima
-- hizi ni baaadhi ya mafile kwa haraka haraka baada ya reverse engeneering app nzima ya chadema digital...
Natumai wote my wazima.
Poleni na majukumu ya kusaka ngohora.
Moja kwa moja niende kwenye hoja.
Kwa muda mrefu madereva tulip wengi pia wamiliki wa vyombo vya usafiri magari pikipiki Bajaj.
Tumekuwa na lawama Sana kwa vyombo vya Dola haswa Traffik na polisi.
Kwa unyanyasaji wao kwa sisi madereva...
Ni kweli kabisa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayo mamlaka ya kuvunja bunge na kisha kuitisha uchaguzi. Sababu za kuvunja Bunge na kuitisha uchaguzi zipo ibara ya 90 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni kweli kama Bunge litakataa kupitisha hoja ambazo zina maslahi kwa...
Habari zenu wadau.
Nimeona mimi kama mfanyakazi ninayeguswa na sheria na taratibu za mifuko ya hifadhi ya jamii nitoe pongezi kwa wabunge hawa Halima Mdee na Ester Bulaya kwa hoja zao bungeni kutetea wastaafu ambao ndio wachangiaji na wanufaika wa mifuko hii.
Ni mara nyingi tumesikia wabunge...
Mtaani kwetu maji yamekatika week ya 2 sasa. Inasemekana lkn eti, baada ya mh rais aliyepita kuondoka kuna watu washaanza michezo ile ya zamani ya kukata maji ili wawe wanauza kwenye maloli!
Hebu tuambie kama na mtaani kwenu maji yamekatwa kwa muda mrefu. Huwezi jua labda mama ataliona kisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.