kwenu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nakadori

    Kwenu Wanaume mnaozaa na michepuko

    Waungwana na wasio waungwana nawasalimu. Ninaandika haya nikiwa na masikitiko mengi sana... Niko kwenye tukio moja la kifamilia ambapo imelazimu watoto wote wa mji husika kuwepo. Ni tukio kubwa kiasi kwamba hata sisi tusio ndugu tumeshiriki. Nimeumia kuona katoto ka nje ambako kwa makadirio...
  2. M

    Viongozi wa CCM na Serikali mnajisikiaje mkiuona uwanja wa Azam Complex?

    Yaan ina tia hasira na pia inahuzinisha, mnashindwa ingia ubia na wamiliki wa Ccm wanaomiliki viwanja vingi mapato yakaenda halmashauri kwenye mgawanyo? hao waarabu wanaotunyanyasa ubora wa viwanja vyao unachangia. Huku mnaweza fanya kitu kizur kikatutambulisha watanzania. Hata mashindano yenu...
  3. Carlos The Jackal

    Mtu wa namna hii aachwe kuwa kiongozi kwakuwa alipata kura nyingi?

    Huenda Maneno haya Machache yakaeleweka na watu wachache tu Kwa wengi ndio hao wanaoshabikia Ujinga. Ipo hivi, ukikaa Kwa kutulia ukaitazama Dunia vizuri, utagundua Raia wengi wa Nchi zote Duniani, wamepitiwa na Ushetani hivi wa kupenda masuala ya kijinga jinga yaani masuala ya ovyo ovyoo...
  4. LA7

    chanjo ya covid 19 imefikia wapi huko kwenu

    mliochanja mnajisikiaje maana mlikuwa mnapewa na cheti kabisa
  5. H

    Wadada wa kazi tendeeni watoto wa wenzenu kama wa kwenu hata kama leo huna mtoto

    Wazazi na walezi wenye watoto hiki kinawahusu,baadhi ya wadada wanaotusaidia kazi nyumbani(house girls) wamekuwa na tabia za kufukuza bila kusubiri mwezi uishe kwa namna inavyo kera. Nilikuja kukagua shughuli za mradi Geita,baada ya kumaliza siku tatu nikampigia simu rafiki yangu anayeishi...
  6. Ma Mshuza

    Natoa tahadhari kwa Wanawake wenzangu. Msije sema sikuwaambia

    Mashosti, nawaaambia tu kwa uzoefu. Epuka sana mwanaume ambaye si mzungumzaji sana. Mwanaume ambaye yupo serious muda mwingi. Asiye na matani sana. Epuka aina hiyo ya mwanaume. Mwanaume wa hivi akisimama nyuma yako au akipiga magoti nyuma yako. Wallah nakuambia huko kutawaka moto. They know how...
  7. ARGAN MARA

    Wakwere mpo kwa mara ya kwanza natoa pengezi zangu za dhati kwenu

    Habari Wana MMU na kheri ya mwaka mpya binafsi nimekuja kutoa pongezi kwa mabinti wote wa kikwele kwani mmoja wenu kanipatia Mimi kijana wa Mara aisee sijawahi pata kwingine itoshe kusema nyie ni mafundi, mafundi mnajua kwakweli mapenzi yamezaliwa Pwani na siamini Pwani Mimi
  8. GENTAMYCINE

    Mnaotupigia Kelele kuhusu Chama nina Maswali yangu haya Kwenu

    1. Hivi Simba SC haijawahi Kufungwa Chama akiwemo? 2. Hivi Simba SC haijawahi kutoka Sare Chama akiwemo? 3. Hivi Simba SC ilipofika hatua ya Robo Fainali ya CAFCL mwaka Chama alikuwepo? Na kupitia hili la Chama GENTAMYCINE nimegundua kuwa 85% ya mnaolishadadia nje ya kuwa ni Wapuuzi na...
  9. NetMaster

    Ni kumbukumbu ipi unaikumbuka siku ulivyoondoka kwenu na kilichokufanya uondoke kwenda kuanza maisha ya kujitegemea?

    Hakika ilikuwa ni siku ambayo binafsi niliumia, ni baada ya kushindwa kuendelea na elimu yangu nilipomaliza form 4 mwaka 2012.. pale home nilionekana nipo nipo tu, ikabidi nitafte mishe ya kujifunza useremala lengo likiwa nikianza kupata pesa nihame, haikuwa kama nilivyotegemea maana hata...
  10. Teko Modise

    Mtaani kwenu mnaiitaje hii?

