kwenu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sky soldier

    Majirani Wakenya, bei za mafuta Tanzania zimepanda 157.6 - 168.3 petrol & 163.2 - 169.7 diesel. Kwenu vipi?

    hizi bei zimeanza kutuchoma kama pasi wenye vipato vya kawaida hali ipo vipi kwa Kenyatta huko? Petrol 3,148 tshs / 157.66 kshs >>> 3,361 tshs / 168.3 kshs Disel 3,258 tshs / 163.2 kshs >>> 3,390 tshs / 169.78 kshs
  2. LIKUD

    Shomari Salumu Kapombe, nenda katoe sadaka ya shukurani kanisani kwenu

    Kwa kufanikiwa kumzuia Fiston Mayele asifunge goli kwenye mechi ya Simba na Yanga ya tarehe 30 APRILI 2022 basi nakushauri uende kanisani kwako unapo abudu ukatoe sadaka ya shukurani.
  3. D

    Tujuzane Je, Mbinu gani mnatumia kuwalipa ulinzi shirikishi mtaani kwenu ili kuepuka upigaji?

    Ulinzi shirikishi ni jambo zuri sana! Maeneo ya vijijini limeonyesha kufaulu kwa asilimia kubwa kutokana na watu wake kujitolea au kupangwa kwa zamu! Tatizo kubwa la ulinzi shirikishi mjini una harufu ya upigaji! Kuna wakati huwa nashawishika kuamini huenda PANYA ROAD ni PROJECT? Kwasababu...
  4. Clark boots

    Ajira 17,412 kwa kada za Elimu na Afya zatangazwa. Wananchi wenye sifa wahimizwa kuomba nafasi

    Waziri wa TAMISEMI, Innocent Bashungwa, amewataka Watanzania wenye sifa waombe nafasi za kazi kuanzia leo, baada ya serikali kutangaza nafasi za ajira 17,412, kwa kada ya elimu na afya. Kauli hiyo ameitoa hii leo Aprili 20, 2022, Bungeni Dodoma, wakati akihitimisha hoja ya bajeti ya Ofisi ya...
  5. D

    Wakenya hebu nifafanulieni kuhusu Ugavana, Useneta na Ubunge huko kwenu

    Naomba ufafanuzi kuhusu nafasi za kisiasa za ugavana, useneta na ubunge. Kwa vigezo vifuatavyo. Kiongozi yupi ni mkubwa kuliko wengine, magavana wapo wangapi nchi nzima, maseneta pia na wabunge.
  6. GENTAMYCINE

    Mtangazaji Abubakary Sadick wa Radio One: Wanawake mnaopenda Pesa zificheni huko 'Kunako' Kwenu tuone kama zitakidhi Haja zenu za Kitandani

    Akizungumza katika Kipindi kizuri, kitamu na Kinachoelimisha, Kuburudisha na Kufariji cha Mazungumzo ya Familia ( kutoka Radio One ) ambacho GENTAMYCINE ni Balozi wa Kujilazimisha na Kujiteua Mwenyewe wa Kipindi hicho Mtangazaji Mwandamizi Abubakary Sadick ametupa Dongo la aina yake kwa...
  7. Suzy Elias

    Rais Samia punguza upendeleo kila kitu kiwe Zanzibar

    Jambo hilo alipigiwa kelele sana Hayati Magufuli ajabu Samia naye amekuwa na aina ileile ya ufujaji mali za umma kwa safari zisizo na maana yeyote za huko kwao Zanzibar. Ki hafla kidogo tu tunaendelea kushuhudia hudhurio lake huko! Tunakoelekea huenda Samia atatumia ndege yetu kubwa kwenda...
  8. Mmea Jr

    Swali kwenu nyie wanawake? Wanaume tunakaribisha kwa ajili ya kusoma comments

    Hello everyone , how is yr weekeeeend going ? Okay, wakati wanachadema wakiwa na furaha na shamla shamla za kiongozi wao mbowe kurudi uraiani basi na mimi bila ya kupoteza muda wala kupepesa macho ningependa niende moya kwa moya kwenye mada . Imezoleka saaaaana katika jamii kwa sisi wanaume...
  9. Expensive life

    Kama umewahi kutumia haya majani ya chai na bado upo kwenu unagombea rimoti ya tv na wadogo zako jitafakari

    Maisha yana safari ndefu sana usipofunga mkanda haswa unaweza zeekea nyumbani hasa kwa sisi tuliotoka kwenye familia masikini. Nakumbuka wakati nimepata ajira kampuni Fulani ujira ulikuwa mdogo sana licha ya elimu niliyo nayo ilinibidi nifanye hivyo hivyo mshahara ulikuwa 200k kwa mwezi...
  10. U

    Paul Kagame atuma ujumbe mzito kwa majirani zake

    Hamjamboni nyote? Tafadhali pitia ujumbe wa PK hapo chini Photo: President Paul Kagame === President Kagame: In the near future, Rwanda's relations with Burundi will get back normal. It's still work in progress, and both sides are committed to see it through. President Kagame: on the...
  11. M

    GSM kabla ya Kukurupuka Kwenu Kudhamini Ligi na Vilabu mlipata Twisheni kwa Sports Pesa kwanini wao waliweza na Simba SC hawakuwagomea?

