Ni ajabu na kweli mashabiki na wanachama wa simba pamoja na viongozi wao wamebaki kuiongelea yanga muda wote na kusahau kabisa ya kuwa wanaitaji kuijenga timu yao ambayo imetoka kapa misimu 2 mfululizo,
Wamesahau kuwa wanaowasema wanaendelea na wataendelea kubeba makombe na kuvaa medali kwa...
Wazee wa Dar walikuwa na nguvu sana enzi hizo. Nakumbuka Tibaijuka aliondolewa uwaziri kwa nguvu zao.
Hili la Bandali mnalionaje? Mnataka Bandali iende tuu ?
NB.
Ni marufuku mtu kulinganisha mkataba wa bomba la mafuta na Bandari.
Bandari ni yetu na mafuta sio yetu
Wanabodi,
Leo asubuhi hii waheshimiwa wabunge wetu, wataujadili mkataba wa IGA ( Intergovernmental Agreement), na baada ya hapo ndipo HGA ( Host Government Agreement) zitaingiwa kati ya TPA na DPW baada ya IGA kupitishwa.
IGA kati ya serikali ya Tanzania na serikali ya Dubai, kuruhusu kampuni...
Kwa masikitiko makubwa sasa mmeamua kula nje ya kamba naona mnatunia mipira inayovutika. Hivi ni kwa nini maji hayatoko kwa siku nnee?
Na hamtoi taarifa yeyote, hivi nyinyi mnatuchukuliaje sisi wenye nchi au mnataka tutanguilie mbinguni. Raisi wa nchi ini msimamizi na sisi ndiyo boss wakee...
Kwa wasio wenyeji wa kanda ya ziwa.
Nimeona malalamiko mengi sana kina mama na kina dada wasio wenyeji wa mkoa wa Mara (na kanda ya ziwa ) wakilalamika sana kuhusu swala la kusahau kwao.
Inasemekana kuna UCHAWI mzito sana wanafanyiwa ili kusahau nyumbani kabisa.
Basi nawasogezeeni hili...
Inawezekana uko Mjini ndio, sema Simatifoni siku hizi hadi vijijini zimezagaa, embu mwambie aliyeko Kijijini akutumie picha ya Mmea wa Kiasili ambao Kikwenu, mnatumia kujitibu kitu fulani.
1. Majani ya Mpapai
Aiseee, ukitaka kuongezea Damu kwa wingi na Kwa Gharama ndogoooo, chukua Majani ya...
Haya matunda mazuri na matamu yanapatikana mkoani kwenu? Mnayaitaje kwa kilugha chenu.
Mkoani kwetu yanaitwa 'Ebitomasi' yapo ya aina mbili, Mekundu na njano.
Unaweza kula yakiwa yamepikwa kwenye matoke au kula ambayo hayajapikwa.
Wakuu za sahizi
Tuendee direct kwenye mada...
Hapa chini ntaweka visa kadhaa nilivyoshuhudia na vingine nilivyokutana navyo kwenye harakati za maisha
KISA CHA 1: CHA NDUGU YANGU WA MBALI
- huyu ni mbibi wa miaka 57 tarehe x/7/2023 anatarajia kufunga ndoa mkoa x na muosha magari.
Inaanza...
Tusichanyanya mafile, hatuzungumzii biblia bali tunazungumzia uenyeji wa ardhi husika
Tuliza kicha tafakari hili swali
Hivi mfano pale Mecca pangevavamiwa na wagiriki kisha waarabu wa hapo wangesafirishwa kutumiskishwa huko ugiriki na hapo Mecca mgiriki angeuza viwanja kwa waisrael, baada ya...
Yamesikika mengi kuhusu ripoti ya CAG. Haikubaliki jiwe kuachwa juu ya jingine.
Maendeleleo hayana chama hatimaye tuko hapa:
Haikuwa rahisi kufika hapo.
Pongezi kwao wote waliosimama imara kupambana na majizi, yatake yasitake. Jizi ni jizi tu, makazi yake ya kudumu ni Kisongo na Segerea...
Ushauri huu ni mahususi kwa ajili ya ACT Wazalendo na vyama vingine vyenye muelekeo kama huu wa kuratibu maandamano na 'attention seeking' na nimetumia neno 'attention seeking' kwa sababu za ushiriki wao wa siasa za matukio ,kunapokuwa na tukio Chama kinaibuka na baadae kinapotea.
Kwa mazingira...
MANULA OUT KARIAKOO DERBY YA KESHO
Kuna uwezekano mkubwa Aishi Manula akakosekana kwenye derby kesho kutokana na changamoto ya majeraha ambapo huenda akafanyiwa upasuaji wiki mbili baada ya hivi sasa.
Uwezekano mkubwa ni Ally Salum akasimama langoni kesho kutokana na ukweli kwamba Beno...
Habari zenu
Nimekuwa nikijiuliza simpati jibu kwenye Hili suala yaani unakuta umemsimamisha binti mmoja na akumsaundisha na akakupa namba baada ya hapo ukawa unachati kama wiki hivi baadae ujipe gape kidogo then ukija kumtafuta unakuta kujua tangu ile siku mpaka kipindi unachat nae number yako...
Kwa yeyote anayehusika na uhamasishaji, ufuatiliaji , utaratibu na uratibu wa kusimamisha, upatikanaji wa uwanja, uboreshaji wa uwanja huo na upatikanaji wa timu.
Mafunzo ya timu hizo, mpaka kuwezesha kufanyika law mashindano madogomadogo ndani ya wilaya ya GAIRO.
Tumezoea kushuhudia ...
Walezi wa kiume iwe ni baba, mjomba, baba mkubwa, n.k, huwa ndio wanategemewa kusimamia kitengo cha kutia displini hasa utukutu ukizidi, hata walezi wa kike wakiona toto limekuwa tundu wanamwambia msubiri baba yako aje, mjomba wako aje, n.k.
Sasa basi unakuta sometimes kijana mdogo yupo hata...
Si kila mwanaume anaekwambia anakupenda anamaanisha. Haijalishi kwamba kakufanyia kitu gani iwe kukupa muda wake, kukusaidia, kukupa furaha, kukujali, kukupa pesa, n.k, kuna wanaume ambao huyafanya haya wakiwa bado hawapo timamu.
Kwa mwanaume ambae kamfata mwanamke kwa lengo la starehe huyu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.