Kocha Zubery Katwila Wewe ni Mwanangu kabisa tena tokea tukiwa tunacheza pamoja Soka pale Magunia Msasani ( japo baadae ukaniacha na kuendelea Kucheza Soka la Ushindani ) na akina Marehemu Ally Yusuf Tigana, Msela Monja Liseki Mawe na Fundi Gwakisa Mwandambo ( aishiye Mji Mpya Kawe ) na nakujua...
Wakuu tusiishie kutoa lawama mambo yanavyokuwa mabovu halafu yakiboreshwa tusitoe pongezi. Feedback ni muhimu iwe positive au negative.
Kwa sasa kero nyingi sana za mwendokasi zimetatuliwa kiasi ambacho huwezi sikia malalamiko ukiwa kituoni kama zamani ambapo kituoni kila mtu alikua...
Ni ukweli usio na kipingamizi kua king'amuzi cha Azam ni kati ya vingamuzi vinavyopendwa Tanzania na pia nchi kadhaa za Africa Mashariki, lakini bei yake imekua gumzo sana mtaani kiasi cha kuzua maswali je ni nini hasa kinapelekea bei kua kubwa kiasi hicho.
Kwa mkoa wa Iringa Mbeya na Njombe...
Nianze kwa kusema kuwa NMB ni Benki inayopendwa na Watanzania wengi kuliko Mabenki mengine yote. Katika Tawi la NMB - Buzuruga kuna matatizo makubwa.
(1) Kuna madirisha 6 ya kuwahudumia wateja lakini madirisha 2 au moja ndiyo kila siku inafanya kazi. Mteja anaweza akapanga foleni kwa muda wa...
Kabla ya vyama sisi sote ni watanzania.
Moja ya imani za CCM ni kuwa binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja.
Tumefikaje huku kwenye kuuwana, kutekana, kutesana, kupotezana, kubambikiziana kesi na yote yenye ukakasi huu?
Ilikuwaje kina Sabaya wakatambulika kama vijana wazalendo...
Naomba kutoa pongezi zangu za dhati kabisa kwa viongozi wote walioratibu zoezi hili la kuondoa machinga katika maeneo yasiyofaa!
Ni nadra sana kuona zoezi linafanyika kwa hekima kubwa kama hili! Pasipo unafiki busara kama hii imekua adimu kwa mda mrefu sana!
Hakuna asiyejua kwamba tatizo la...
Nimekutana na hii post huko mitandaoni, sijawahi kulima tikiti wala kupiga hesabu za idadi ya miche kwa ekari moja.
Naomba tufahamishane kama kilichoandikwa na huyu ndugu yetu ni sahihi ama lah kuhusu upatikanaje wa faida ya tikiti kwa eka 1.
NI saa saba na dakika tano, mataa ya Mwenge, ajali mbaya sana inatokea, mabinti wawili wakiwa kwenye bodaboda, wanapata ajali mbaya sana na kufariki dunia hapohapo.
Last week nilihudhuria msiba wa mrembo mmoja aliyefariki kwenye Kona ya Target akielekea Juliana, alikuwa kwenye bodaboda.
Sweet...
Watu wamejazana huku nje kwenye kontena na vibandani, ni aibu sana wapi TFF mmefeli jamani
Shida iko wapi, nini mmefeli TFF nimefurahi kuona watu mmejali maisha yenu kwanza
Pili tff walijua derby 10000 watu wataenda tu wanakula backet nje bia saba safi...
Kaeni mjiulize kwanini matamasha...
Magaidi ya Msumbiji yalikua yameota pembe mpaka kuanza kupiga majirani wakiwemo Tanzania ambapo walikua wanaingia na kuchinja wanavijiji, ilimbidi Kagame atume makomando wake ambao walifyeka huo uchafu na kuweka sawa......
Majitu ya SADC full misifa lakini kwenye medani zero, kainchi kadogo...
Hivi sasa kumekuwa na wimbi kubwa la wamama (hasa walioko katika ndoa) kutoka kimapenzi na vijana wadogo wanaowazidi umri hata mara tatu (3) na unakuta ameridhika na haogopi kuwa jamii inayomzunguka itamchukuliaje.
Nimeona kwa mfanyakazi mwenzangu ambaye ana watoto watatu na kwa chini ya kapeti...
Kwanza nianze kwa kuwapongeza kuendelea kuwepo katika biashara ya fedha katika kipindi chote na kuendelea kuwa miongoni mwa Bank bora Tanzania
Baada ya Kimei kuondoka Bank iliendelea kuwa strong chini ya mkurugenzi mpya aliyekuwa CRDB mwanzoni na kuondoka kwenda NMB na baadae kurudi kuwa...
Rais Samia na Mwenyekiti Taifa CCM endelea tu Kumlea Askofu Gwajima ( Manara wa Kisiasa ) ili awachafue na awavurugeni vizuri.
Na nikusaidie tu Rais Samia kuwa Askofu Gwajima Wala hakupendi na hakukubali na hizo Sifa anazokupa ni za Kinafiki na anakudharau mno.
Kama kuna Sumu kubwa, mbaya na...
1. Diblo Dibala (Soloist)
2. Bileku Mpasi (Rapper)
3. Allain Kounkou (Dancer)
Naamini wakisajiliwa tu na hawa Watatu basi Waimbaji maarufu wa Bendi yenu ya Jangwani Music FC Band kama akina Makambo, Mayele, Moloko, Mukoko, Bangane na Djuma watauza mno Albums zenu ambazo mnatarajia kuzitoa.
Habarini wanajamvi wenzangu,
Vijana wenzangu, wadogo Zangu na wakubwa Zangu, ndugu jamaa na marafiki nimerudi tena kwenu kwani mwezi may tar24 nilipost hitajio langu kuomba msaada kwa yeyote ambaye anaweza kunisaidia kupata kazi/ Connection yoyote halali popote ndani ya Tanzania hii nimerudi...
Kwa Kuanzia tu ni kwamba Daktari wa Timu ya Taifa ya Congo DR amewashangaa Yanga SC Kumsajili Beki Shabaan Djuma ambaye ni 'proin injury Player' wakati aliwashauri Wasimsajili.
Pili baada ya Kocha Nabi kurejea Likizoni sasa amezozana na Uongozi wa Yanga SC kwa Kumsajili Mshambuliajj Herritier...
1. Msemaji wenu Hassan Bumbuli na Afisa Mhamasishaji wenu Mkuu Antonio Nugaz baada ya Mechi ya tarehe 3 July, 2021 ambayo Yanga SC ilishinda walisikika wakisema kuwa Simba SC bila Kuwanunua Wachezaji wa Yanga haiwezi Kushinda. Je, Simba SC iliyomfunga au iliyoshinda leo imewanunua Wachezaji wa...
Haji Manara si msemaji mwenye akili. Ni kama Yanga nasi tuna watu wetu wachumia tumbo. Ndivyo alivyo Manara.
Ni kilaza sana na ameota mapembe akidhani yeye ni mkubwa au yupo sawa na Simba. Mi naifahamu Simba kabla ya Manara. Sikuwahi mfahamu Manara mpaka alipokuja Simba.
Lakini miaka yote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.