    Na msisahau hata Boss wao Mkuu kwa upande wa Tanzania ni Mheshimiwa Mbunge wa Kinondoni na mwana Yanga SC lia lia Tarimba Abbas Tarimba lakini bado waliweza Kuzungumza na Simba SC na Wakafanikiwa. Nyie GSM kwa Ushamba wenu na Kukurupuka Kwenu Siku ambayo mliingia Mkataba wa Udhamini Mwenza...
  12. sky soldier

    Kwenu watoto wa kiume, Mapenzi ya baba kwako utayatambua ukianza kujitegemea na kuhama kwenu, huenda utaona hata yale ya mama hayafikii

    Mama ni moyo ana mapenzi ya dhati yaliyovuka mipaka kwa mwanae, leo hii hata mama yako ukimwambia unataka kuwa msanii hata kama hujui kuimba atakupa sapoti, mapenzi haya kwa mtoto kuna muda huwa yanapofusha kushindwa kuona uhalisia. Baba ni kichwa, mlinzi na mtafutaji, leo hji ukimwambia...
  13. Mbomozo

    Mama zetu huu ni ushauri wa bure kwenu, ni vyema kuuzingatia

    Habari za mida hii ndg wanaJF..... Naandika uzi huu kwa uchungu kiasi maake Dada zetu wanaliwa kihasara na mchango mkubwa ni mama zao. Kivipi? Waliosema muache mtoto atafute mchumba wa kumuoa na ampendaye hawakukosea... Unakuta mama mzazi Wa binti anazunguka kumtafutia mwanaume binti ili...
  14. Joannah

    January vipi huko kwenu?

    Wasalaam, Eti jamani huko kwenu vipi January imesha tayari?sie huku ndio tunafika ukingoni. Huku kwetu kila mtu analalamikia huu mwezi,yaani full lawama, eti ni mwezi mgumu sana,watu Ni mwendo wa ndondo mixer kabeji ukiuliza kuna nini kwani mbona ratiba za mezani hazieleweki majibu Ni yaleyale...
  15. GENTAMYCINE

    Haya 'Wachezaji' wa Coastal Union FC 'fungweni' leo na Yanga SC muikose hii Zawadi (Bingo) na muwe 'Masikini' mpaka 'Kufa' Kwenu

    Mkuu wa Mkoa wa Tanga Adam Malima (mwana Simba SC Mwemzangu) kawaahidi Wachezaji wa Coastal Union FC Tsh Milioni 20 wakiifunga Yanga SC leo. Mbunge wa Tanga na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu Oddo (mwana Simba SC Mwenzangu) kawaahidi Wachezaji wa Coastal Union FC Tsh Milioni 10 wakiifunga Yanga SC...
  16. okiwira

    Nahitaji msaada toka kwenu wataalamu na mafreelancer

    Kuna DOGO kamaliza form4 hivyo nataka nimwezeshe biashara ya kuuza vifurushi vya dk,mb,sms vya mitandao yoote na kuuza LUKUU ya umeme visiwe vya kukwangua vocha Bali kutumia mashine (SIJUI NI MASHINE GANI INAFAA) Pia awe analipia ving'amuzi. Pia awe anasajili laini (SIJUI NI MASHINE GANI...
  17. GENTAMYCINE

    Jibu rahisi tu Kwenu kwa wale mnaomshangaa Haji Manara kwa Kauli zake kwa Pro - Magufuli dhidi ya wale Anti - Samia

    Ni kwamba tayari kuna Mstaafu Mmoja aliye karibu na Mteuzi Mkuu Kikatiba nchini Tanzania ameshampigia pande ili nae apewe Cheo kama cha Mwenzake Jerry Muro. Baada ya Yeye ( Haji Manara ) kuona kuwa tayari Mambo yanaenda vyema kwa kuwa na dalili za Kuukwaa Uteuzi anachokifanya sasa ni...
  18. MK254

    Haya maushirikina yenu Watz yamekua too much, kesi za watu "kufufuka" kwenu huko zimetamalaki, kuna nini?

    Huu utaalam wenu kwenye ushrikina mkiufanyia kazi mnaweza kuanza kuuza nje kwa matajiri hadi nchi iondokane na huo umaskini uliokubuhu.....
  19. sky soldier

    Watu ambao asili yenu ni mjini, hamkujui kijjini kwenu, mnalichukuliaje hili swala?

    Tanzania tuna makabila zaidi ya 120 na yote yana asili yake yalipotoka na mkataa kwao ni mtumwa. Kumekuwa na ongezeko la watu siku hizi ambao wanazaliwa mjini na vijijini kwao hawakujui kabisa, mtu unaweza kumuuliza wewe ni mhaya, mnyakyusa, n.k wa wapi, anakwambia yeye ni mngoni, msukuma, n.k...
  20. GENTAMYCINE

    Hivi 'Mashemeji' zangu 'Wachagga' kwani ni lazima muende Kwenu Kilimanjaro kila 'Krismasi' tu?

    Mbona miezi iko mingi tu kwanini nyie 'mhangaike' sana na huu Mwezi Mmoja tu wa Disemba? Kiukweli mnatusumbua sana na hizi Kelele zenu za kila ukifika tu Mwezi huu wa Disemba kuwa kuna shida ya Usafiri na kwamba Nauli nazo huwa zinapandishwa maradufu. Acheni kuishi 'Kimatambiko' na anzeni pia...
Back
Top Bottom