    Kwetu wanaiita "Kisungura" aloo vijana wanakuwa wazee kabla ya wakati wao.
  11. GENTAMYCINE

    Hakika Yanga SC 'mmetuumbua' leo kwa vitendo tuliyojua jezi zenu nyeusi ndiyo zenye bahati kwenu

    Nilivyovigundua kwa Yanga SC na kunifanya leo nizike rasmi Imani ya kwanini Jezi Nyeusi zilikuwa zinatumika hadi Kuhisi labda .ni imani za Kiuswahili / Ushirikina ni vifuatavyo.... 1. Yanga SC inacheza Kiupambanaji hasa Spirit ambayo unaweza Kuitafuta kwa Tochi katika Vilabu Vingine. 2. Kocha...
  12. Kinengunengu

    MERRY CHRISTMAS KWENU, MTOTO AMEZALIWA

  13. P

    Nataka kujifunza kwenu wana JF kuhusu Katiba na nafasi ya Urais Tanzania

    Tunatarajia kuwa na katiba mpya hivi karibuni! Ngoja tusizungumzie hiyo ijayo tuzungumzie iliyopo! Katiba iliyopo inaitambua nafasi ya Urais kuwa ni ya watanganyika na makamo wa Rais shariti atokee Zanzibar! Kwa minajiri hiyo, huku bara, yaani Tanganyika, ndiko anakotokea Rais wa muungano wa...
  14. NetMaster

    Kwenu watu wazima mliovuka miaka 30, kuna ukweli kwamba inachukua miongo mitatu (miaka 30) akili kupevuka ?

    NB: nazungumzia akili ya maisha na sio pesa, elimu ya darasani, cheo, kuoa, n.k. hivi vitu hata kijana mwenye 18 anaweza kuwa navyo lakini AKILI bado haijakamilika kupevuka. Nimefatilia research mbali mbali nimeona wanasayansi wanao deal na mambo ya saikolojia wamekadiria kwamba wengi akili zao...
  15. B

    Nawamiss Watanzania. Nikirudi huko kwenu naomba Mnitembeze haya maeneo nimeyasikia wenzenu wakiyataja Huku niliko

    Unajua sisi wengine hatuna maringo au kujitenga na watu wenye njaa au shida. Wale jamaa nliwapa pesa wakae Hotel nzuri jana siku nzima walikuwa wananitafuta. Si hakukuwa na match. So wakaona wapate muda wa kuona Jiji na mimi. Wamekuja na mademu wao na mimi wameniletea wawili. Wasichana wenyewe...
  16. NetMaster

    Baada ya kuondoka kwenu ulikuwa na mishe ipi ama ulitafuta mishe ipi ili kuanza maisha rasmi ya kujitegemea?

    Muda hausimami, muda ukifika wa ku hit the road inakubidi uondoke nyumbani kwenu nawe uanze kujitafutia. Wapo wanaohama wakiwa na mishe ila wapo pia ambao ni kuhama na kuyajua mbele kwa mbele Binafsi nakumbuka nilipomaliza form 4, nilikaa kitaa nikiwa nasubiri matokeo bila shughuli yoyote...
  17. kidonto

    Nina swali kwenu Wachungaji wenye ujuzi na Biblia (Imani)

    Shalom! Nataka tu kujifunza na kuongeza Imani yangu! Nimekua nikishuhudia Watu wengi wakifunguliwa Makanisani kwa Macho yangu! Nimeshuhudia Baadhi ya watu wakifunguliwa kwa namna tofauti, katika kisa kimoja, mwanaume wa Makamo alikua Mgonjwa akiamini Kalogwa, alihangaika kutafuta Tiba toka kwa...
  18. S

    CCM na wanaccm, nini kosa la Bashiru? Demokrasia kwenu ni nongwa?

    Sijafurahishwa na mfululizo wa kejeli, matusi na majibu dhidi ya Dr. Bashiru mara baada ya yeye kutumia Uhuru wa kikatiba wa kujieleza. Nafahamu akiwa "mtoto pendwa" awamu ya 5 Dr. Bashiru aliwahi kunena maneno ya makufuru dhidi wa watanzania kwamba "ccm itatumia hata vyombo vya dola ili...
  19. Mr DIY

    Kwenu wanawake: Lini mtatuelewa wanaume!

    Kuna mwenzenu huku (wife) amenitumia msj zenu za ku forward sijui katoa wapi akisisitiza niisome (nita share hapo chini), nikakumbuka wanawake wengi huwa wanasahau kwamba wanaume hatujaumbwa kusikiliza maneno mengi ili kupata point moja, niliishia kusoma heading na pale mwisho nikagundua alie...
  20. S

    Kama mwenye nyumba anakaa mbali ni lazima kumtumia na ya kutolea?

    Habari wana JamiiForums, kuna jambo lanitatiza Naombeni majibu yenu. Mfano umepanga nyumba na mwenye nyumba wako anaishi mkoa mwingine tofauti na uishio wewe, ukiwa unamtumia kodi ya nyumba je, ni lazima kumtumia na ya kutolea?
Back
Top Bottom